< Return to Video

Natangaza mlango wazi kwa upenyo wa kiungu!!!

  • 0:00 - 0:07
    Kwa nguvu ya jina la yesu natangaza
  • 0:07 - 0:11
    Milango wazi kwa upenyo wa kiungu
  • 0:11 - 0:14
    Milango wazi kwa nafasi ya kiungu
  • 0:14 - 0:17
    Milango wazi kwa kuunganishwa ya kiungu
  • 0:17 - 0:25
    Milango wazi kwa neema
  • 0:25 - 0:34
    Wale ambao mnatafuta uso wa mungu
  • 0:34 - 0:39
    Amini kuwa leo ni siku yako
  • 0:39 - 0:44
    Sasa hivi kwa nguvu ya jina la yesu
  • 0:44 - 0:48
    Pokea hiyo kazi inayooana na wito wako
  • 0:48 - 0:52
    Pokea hiyo kazi inayooana na wito wako
  • 0:52 - 0:56
    Pokea hiyo kazi uliyowekewa
  • 0:56 - 0:58
    Pokea katika jina la yesu!
Title:
Natangaza mlango wazi kwa upenyo wa kiungu!!!
Description:

Kwa nguvu ya jina la yesu, natangaza milango wazi! Milango wazi kwa upenyo wa kiungu! Milango wazi kwa nafasi ya kiungu! Milango wazi kwa kuunganishwa ya kiungu! Milango wazi kwa neema! Wale wanaotafuta kazi mkimtafuta uso wa Mungu kwa hiyo kazi amini leo hii ni siku yako. Sasa hivi kwa nguvu ya jina la yesu kristo pokea hiyo kazi inayooana na wito wako! Pokea hiyo kazi kwako kutoka mbinguni, pokea katika jina la yesu!''

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
0:58

Swahili subtitles

Incomplete

Revisions