WEBVTT 00:00:00.000 --> 00:00:09.300 Naomba macho ya mioyo yenu yafumbuliwe kuona 00:00:09.300 --> 00:00:18.233 kila uhusiano muovu, mbaya katika maisha yako - 00:00:18.233 --> 00:00:22.766 kuachana nao, kwa jina la Yesu. 00:00:22.766 --> 00:00:26.933 Achana na uhusiano huo usiomcha Mungu. 00:00:26.933 --> 00:00:31.333 Achana na uhusiano huo usiofaa. 00:00:31.333 --> 00:00:34.133 Katika jina kuu la Yesu Kristo. 00:00:34.133 --> 00:00:44.133 Uhusiano huo unaotokana na ulaghai na udanganyifu - ukatishwe! 00:00:44.133 --> 00:00:46.733 Katika jina kuu la Yesu. 00:00:46.733 --> 00:00:51.533 Unapopigania kilicho sawa, kuwe na nuru! 00:00:51.533 --> 00:00:53.966 Hebu iwe na mwanga nyumbani kwako. 00:00:53.966 --> 00:00:56.466 Kuwe na nuru katika ndoa yako. 00:00:56.466 --> 00:00:59.000 Kuwe na nuru katika familia yako. 00:00:59.000 --> 00:01:03.433 Kuwe na nuru! 00:01:03.433 --> 00:01:07.633 Uwe hodari uvipigane vita vilivyo vizuri. 00:01:07.633 --> 00:01:11.533 Uwe na uwezo wa kupigana vita vilivyo vizuri. 00:01:11.533 --> 00:01:15.566 Uzatitiwe na dhana za kupigana vita vyema. 00:01:15.566 --> 00:01:24.933 Chochote kilicho sababu ya kupuuza kanuni njema - kutupwa nje, kwa jina la Yesu! 00:01:24.933 --> 00:01:32.366 Mpango huo wa kishetani wa kukuondoa kwenye hatima yako ya kimungu - 00:01:32.366 --> 00:01:40.233 kuwa macho ili kuushinda! 00:01:40.233 --> 00:01:42.566 Ninazungumza na ndoa yako. 00:01:42.566 --> 00:01:45.333 Hebu kuwe na amani! 00:01:45.333 --> 00:01:47.966 Ninazungumza na nyumba yako. 00:01:47.966 --> 00:01:50.933 Hebu kuwe na umoja! 00:01:50.933 --> 00:01:53.200 Ninazungumza na familia yako. 00:01:53.200 --> 00:01:57.566 Hebu kuwe na uelewa! 00:01:57.566 --> 00:02:03.933 Katika jina kuu la Yesu. 00:02:03.933 --> 00:02:15.066 Asante, Yesu, kwa ukweli usiobadilika wa Neno lako Takatifu. 00:02:15.066 --> 00:02:21.133 Acha kusikia kufanyike kuwa vitendo. 00:02:21.133 --> 00:02:26.066 Katika jina la Yesu. Amina.