SHUHUDIA MOTO WA ROHO MTAKATIFU UKIANGUKA!!! #Maombi #Ukombozi #RohoMtakatifu #Muujiza #NduguChris
-
0:00 - 0:04Ninauona moto wa Bwana ukianguka nyumbani kwako!
-
0:04 - 0:07Moto wa Bwana ukianguka juu ya moyo wako!
-
0:07 - 0:10Moto wa Bwana ukianguka sasa hivi -
-
0:10 - 0:11kuteketeza maumivu hayo,
-
0:11 - 0:13kuteketeza mateso hayo,
-
0:13 - 0:15kuteketeza utumwa huo!
-
0:15 - 0:17Kamata moto!
-
0:17 - 0:20Ndiyo, pata moto wa Roho Mtakatifu
-
0:20 - 0:22na kupokea uponyaji wako!
-
0:22 - 0:24Pata moto wa Roho Mtakatifu
-
0:24 - 0:27na kupokea ukombozi wako!
-
0:27 - 0:30Pata moto wa Roho Mtakatifu
-
0:30 - 0:32na kupokea mafanikio yako!
-
0:32 - 0:34Pata moto wa Roho Mtakatifu
-
0:34 - 0:37na kupokea uhuru wako leo!
- Title:
- SHUHUDIA MOTO WA ROHO MTAKATIFU UKIANGUKA!!! #Maombi #Ukombozi #RohoMtakatifu #Muujiza #NduguChris
- Description:
-
"Naweza kuona moto wa Bwana ukianguka nyumbani kwako! Moto wa Bwana ukianguka juu ya moyo wako! Moto wa Bwana ukianguka sasa hivi - kuteketeza maumivu hayo, kuteketeza utumwa huo! kamata moto! Ndiyo! , pata moto wa Roho Mtakatifu na upokee uponyaji wako!Shika moto wa Roho Mtakatifu na upokee ukombozi wako!Shika moto wa Roho Mtakatifu na upokee mafanikio yako!Shika moto wa Roho Mtakatifu na upokee uhuru wako leo! "
Tazama sala kamili pamoja na Kaka Chris hapa - https://www.youtube.com/watch?v=iA34EB1QSS8
- Video Language:
- English
- Team:
- God's Heart TV
- Duration:
- 0:37