WEBVTT 00:00:02.000 --> 00:00:04.200 Wakati manabii na walimu wa kanisa la mwanzo 00:00:04.200 --> 00:00:07.930 wakifunga na kusali, Roho Mtakatifu aliwaita Paulo na Barnaba 00:00:07.930 --> 00:00:10.090 kwenda kwenye safari yao ya kwanza ya kimisionari. 00:00:10.090 --> 00:00:13.180 Kanisa lilisali pamoja kabla yakuwatuma. 00:00:15.620 --> 00:00:18.620 Mikono iliwekwa juu yao, na tulisali kwa unyenyekevu. 00:00:18.620 --> 00:00:21.370 Kama kanisa lenye ushikamano, tuliomba kwa ajili ya usalama wao 00:00:21.370 --> 00:00:23.730 na kwamba Mungu angewapa maneno sahihi 00:00:23.730 --> 00:00:25.730 ya kuongea kwa umati. 00:00:25.730 --> 00:00:28.050 Tuliomba wamisionari wetu wangefanikiwa 00:00:28.050 --> 00:00:30.280 kusambaza injili. 00:00:32.280 --> 00:00:34.660 Paulo na Barnaba walisafiri sehemu mbalimbali. 00:00:34.660 --> 00:00:38.480 Ndani Cyprus, walitangaza neno la Mungu katika masinagogu ya Wayahudi. 00:00:38.480 --> 00:00:41.790 Ndani ya Posiaidoni Antioki Karibia mji mzima ulikusanyika 00:00:41.790 --> 00:00:43.790 kusikiliza neno la Bwana. 00:00:43.790 --> 00:00:46.340 Pindi mataifa mengine waliposikia ujumbe wao, waliamini. 00:00:46.340 --> 00:00:49.570 Neno la Bwana lilitangazwa sehemu zote, 00:00:49.570 --> 00:00:53.240 na wafuasi walijazwa na furaha na Roho Mtakatifu. 00:00:56.340 --> 00:00:58.980 Paulo na Barnaba walichagua viongozi katika kila kanisa 00:00:58.980 --> 00:01:02.330 na walisali pamoja na kufunga wakiwasifu kwa Mungu. 00:01:02.330 --> 00:01:05.220 Walikusanya kanisa pamoja na kuripoti 00:01:05.220 --> 00:01:07.220 yote Mungu aliyofanya kupitia wao 00:01:07.220 --> 00:01:10.430 na jinsi gani alifungua mlango wa imani kwa wasioamini.