Ninauona moto wa Bwana ukianguka nyumbani kwako!
Moto wa Bwana ukianguka juu ya moyo wako!
Moto wa Bwana ukianguka sasa hivi -
kuteketeza maumivu hayo,
kuteketeza mateso hayo,
kuteketeza utumwa huo!
Kamata moto!
Ndiyo, pata moto wa Roho Mtakatifu
na kupokea uponyaji wako!
Pata moto wa Roho Mtakatifu
na kupokea ukombozi wako!
Pata moto wa Roho Mtakatifu
na kupokea mafanikio yako!
Pata moto wa Roho Mtakatifu
na kupokea uhuru wako leo!