Converting decimals to fractions 2 (ex 1)
-
0:01 - 0:04Asilimia maana yake ni kwa 100.
-
0:04 - 0:05Hiyo ndiyo asili ya hili neno.
-
0:05 - 0:11Senti au karne au maneno yote hayo yanamaanisha 100.
-
0:11 - 0:14kwa hiyo kama mtu akikuambia 7 ya mia moja
-
0:14 - 0:16na nimetenganisha maneno ili ilete maana--
-
0:16 - 0:19anamaanisha 7 ya 100.
-
0:19 - 0:22ni sawa na 7 ya 100,
-
0:22 - 0:28ambacho ni kitu kilekile kama 7 ya sehemu ya 100.
-
0:28 - 0:29Hebu tuone kama
-
0:29 - 0:37tunaweza kuibadili 0.601 kuwa asilimia.
-
0:37 - 0:41Tunataka kuiandika kama namba yoyote juu ya 100
-
0:41 - 0:43Kwa hiyo unaweza kuiandika--
-
0:43 - 0:45Hii namba hapa
-
0:45 - 0:49kama 0.601 juu ya 1.
-
0:49 - 0:50Ni kitu kilekile.
-
0:50 - 0:52Kama ukigawanya kitu chochote kwa 1,
-
0:52 - 0:53utabakiwa na kitu kile kile.
-
0:53 - 1:00Kisha nitazidisha kwa 100 juu ya 100.
-
1:00 - 1:02Haitabadilisha thamani.
-
1:02 - 1:03Itabaki kuwa 1 hapa
-
1:03 - 1:06Lakini hii hapa itatupa jibu katika sehemu
-
1:06 - 1:08Ambayo asili itakuwa ni 100.
-
1:08 - 1:12Kwa hiyo asili, kama ukizizidisha hizi namba mbili
-
1:12 - 1:14hapa kwenye asili,
-
1:14 - 1:16asili ya zao letu itakuwa 100.
-
1:16 - 1:21Kama nikizidisha 0.0601 mara 100, jibu litakuwa ngapi?
-
1:21 - 1:25Kila ninapozidisha kwa kigawe cha 10
-
1:25 - 1:26au kila wakati ninapoizidisha kwa 10,
-
1:26 - 1:29Ninahamisha nafasi moja ya desimali kwenda upande wa kulia
-
1:29 - 1:33Kwa hiyo kama nikiizidisha kwa 10, nitapata 6.01.
-
1:33 - 1:34Na kama nikiizidisha kwa 10 tena
-
1:34 - 1:38au kama nikiizidisha kwa 100, nitapata 60.1.
-
1:38 - 1:45kwa hiyo 0.601 mara 100 ni 60.1.
-
1:45 - 1:46Ngoja niiandike tena.
-
1:46 - 1:53Kama tulitakiwa kuiandika 0.601, na ninataka kuizidisha kwa 100,
-
1:53 - 1:55ninaizidisha kwa 10 na kuhamisha nafasi moja ya desimali.
-
1:55 - 1:59Kama nikiizidisha kwa 10 tena, au nikiizidisha kwa 100,
-
1:59 - 2:01Nitapata 60.1.
-
2:01 - 2:03Kwa hiyo tunazidisha mara 10
-
2:03 - 2:04mara 10 tena.
-
2:04 - 2:06Nimezidisha kwa 100.
-
2:06 - 2:08Lakini sasa hivi iko katika mfumo tunaotaka
-
2:08 - 2:10Tuna 60.1 juu ya 100.
-
2:10 - 2:12Au tunaweza kuiandika hii.
-
2:12 - 2:18Hii ni sawa na 60.1 kwa 100,
-
2:18 - 2:25ambayo ni sawa na asilimia 60.1.
-
2:25 - 2:28Na tunataka kuiandika kama asilimia 60.1, kama neno moja
-
2:28 - 2:34au 60.1, na tutatumia alama 60.1 %
-
2:34 - 2:36Tumemaliza.
- Title:
- Converting decimals to fractions 2 (ex 1)
- Description:
-
Practice this lesson yourself on KhanAcademy.org right now: https://www.khanacademy.org/math/pre-algebra/decimals-pre-alg/decimal-to-fraction-pre-alg/e/converting_decimals_to_fractions_2?utm_source=YT&utm_medium=Desc&utm_campaign=PreAlgebra
Watch the next lesson: https://www.khanacademy.org/math/pre-algebra/decimals-pre-alg/decimal-to-fraction-pre-alg/v/converting-decimals-to-fractions-2-ex-2?utm_source=YT&utm_medium=Desc&utm_campaign=PreAlgebra
Missed the previous lesson?
https://www.khanacademy.org/math/pre-algebra/decimals-pre-alg/decimal-to-fraction-pre-alg/v/converting-decimals-to-fractions-1-ex-3?utm_source=YT&utm_medium=Desc&utm_campaign=PreAlgebraPre-Algebra on Khan Academy: No way, this isn't your run of the mill arithmetic. This is Pre-algebra. You're about to play with the professionals. Think of pre-algebra as a runway. You're the airplane and algebra is your sunny vacation destination. Without the runway you're not going anywhere. Seriously, the foundation for all higher mathematics is laid with many of the concepts that we will introduce to you here: negative numbers, absolute value, factors, multiples, decimals, and fractions to name a few. So buckle up and move your seat into the upright position. We're about to take off!
About Khan Academy: Khan Academy offers practice exercises, instructional videos, and a personalized learning dashboard that empower learners to study at their own pace in and outside of the classroom. We tackle math, science, computer programming, history, art history, economics, and more. Our math missions guide learners from kindergarten to calculus using state-of-the-art, adaptive technology that identifies strengths and learning gaps. We've also partnered with institutions like NASA, The Museum of Modern Art, The California Academy of Sciences, and MIT to offer specialized content.
For free. For everyone. Forever. #YouCanLearnAnything
Subscribe to KhanAcademy’s Pre-Algebra channel:: https://www.youtube.com/channel/UCIMlYkATtXOFswVoCZN7nAA?sub_confirmation=1
Subscribe to KhanAcademy: https://www.youtube.com/subscription_center?add_user=khanacademy - Video Language:
- English
- Team:
Khan Academy
- Duration:
- 02:36
![]() |
Fran Ontanaya edited Swahili subtitles for Converting decimals to percents | Decimals | Pre-Algebra | Khan Academy |