< Return to Video

Inclusive Design

  • 0:00 - 0:07
    ♪ (muziki tulivu) ♪
  • 0:07 - 0:09
    ♪ (muziki tulivu) ♪
  • 0:09 - 0:13
    ♪ (muziki mchangamfu) ♪
  • 0:13 - 0:16
    ♪ (muziki mchangamfu) ♪
  • 0:16 - 0:20
    Kwa hivyo muundo unaojumuisha unamfaidi kila mtu.
  • 0:21 - 0:23
    Iwe ana ulemavu,
  • 0:24 - 0:26
    iwapo ana matatizo ya mwendo,
  • 0:27 - 0:28
    waajiriwa wazee,
  • 0:28 - 0:32
    ambako hamna ulemavu unaokisiwa au halisi,
  • 0:32 - 0:36
    lakini tu ni vigumu zaidi
    kufungua milango,
  • 0:36 - 0:39
    kutumia kompyuta, kufika msalani.
  • 0:40 - 0:42
    Kihalisia, muundo wa ujumuishaji ni wa kila mtu.
  • 0:43 - 0:46
    Na kwa hivyo tunahitaji kujionyesha kwa kuwa
  • 0:46 - 0:49
    na eneo la kazi linalojumuisha, kuwa huru,
  • 0:50 - 0:52
    kujulisha mwajiriwa au mwajiriwa anayetazamia
  • 0:52 - 0:56
    kuwa tuko hapa kukupa mambo unayohitaji
  • 0:56 - 1:00
    ili uwe na mazingira ya starehe na salama ya kazini.
  • 1:00 - 1:03
    Muundo unaojumuisha ni hatua ya kwanza katika kuhakikisha
  • 1:03 - 1:05
    kuwa hilo linaweza kufanyika kwa mwajiriwa mtarajiwa.
  • 1:06 - 1:09
    Chuo cha Famasia katika Chuko Kikuu cha lowa
  • 1:09 - 1:11
    ni sehemu ya kwanza ya elimu ya Sayansi za Afya
  • 1:11 - 1:13
    iliyojengwa nchini Marekani
  • 1:13 - 1:15
    ambayo imekumbatia muundo wa jumla tangu ilipoanzishwa.
  • 1:16 - 1:18
    Mara nyingi katika sekta ya famasia,
  • 1:18 - 1:20
    watu wanaweza kufanya kazi maisha yao yote,
  • 1:20 - 1:23
    licha ya mabadiliko ya muda au ya milele ya mwili.
  • 1:26 - 1:29
    Hili linaweza kuwa sinki ya ADA
  • 1:29 - 1:34
    na kifuniko cha moshi kinachoinuka na kushuka.
  • 1:34 - 1:39
    (sauti ya mashine}
  • 1:42 - 1:47
    Na zina fomu zinazosonga zinazoweza kubadilishwa,
  • 1:47 - 1:49
    kwa hivyo hizi zinaweza kuwa...
  • 1:49 - 1:51
    Haziwezi kubadilishwa kwa urahisi kama vile madawati,
  • 1:51 - 1:54
    lakini zinaweza kuwa, kama mtu akiwa kwenye kiti cha magurudumu,
  • 1:54 - 1:58
    zinaweza kushushwa ili kumhifadhi mtu.
  • 1:59 - 2:03
    Kabati zipo kwenye magurudumu yote na inaweza kusonga.
  • 2:03 - 2:05
    Zina bafu,
  • 2:05 - 2:09
    huhitaji kutumia mikono, unaingia na kutoka bila kugusa chochote.
  • 2:11 - 2:14
    Hamna milango ya kukusumbua unapoingia au kutoka.
  • 2:17 - 2:19
    Eleveta mbili za umma,
  • 2:19 - 2:22
    na eleveta zinafunguka pande zote,
  • 2:23 - 2:26
    kwa hivyo mtu akipanda kwenye kiti cha magurudumu,
  • 2:26 - 2:31
    akiingia kwenye upande huu, anaweza kuondoka upande huo mwingine
  • 2:31 - 2:34
    bila kugeuka.
  • 2:36 - 2:38
    Na hiki ni kituo cha mafunzo kulingana na timu.
  • 2:38 - 2:42
    Hii ni kwa madarasa mawili makubwa.
  • 2:42 - 2:45
    Mtu katika kiti cha magurudumu hazuiliwi
  • 2:45 - 2:48
    kuwa kwenye ghorofa ya juu.
  • 2:49 - 2:51
    Anaweza kuchagua kiti chochote ndani ya chumba,
  • 2:51 - 2:54
    kwa sababu kuna ngazi inayompa uwezo wa kufikia
  • 2:54 - 2:56
    kwa ghorofa zozote.
  • 2:56 - 2:59
    Na wanapaswa kuweka kupitia
  • 3:00 - 3:02
    kwenye njia kati ya viti, pia.
  • 3:02 - 3:06
    Asilimia 96 ya makazi hayalipishwi
  • 3:06 - 3:10
    na yanaweza kuhusiana na kubadilisha ratiba za kazi,
  • 3:10 - 3:14
    kupanga upya ratiba za kazi, kupanga upya baadhi ya vifaa
  • 3:14 - 3:15
    mambo kama hayo.
  • 3:16 - 3:19
    Mbali na mabadiliko ya mjengo,
  • 3:19 - 3:22
    kuna chaguo nyingi za bei nafuu na makazi yasiyo halisi
  • 3:22 - 3:24
    yanayoweza kufanya sehemu ya kazi ijumuishe zaidi.
  • 3:24 - 3:26
    {sauti ya karatasi}
  • 3:26 - 3:28
    Ratiba zinazoweza kubadilishwa za kazi zinawaruhusu watu
  • 3:28 - 3:30
    uwezo wa kuondoka kazini kwa ajili ya matibabu.
  • 3:30 - 3:32
    {sauti ya karatasi}
  • 3:32 - 3:36
    Kuinua sehemu za kuondoka kutoka inchi 18 hadi 24 kunaweza kusaidia kuboresha ufikivu.
  • 3:37 - 3:41
    {sauti ya karatasi}
  • 3:41 - 3:44
    Kuweka vishikilizi vya mlango badala ya zilizo duara
  • 3:44 - 3:46
    ni rahisi zaidi kwa kila mtu kutumia.
  • 3:46 - 3:47
    {sauti ya karatasi}
  • 3:47 - 3:50
    Rafu za chini hutoa ufikiaji salama kwa kila mtu
  • 3:50 - 3:52
    {sauti ya karatasi}
  • 3:52 - 3:55
    Mwangaza unaoweza kubadilishwa unaweza kuwasaidia waajiri wa umri wote
  • 3:55 - 3:59
    kuona vyema katika mazingira ya kazi na kupunguza kusumbuka kwa macho yao.
  • 4:00 - 4:02
    Kwa maelezo zaidi kuhusu jinsi ya kufanya maeneo ya kazini
  • 4:02 - 4:04
    yajumuishe zaidi waajiriwa wote,
  • 4:04 - 4:09
    tembelea tovuti yetu ya www.healthierworkforcecenter.org
  • 4:09 - 4:10
    Asante.
Title:
Inclusive Design
Description:

more » « less
Video Language:
English
Team:
Amplifying Voices
Project:
Accessibility and Inclusion
Duration:
04:12
Eddie Simiyu Wafulah edited Swahili subtitles for Inclusive Design
Eddie Simiyu Wafulah edited Swahili subtitles for Inclusive Design
Eddie Simiyu Wafulah edited Swahili subtitles for Inclusive Design
Eddie Simiyu Wafulah edited Swahili subtitles for Inclusive Design

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions