Natangaza mlango wazi kwa upenyo wa kiungu!!!
-
0:00 - 0:07Kwa nguvu ya jina la yesu natangaza
-
0:07 - 0:11Milango wazi kwa upenyo wa kiungu
-
0:11 - 0:14Milango wazi kwa nafasi ya kiungu
-
0:14 - 0:17Milango wazi kwa kuunganishwa ya kiungu
-
0:17 - 0:25Milango wazi kwa neema
-
0:25 - 0:34Wale ambao mnatafuta uso wa mungu
-
0:34 - 0:39Amini kuwa leo ni siku yako
-
0:39 - 0:44Sasa hivi kwa nguvu ya jina la yesu
-
0:44 - 0:48Pokea hiyo kazi inayooana na wito wako
-
0:48 - 0:52Pokea hiyo kazi inayooana na wito wako
-
0:52 - 0:56Pokea hiyo kazi uliyowekewa
-
0:56 - 0:58Pokea katika jina la yesu!
- Title:
- Natangaza mlango wazi kwa upenyo wa kiungu!!!
- Description:
-
Kwa nguvu ya jina la yesu, natangaza milango wazi! Milango wazi kwa upenyo wa kiungu! Milango wazi kwa nafasi ya kiungu! Milango wazi kwa kuunganishwa ya kiungu! Milango wazi kwa neema! Wale wanaotafuta kazi mkimtafuta uso wa Mungu kwa hiyo kazi amini leo hii ni siku yako. Sasa hivi kwa nguvu ya jina la yesu kristo pokea hiyo kazi inayooana na wito wako! Pokea hiyo kazi kwako kutoka mbinguni, pokea katika jina la yesu!''
- Video Language:
- English
- Team:
God's Heart TV
- Duration:
- 0:58
![]() |
Josephinechepkorir edited Swahili subtitles for I DECLARE OPEN DOOR For Divine BREAKTHROUGH!!! |