1 00:00:02,000 --> 00:00:04,200 Wakati manabii na walimu wa kanisa la mwanzo 2 00:00:04,200 --> 00:00:07,930 wakifunga na kusali, Roho Mtakatifu aliwaita Paulo na Barnaba 3 00:00:07,930 --> 00:00:10,090 kwenda kwenye safari yao ya kwanza ya kimisionari. 4 00:00:10,090 --> 00:00:13,180 Kanisa lilisali pamoja kabla yakuwatuma. 5 00:00:15,620 --> 00:00:18,620 Mikono iliwekwa juu yao, na tulisali kwa unyenyekevu. 6 00:00:18,620 --> 00:00:21,370 Kama kanisa lenye ushikamano, tuliomba kwa ajili ya usalama wao 7 00:00:21,370 --> 00:00:23,730 na kwamba Mungu angewapa maneno sahihi 8 00:00:23,730 --> 00:00:25,730 ya kuongea kwa umati. 9 00:00:25,730 --> 00:00:28,050 Tuliomba wamisionari wetu wangefanikiwa 10 00:00:28,050 --> 00:00:30,280 kusambaza injili. 11 00:00:32,280 --> 00:00:34,660 Paulo na Barnaba walisafiri sehemu mbalimbali. 12 00:00:34,660 --> 00:00:38,480 Ndani Cyprus, walitangaza neno la Mungu katika masinagogu ya Wayahudi. 13 00:00:38,480 --> 00:00:41,790 Ndani ya Posiaidoni Antioki Karibia mji mzima ulikusanyika 14 00:00:41,790 --> 00:00:43,790 kusikiliza neno la Bwana. 15 00:00:43,790 --> 00:00:46,340 Pindi mataifa mengine waliposikia ujumbe wao, waliamini. 16 00:00:46,340 --> 00:00:49,570 Neno la Bwana lilitangazwa sehemu zote, 17 00:00:49,570 --> 00:00:53,240 na wafuasi walijazwa na furaha na Roho Mtakatifu. 18 00:00:56,340 --> 00:00:58,980 Paulo na Barnaba walichagua viongozi katika kila kanisa 19 00:00:58,980 --> 00:01:02,330 na walisali pamoja na kufunga wakiwasifu kwa Mungu. 20 00:01:02,330 --> 00:01:05,220 Walikusanya kanisa pamoja na kuripoti 21 00:01:05,220 --> 00:01:07,220 yote Mungu aliyofanya kupitia wao 22 00:01:07,220 --> 00:01:10,430 na jinsi gani alifungua mlango wa imani kwa wasioamini.