[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.00,0:00:07.24,Default,,0000,0000,0000,,Kwa nguvu ya jina la yesu natangaza Dialogue: 0,0:00:07.24,0:00:10.52,Default,,0000,0000,0000,,Milango wazi kwa upenyo wa kiungu Dialogue: 0,0:00:10.52,0:00:13.64,Default,,0000,0000,0000,,Milango wazi kwa nafasi ya kiungu Dialogue: 0,0:00:13.64,0:00:16.96,Default,,0000,0000,0000,,Milango wazi kwa kuunganishwa ya kiungu Dialogue: 0,0:00:16.96,0:00:25.00,Default,,0000,0000,0000,,Milango wazi kwa neema Dialogue: 0,0:00:25.00,0:00:34.32,Default,,0000,0000,0000,,Wale ambao mnatafuta uso wa mungu Dialogue: 0,0:00:34.32,0:00:38.84,Default,,0000,0000,0000,,Amini kuwa leo ni siku yako Dialogue: 0,0:00:38.84,0:00:44.20,Default,,0000,0000,0000,,Sasa hivi kwa nguvu ya jina la yesu Dialogue: 0,0:00:44.20,0:00:47.80,Default,,0000,0000,0000,,Pokea hiyo kazi inayooana na wito wako Dialogue: 0,0:00:47.80,0:00:51.64,Default,,0000,0000,0000,,Pokea hiyo kazi inayooana na wito wako Dialogue: 0,0:00:51.64,0:00:55.52,Default,,0000,0000,0000,,Pokea hiyo kazi uliyowekewa Dialogue: 0,0:00:55.52,0:00:58.36,Default,,0000,0000,0000,,Pokea katika jina la yesu!