-
Wanawake wana haki sawa kama wanaume.
-
Iwapo mwanaume, mvulana wanaweza
kwenda shule, mbona msichana asiende?
-
[Malala Yousafzai]
-
[Mwanamke shujaa wa
Wasichana wa mwaka wa 2013]
-
Nisipoenda shuleni
-
basi nitakuwa ninatii
baba na ndugu yangu,
-
nitakuwa nikiosha nguo kila siku,
-
na kisha nitaolewa,
-
kisha nitakuwa nikiwashughulikia watoto,
-
na maisha yangu yataisha.
-
Hao watu ambao wanatuzuia kupata elimu,
-
wanawaogopa wanawake waliosoma
na wenye nguvu.
-
Kulikuwa na mwandishi wa makala wa BBC,
-
na alimuuliza baba yangu,
-
"Nataka mtu kutoka Swat
anayeweza kuzungumza nami,
-
na anayeweza kuniambia
kinachofanyika huko".
-
Kwa hivyo nilianza kuandika
makala kwa ajili ya BBC.
-
Nilikuwa nazungumza naye
kwenye simu kila usiku.
-
Sote tulitaka elimu
lakini watu wengi walikuwa kimya
-
kwa sababu waliogopa kundi la Taliban -
waliogopa kifo.
-
Lakini ujasiri ulishinda hofu hiyo.
-
Ndiyo maana nilizungumza.
-
Sikuwa nasubiri mtu mwingine.
-
Niliifanya mwenyewe.
-
[Tarehe 9 Oktoba 2012]
-
Saa 6 mchana, nafikiri,
-
tulikuwa tu tumeketi katika basi la shule
yetu,
-
na nikamuuliza dereva wangu,
"Je, unaweza kufanya mazingaumbwe?"
-
na alikuwa tu ameficha
jiwe katika mkono wake,
-
na tulihitaji kuipata.
-
Na sijui nilifungua tu macho yangu
na nilikuwa hospitalini.
-
Nilijua kuwa nilipigwa risasi,
-
na jambo la kwanza nililofanya
nikushukuru Mungu nilikuwa mzima.
-
Katika nchi yangu Pakistan
na kote duniani,
-
wasichana waliinua wito wa
"Mimi ni Malala."
-
Hio ni sauti yao ya elimu,
-
na walipaza sauti zao
dhidi ya ugaidi
-
Ni heshima kwangu
-
kwa sababu nihitaji wasichana,
wanawake na wavulana zaidi
-
kunisaidia katika kampeni yangu ya elimu.
-
[Mnamo 2014, Malala alishinda tuzo
la Nobel Peace.]
-
Taliban walinipiga risasi, walifikiri
-
kuwa wasichana wengine wanaozungumzia
haki zao pia wataacha.
-
Walifikiri kuwa watasambaza hofu, ugaidi,
-
lakini walishindwa.
-
Naamini kuwa iwapo unaamini moyoni wako
-
unaweza kufanya chochote.
-
Na ninaweza kufanya chochote