0:00:00.390,0:00:03.460 Wanawake wana haki sawa kama wanaume. 0:00:03.870,0:00:07.247 Iwapo mwanaume, mvulana wanaweza [br]kwenda shule, mbona msichana asiende? 0:00:07.381,0:00:09.141 [Malala Yousafzai] 0:00:09.738,0:00:11.998 [Mwanamke shujaa wa [br]Wasichana wa mwaka wa 2013] 0:00:12.410,0:00:13.780 Nisipoenda shuleni 0:00:13.780,0:00:17.530 basi nitakuwa ninatii [br]baba na ndugu yangu, 0:00:17.530,0:00:19.340 nitakuwa nikiosha nguo kila siku, 0:00:19.340,0:00:20.558 na kisha nitaolewa, 0:00:20.558,0:00:22.518 kisha nitakuwa nikiwashughulikia watoto, 0:00:22.518,0:00:24.030 na maisha yangu yataisha. 0:00:24.640,0:00:27.499 Hao watu ambao wanatuzuia kupata elimu, 0:00:28.509,0:00:31.740 wanawaogopa wanawake waliosoma [br]na wenye nguvu. 0:00:34.220,0:00:36.340 Kulikuwa na mwandishi wa makala wa BBC, 0:00:36.520,0:00:38.060 na alimuuliza baba yangu, 0:00:38.060,0:00:40.689 "Nataka mtu kutoka Swat [br]anayeweza kuzungumza nami, 0:00:40.689,0:00:42.790 na anayeweza kuniambia [br]kinachofanyika huko". 0:00:43.060,0:00:45.550 Kwa hivyo nilianza kuandika [br]makala kwa ajili ya BBC. 0:00:45.590,0:00:48.260 Nilikuwa nazungumza naye [br]kwenye simu kila usiku. 0:00:48.880,0:00:52.840 Sote tulitaka elimu [br]lakini watu wengi walikuwa kimya 0:00:52.840,0:00:56.192 kwa sababu waliogopa kundi la Taliban - [br]waliogopa kifo. 0:00:58.080,0:01:00.691 Lakini ujasiri ulishinda hofu hiyo. 0:01:02.101,0:01:03.686 Ndiyo maana nilizungumza. 0:01:03.816,0:01:05.483 Sikuwa nasubiri mtu mwingine. 0:01:05.983,0:01:07.290 Niliifanya mwenyewe. 0:01:07.810,0:01:09.690 [Tarehe 9 Oktoba 2012] 0:01:10.060,0:01:11.805 Saa 6 mchana, nafikiri, 0:01:11.825,0:01:14.080 tulikuwa tu tumeketi katika basi la shule[br]yetu, 0:01:14.080,0:01:17.400 na nikamuuliza dereva wangu, [br]"Je, unaweza kufanya mazingaumbwe?" 0:01:17.400,0:01:19.590 na alikuwa tu ameficha [br]jiwe katika mkono wake, 0:01:19.590,0:01:21.230 na tulihitaji kuipata. 0:01:21.580,0:01:24.699 Na sijui nilifungua tu macho yangu [br]na nilikuwa hospitalini. 0:01:28.021,0:01:29.750 Nilijua kuwa nilipigwa risasi, 0:01:29.750,0:01:33.867 na jambo la kwanza nililofanya [br]nikushukuru Mungu nilikuwa mzima. 0:01:36.537,0:01:39.190 Katika nchi yangu Pakistan [br]na kote duniani, 0:01:39.960,0:01:42.920 wasichana waliinua wito wa[br]"Mimi ni Malala." 0:01:43.806,0:01:45.757 Hio ni sauti yao ya elimu, 0:01:46.337,0:01:49.590 na walipaza sauti zao [br]dhidi ya ugaidi 0:01:50.330,0:01:51.778 Ni heshima kwangu 0:01:51.778,0:01:57.300 kwa sababu nihitaji wasichana, [br]wanawake na wavulana zaidi 0:01:57.990,0:02:00.710 kunisaidia katika kampeni yangu ya elimu. 0:02:02.609,0:02:05.439 [Mnamo 2014, Malala alishinda tuzo [br]la Nobel Peace.] 0:02:06.149,0:02:08.600 Taliban walinipiga risasi, walifikiri 0:02:09.698,0:02:13.570 kuwa wasichana wengine wanaozungumzia[br]haki zao pia wataacha. 0:02:15.050,0:02:18.910 Walifikiri kuwa watasambaza hofu, ugaidi, 0:02:19.810,0:02:20.850 lakini walishindwa. 0:02:22.300,0:02:25.730 Naamini kuwa iwapo unaamini moyoni wako 0:02:25.730,0:02:27.170 unaweza kufanya chochote. 0:02:27.170,0:02:29.729 Na ninaweza kufanya chochote