[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:07.22,0:00:10.70,Default,,0000,0000,0000,,Firefox OS ndio simu pekee iliyoundwa mtumiaji akiwa kwenye akili. Dialogue: 0,0:00:10.98,0:00:13.10,Default,,0000,0000,0000,,Ni rahisi kutumia na kubinafsisha. Dialogue: 0,0:00:13.48,0:00:17.00,Default,,0000,0000,0000,,Watumiaji wanaweza kufanya mambo kama kuweka kifaa kufanya kazi katika lugha yao ya kwanza Dialogue: 0,0:00:17.00,0:00:19.04,Default,,0000,0000,0000,,Dhibiti matumizi ya data. Dialogue: 0,0:00:19.04,0:00:22.86,Default,,0000,0000,0000,,Kubinafsisha kwa kujenga toni za simu zao wenyewe na hata pakua kwenye simu zao Dialogue: 0,0:00:22.87,0:00:26.62,Default,,0000,0000,0000,,programu muhimu ambazo zinaweza kuimarisha \Nna kurahisisha maisha yao ya kila siku. Dialogue: 0,0:00:26.62,0:00:30.50,Default,,0000,0000,0000,,Firefox OS imepakiwa na vipengele vyote ambavyo wateja wako wanatarajia Dialogue: 0,0:00:30.50,0:00:32.18,Default,,0000,0000,0000,,na wanavyotaka katika smartphone. Dialogue: 0,0:00:32.19,0:00:34.87,Default,,0000,0000,0000,,Firefox OS inaungwa mkono na Mozilla, Dialogue: 0,0:00:35.00,0:00:38.37,Default,,0000,0000,0000,,jumuiya ya kimataifa nia yao ikiwa ni kuhakikisha \Nkwamba mtandao wabakia wazi na kupatikana \Nkwa wote. Dialogue: 0,0:00:38.80,0:00:40.50,Default,,0000,0000,0000,,Hebu tuangalie simu. Dialogue: 0,0:00:40.78,0:00:42.86,Default,,0000,0000,0000,,kama unayoweza kuona, ni rahisi kurambaza Dialogue: 0,0:00:43.58,0:00:46.76,Default,,0000,0000,0000,,Firefox OS ina vipengele kadhaa vinavyotarajiwa na wateja. Dialogue: 0,0:00:46.77,0:00:51.16,Default,,0000,0000,0000,,kama vile kutuma ujumbe, barua pepe, Firefox marketplace Dialogue: 0,0:00:51.16,0:00:55.45,Default,,0000,0000,0000,,Programu zijulikanazo kama Facebook, Kamera na programu za picha Dialogue: 0,0:00:55.96,0:00:58.40,Default,,0000,0000,0000,,na bila shaka kivinjari cha Firefox.