Return to Video

MasterFirefoxOS.com: Intro To Firefox OS

  • 0:07 - 0:11
    Firefox OS ndio simu pekee iliyoundwa mtumiaji akiwa kwenye akili.
  • 0:11 - 0:13
    Ni rahisi kutumia na kubinafsisha.
  • 0:13 - 0:17
    Watumiaji wanaweza kufanya mambo kama kuweka kifaa kufanya kazi katika lugha yao ya kwanza
  • 0:17 - 0:19
    Dhibiti matumizi ya data.
  • 0:19 - 0:23
    Kubinafsisha kwa kujenga toni za simu zao wenyewe na hata pakua kwenye simu zao
  • 0:23 - 0:27
    programu muhimu ambazo zinaweza kuimarisha
    na kurahisisha maisha yao ya kila siku.
  • 0:27 - 0:30
    Firefox OS imepakiwa na vipengele vyote ambavyo wateja wako wanatarajia
  • 0:30 - 0:32
    na wanavyotaka katika smartphone.
  • 0:32 - 0:35
    Firefox OS inaungwa mkono na Mozilla,
  • 0:35 - 0:38
    jumuiya ya kimataifa nia yao ikiwa ni kuhakikisha
    kwamba mtandao wabakia wazi na kupatikana
    kwa wote.
  • 0:39 - 0:40
    Hebu tuangalie simu.
  • 0:41 - 0:43
    kama unayoweza kuona, ni rahisi kurambaza
  • 0:44 - 0:47
    Firefox OS ina vipengele kadhaa vinavyotarajiwa na wateja.
  • 0:47 - 0:51
    kama vile kutuma ujumbe, barua pepe, Firefox marketplace
  • 0:51 - 0:55
    Programu zijulikanazo kama Facebook, Kamera na programu za picha
  • 0:56 - 0:58
    na bila shaka kivinjari cha Firefox.
Title:
MasterFirefoxOS.com: Intro To Firefox OS
Video Language:
English
Duration:
01:02

Swahili subtitles

Revisions