WEBVTT 00:00:00.000 --> 00:00:07.240 Kwa nguvu ya jina la yesu natangaza 00:00:07.240 --> 00:00:10.520 Milango wazi kwa upenyo wa kiungu 00:00:10.520 --> 00:00:13.640 Milango wazi kwa nafasi ya kiungu 00:00:13.640 --> 00:00:16.960 Milango wazi kwa kuunganishwa ya kiungu 00:00:16.960 --> 00:00:25.000 Milango wazi kwa neema 00:00:25.000 --> 00:00:34.320 Wale ambao mnatafuta uso wa mungu 00:00:34.320 --> 00:00:38.840 Amini kuwa leo ni siku yako 00:00:38.840 --> 00:00:44.200 Sasa hivi kwa nguvu ya jina la yesu 00:00:44.200 --> 00:00:47.800 Pokea hiyo kazi inayooana na wito wako 00:00:47.800 --> 00:00:51.640 Pokea hiyo kazi inayooana na wito wako 00:00:51.640 --> 00:00:55.520 Pokea hiyo kazi uliyowekewa 00:00:55.520 --> 00:00:58.360 Pokea katika jina la yesu!