1 00:00:07,220 --> 00:00:10,700 Firefox OS ndio simu pekee iliyoundwa mtumiaji akiwa kwenye akili. 2 00:00:10,980 --> 00:00:13,100 Ni rahisi kutumia na kubinafsisha. 3 00:00:13,480 --> 00:00:17,000 Watumiaji wanaweza kufanya mambo kama kuweka kifaa kufanya kazi katika lugha yao ya kwanza 4 00:00:17,000 --> 00:00:19,040 Dhibiti matumizi ya data. 5 00:00:19,040 --> 00:00:22,860 Kubinafsisha kwa kujenga toni za simu zao wenyewe na hata pakua kwenye simu zao 6 00:00:22,869 --> 00:00:26,619 programu muhimu ambazo zinaweza kuimarisha na kurahisisha maisha yao ya kila siku. 7 00:00:26,619 --> 00:00:30,500 Firefox OS imepakiwa na vipengele vyote ambavyo wateja wako wanatarajia 8 00:00:30,500 --> 00:00:32,180 na wanavyotaka katika smartphone. 9 00:00:32,190 --> 00:00:34,870 Firefox OS inaungwa mkono na Mozilla, 10 00:00:35,000 --> 00:00:38,370 jumuiya ya kimataifa nia yao ikiwa ni kuhakikisha kwamba mtandao wabakia wazi na kupatikana kwa wote. 11 00:00:38,800 --> 00:00:40,500 Hebu tuangalie simu. 12 00:00:40,780 --> 00:00:42,860 kama unayoweza kuona, ni rahisi kurambaza 13 00:00:43,580 --> 00:00:46,760 Firefox OS ina vipengele kadhaa vinavyotarajiwa na wateja. 14 00:00:46,770 --> 00:00:51,159 kama vile kutuma ujumbe, barua pepe, Firefox marketplace 15 00:00:51,159 --> 00:00:55,449 Programu zijulikanazo kama Facebook, Kamera na programu za picha 16 00:00:55,960 --> 00:00:58,400 na bila shaka kivinjari cha Firefox.