< Return to Video

Inclusive Design

  • 0:00 - 0:07
    ♪ (muziki tulivu) ♪
  • 0:07 - 0:09
    ♪ (muziki tulivu) ♪
  • 0:09 - 0:13
    ♪ (muziki mchangamfu) ♪
  • 0:13 - 0:16
    ♪ (muziki mchangamfu) ♪
  • 0:16 - 0:20
    Kwa hivyo muundo unaojumuisha
    unamfaidi kila mtu.
  • 0:21 - 0:23
    Iwe ana ulemavu,
  • 0:24 - 0:26
    iwapo ana matatizo ya mwendo,
  • 0:27 - 0:28
    waajiriwa wazee,
  • 0:28 - 0:32
    ambako hamna ulemavu unaokisiwa au halisi,
  • 0:32 - 0:36
    lakini tu ni vigumu zaidi
    kufungua milango,
  • 0:36 - 0:39
    kutumia kompyuta, kufika msalani.
  • 0:40 - 0:42
    Kihalisia, muundo wa ujumuishaji
    ni wa kila mtu.
  • 0:43 - 0:46
    Na kwa hivyo tunahitaji
    kujionyesha kwa kuwa
  • 0:46 - 0:49
    na eneo la kazi linalojumuisha,
    kuwa rahisi,
  • 0:50 - 0:52
    kujulisha mwajiriwa au mwajiriwa mtarajiwa
  • 0:52 - 0:56
    kuwa tuko hapa kukupa mambo unayohitaji
  • 0:56 - 1:00
    ili uwe na mazingira ya starehe
    na salama ya kazini.
  • 1:00 - 1:03
    Muundo unaojumuisha ni hatua ya
    kwanza katika kuhakikisha
  • 1:03 - 1:05
    kuwa hilo linaweza kufanyika
    kwa mwajiriwa mtarajiwa.
  • 1:06 - 1:09
    Chuo cha Famasia
    katika Chuko Kikuu cha lowa
  • 1:09 - 1:11
    ni jengo la kwanza la
    elimu ya Sayansi za Afya
  • 1:11 - 1:13
    lililojengwa nchini Marekani
  • 1:13 - 1:15
    ambalo lina muundo wa
    jumla tangu lilipoanzishwa.
  • 1:16 - 1:18
    Mara nyingi katika sekta ya famasia,
  • 1:18 - 1:20
    watu wanaweza kufanya
    kazi maisha yao yote,
  • 1:20 - 1:23
    licha ya mabadiliko ya muda
    au ya kudumu ya mwili.
  • 1:26 - 1:29
    Hili linaweza kuwa sinki ya ADA
  • 1:29 - 1:34
    na kifuniko cha moshi
    kinachoinuka na kushuka pia.
  • 1:34 - 1:39
    (mvumo wa mashine}
  • 1:42 - 1:47
    Na zina fomu zinazosonga
    zinazoweza kubadilishwa,
  • 1:47 - 1:49
    kwa hivyo hizi zinaweza kuwa...
  • 1:49 - 1:51
    Haziwezi kubadilishwa
    kwa urahisi kama vile madawati,
  • 1:51 - 1:54
    lakini zinaweza kuwa, kama mtu
    akiwa kwenye kiti cha magurudumu,
  • 1:54 - 1:58
    zinaweza kushushwa ili kumhifadhi mtu.
  • 1:59 - 2:03
    Kabati zote zipo juu ya
    magurudumu na zinaweza kusonga.
  • 2:03 - 2:05
    Zina bafu,
  • 2:05 - 2:09
    huhitaji kutumia mikono, unaingia
    na kutoka bila kugusa chochote.
  • 2:11 - 2:14
    Hamna milango ya
    kukusumbua unapoingia au kutoka.
  • 2:17 - 2:19
    Eleveta mbili za umma,
  • 2:19 - 2:22
    na eleveta zinafunguka pande zote,
  • 2:23 - 2:26
    kwa hivyo mtu akipanda juu yake
    kwenye kiti cha magurudumu,
  • 2:26 - 2:31
    akiingia kwenye upande huu,
