Firefox OS ndio simu pekee iliyoundwa mtumiaji akiwa kwenye akili. Ni rahisi kutumia na kubinafsisha. Watumiaji wanaweza kufanya mambo kama kuweka kifaa kufanya kazi katika lugha yao ya kwanza Dhibiti matumizi ya data. Kubinafsisha kwa kujenga toni za simu zao wenyewe na hata pakua kwenye simu zao programu muhimu ambazo zinaweza kuimarisha na kurahisisha maisha yao ya kila siku. Firefox OS imepakiwa na vipengele vyote ambavyo wateja wako wanatarajia na wanavyotaka katika smartphone. Firefox OS inaungwa mkono na Mozilla, jumuiya ya kimataifa nia yao ikiwa ni kuhakikisha kwamba mtandao wabakia wazi na kupatikana kwa wote. Hebu tuangalie simu. kama unayoweza kuona, ni rahisi kurambaza Firefox OS ina vipengele kadhaa vinavyotarajiwa na wateja. kama vile kutuma ujumbe, barua pepe, Firefox marketplace Programu zijulikanazo kama Facebook, Kamera na programu za picha na bila shaka kivinjari cha Firefox.