Paul and Barnabas // UnitedPrayerWorks.com
-
0:02 - 0:04Wakati manabii na walimu wa kanisa la mwanzo
-
0:04 - 0:08wakifunga na kusali,
Roho Mtakatifu aliwaita Paulo na Barnaba -
0:08 - 0:10kwenda kwenye safari yao ya kwanza ya kimisionari.
-
0:10 - 0:13Kanisa lilisali pamoja
kabla yakuwatuma. -
0:16 - 0:19Mikono iliwekwa juu yao,
na tulisali kwa unyenyekevu. -
0:19 - 0:21Kama kanisa lenye ushikamano,
tuliomba kwa ajili ya usalama wao -
0:21 - 0:24na kwamba Mungu angewapa
maneno sahihi -
0:24 - 0:26ya kuongea kwa umati.
-
0:26 - 0:28Tuliomba wamisionari wetu
wangefanikiwa -
0:28 - 0:30kusambaza injili.
-
0:32 - 0:35Paulo na Barnaba walisafiri
sehemu mbalimbali. -
0:35 - 0:38Ndani Cyprus, walitangaza neno
la Mungu katika masinagogu ya Wayahudi. -
0:38 - 0:42Ndani ya Posiaidoni Antioki
Karibia mji mzima ulikusanyika -
0:42 - 0:44kusikiliza neno la Bwana.
-
0:44 - 0:46Pindi mataifa mengine waliposikia
ujumbe wao, waliamini. -
0:46 - 0:50Neno la Bwana lilitangazwa
sehemu zote, -
0:50 - 0:53na wafuasi walijazwa
na furaha na Roho Mtakatifu. -
0:56 - 0:59Paulo na Barnaba
walichagua viongozi katika kila kanisa -
0:59 - 1:02na walisali pamoja na kufunga
wakiwasifu kwa Mungu. -
1:02 - 1:05Walikusanya kanisa pamoja
na kuripoti -
1:05 - 1:07yote Mungu aliyofanya
kupitia wao -
1:07 - 1:10na jinsi gani alifungua mlango
wa imani kwa wasioamini.
- Title:
- Paul and Barnabas // UnitedPrayerWorks.com
- Description:
-
The church prayed together before sending them out. www.unitedprayerworks.com
- Video Language:
- English
- Team:
Team Adventist
- Project:
- Artv
- Duration:
- 01:16
![]() |
Darren Bridenbeck (Amara Staff) accepted Swahili subtitles for Paul and Barnabas // UnitedPrayerWorks.com | |
![]() |
Fran Ontanaya edited Swahili subtitles for Paul and Barnabas // UnitedPrayerWorks.com | |
![]() |
Fran Ontanaya edited Swahili subtitles for Paul and Barnabas // UnitedPrayerWorks.com | |
![]() |
seventh_day_adventist edited Swahili subtitles for Paul and Barnabas // UnitedPrayerWorks.com | |
![]() |
seventh_day_adventist edited Swahili subtitles for Paul and Barnabas // UnitedPrayerWorks.com |