    anaweza kuondoka upande huo mwingine
  • 2:31 - 2:34
    bila kusumbuka kugeuka.
  • 2:36 - 2:38
    Na hiki ni kituo cha mafunzo cha kikundi.
  • 2:38 - 2:42
    Hii ni kati ya madarasa mawili makubwa.
  • 2:42 - 2:45
    Mtu katika kiti cha magurudumu hazuiliwi
  • 2:45 - 2:48
    kuwa tu kwenye ghorofa ya juu.
  • 2:49 - 2:51
    Anaweza kuchagua kiti chochote
    ndani ya jengo,
  • 2:51 - 2:54
    kwa sababu kuna ngazi
    inayompa uwezo wa kufikia
  • 2:54 - 2:56
    kwa ghorofa zozote.
  • 2:56 - 2:59
    Na anapaswa kuweza kupitia
  • 3:00 - 3:02
    kwenye njia kati ya viti, pia.
  • 3:02 - 3:06
    Asilimia 96 ya vyumba havilipiswhi,
  • 3:06 - 3:10
    na vinaweza kuhusiana na
    kubadilisha ratiba za kazi,
  • 3:10 - 3:14
    kupanga upya ratiba za kazi,
    kupanga upya baadhi ya vifaa
  • 3:14 - 3:15
    mambo kama hayo.
  • 3:16 - 3:19
    Mbali na mabadiliko ya jengo,
  • 3:19 - 3:22
    kuna chaguo nyingi za bei nafuu
    na huduma zisizo za kimwili
  • 3:22 - 3:24
    zinazoweza kufanya kazini
    kujumuishe zaidi.
  • 3:24 - 3:25
    {sauti ya karatasi}
  • 3:25 - 3:28
    Ratiba zinazoweza kubadilishwa za
    kazi huwaruhusu watu
  • 3:28 - 3:30
    uwezo wa kuondoka kazini
    kwa ajili ya matibabu.
  • 3:30 - 3:32
    {sauti ya karatasi}
  • 3:32 - 3:36
    Kuinua milango kutoka inchi 18 hadi 24
    kunaweza kusaidia kuboresha ufikivu.
  • 3:37 - 3:41
    {sauti ya karatasi}
  • 3:41 - 3:44
    Kuweka vishikilizi vya wenzo vya mlango
    badala ya vilivyo duara
  • 3:44 - 3:46
    ni rahisi zaidi kila mtu kutumia.
  • 3:46 - 3:47
    {sauti ya karatasi}
  • 3:47 - 3:50
    Rafu za chini hutoa ufikiaji
    salama kwa kila mtu
  • 3:50 - 3:52
    {sauti ya karatasi}
  • 3:52 - 3:55
    Mwangaza unaoweza kubadilishwa
    unaweza kuwasaidia waajiri wa umri wote
  • 3:55 - 3:59
    kuona vyema katika mazingira ya kazi na
    kupunguza kusumbuka kwa macho yao.
  • 3:59 - 4:02
    Kwa maelezo zaidi kuhusu
    jinsi ya kufanya maeneo ya kazini
  • 4:02 - 4:04
    yajumuishe zaidi waajiriwa wote,
  • 4:04 - 4:09
    tembelea tovuti yetu ya
    www.healthierworkforcecenter.org
  • 4:09 - 4:10
    Asante.
Title:
Inclusive Design
Description:

more » « less
Video Language:
English
Team:
Amplifying Voices
Project:
Accessibility and Inclusion
Duration:
04:12
Eddie Simiyu Wafulah edited Swahili subtitles for Inclusive Design
Eddie Simiyu Wafulah edited Swahili subtitles for Inclusive Design
Eddie Simiyu Wafulah edited Swahili subtitles for Inclusive Design
Eddie Simiyu Wafulah edited Swahili subtitles for Inclusive Design

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions