0:00:00.000,0:00:07.240 Kwa nguvu ya jina la yesu natangaza 0:00:07.240,0:00:10.520 Milango wazi kwa upenyo wa kiungu 0:00:10.520,0:00:13.640 Milango wazi kwa nafasi ya kiungu 0:00:13.640,0:00:16.960 Milango wazi kwa kuunganishwa ya kiungu 0:00:16.960,0:00:25.000 Milango wazi kwa neema 0:00:25.000,0:00:34.320 Wale ambao mnatafuta uso wa mungu 0:00:34.320,0:00:38.840 Amini kuwa leo ni siku yako 0:00:38.840,0:00:44.200 Sasa hivi kwa nguvu ya jina la yesu 0:00:44.200,0:00:47.800 Pokea hiyo kazi inayooana na wito wako 0:00:47.800,0:00:51.640 Pokea hiyo kazi inayooana na wito wako 0:00:51.640,0:00:55.520 Pokea hiyo kazi uliyowekewa 0:00:55.520,0:00:58.360 Pokea katika jina la yesu!