0:00:00.000,0:00:03.600 Ninauona moto wa Bwana ukianguka nyumbani kwako! 0:00:03.600,0:00:06.520 Moto wa Bwana ukianguka juu ya moyo wako! 0:00:06.520,0:00:09.680 Moto wa Bwana ukianguka sasa hivi - 0:00:09.680,0:00:11.040 kuteketeza maumivu hayo, 0:00:11.040,0:00:12.920 kuteketeza mateso hayo, 0:00:12.920,0:00:15.000 kuteketeza utumwa huo! 0:00:15.000,0:00:16.880 Kamata moto! 0:00:16.880,0:00:19.760 Ndiyo, pata moto wa Roho Mtakatifu 0:00:19.760,0:00:21.760 na kupokea uponyaji wako! 0:00:21.760,0:00:24.280 Pata moto wa Roho Mtakatifu 0:00:24.280,0:00:26.520 na kupokea ukombozi wako! 0:00:26.520,0:00:29.520 Pata moto wa Roho Mtakatifu 0:00:29.520,0:00:31.720 na kupokea mafanikio yako! 0:00:31.720,0:00:34.240 Pata moto wa Roho Mtakatifu 0:00:34.240,0:00:36.880 na kupokea uhuru wako leo!