0:00:00.860,0:00:03.996 Asilimia maana yake ni kwa 100. 0:00:03.996,0:00:05.370 Hiyo ndiyo asili ya hili neno. 0:00:05.370,0:00:10.540 Senti au karne au maneno yote hayo yanamaanisha 100. 0:00:10.540,0:00:13.859 kwa hiyo kama mtu akikuambia 7 ya mia moja 0:00:13.859,0:00:16.400 na nimetenganisha maneno ili ilete maana-- 0:00:16.400,0:00:18.680 anamaanisha 7 ya 100. 0:00:18.680,0:00:22.260 ni sawa na 7 ya 100, 0:00:22.260,0:00:27.640 ambacho ni kitu kilekile kama 7 ya sehemu ya 100. 0:00:27.640,0:00:29.170 Hebu tuone kama 0:00:29.170,0:00:36.810 tunaweza kuibadili 0.601 kuwa asilimia. 0:00:36.810,0:00:40.930 Tunataka kuiandika kama namba yoyote juu ya 100 0:00:40.930,0:00:42.730 Kwa hiyo unaweza kuiandika-- 0:00:42.730,0:00:44.800 Hii namba hapa 0:00:44.800,0:00:48.600 kama 0.601 juu ya 1. 0:00:48.600,0:00:50.152 Ni kitu kilekile. 0:00:50.152,0:00:51.610 Kama ukigawanya kitu chochote kwa 1, 0:00:51.610,0:00:53.370 utabakiwa na kitu kile kile. 0:00:53.370,0:01:00.105 Kisha nitazidisha kwa 100 juu ya 100. 0:01:00.105,0:01:01.730 Haitabadilisha thamani. 0:01:01.730,0:01:03.310 Itabaki kuwa 1 hapa 0:01:03.310,0:01:06.000 Lakini hii hapa itatupa jibu katika sehemu 0:01:06.000,0:01:07.800 Ambayo asili itakuwa ni 100. 0:01:07.800,0:01:11.790 Kwa hiyo asili, kama ukizizidisha hizi namba mbili 0:01:11.790,0:01:13.530 hapa kwenye asili, 0:01:13.530,0:01:16.480 asili ya zao letu itakuwa 100. 0:01:16.480,0:01:21.370 Kama nikizidisha 0.0601 mara 100, jibu litakuwa ngapi? 0:01:21.370,0:01:24.570 Kila ninapozidisha kwa kigawe cha 10 0:01:24.570,0:01:26.130 au kila wakati ninapoizidisha kwa 10, 0:01:26.130,0:01:28.850 Ninahamisha nafasi moja ya desimali kwenda upande wa kulia 0:01:28.850,0:01:32.560 Kwa hiyo kama nikiizidisha kwa 10, nitapata 6.01. 0:01:32.560,0:01:34.070 Na kama nikiizidisha kwa 10 tena 0:01:34.070,0:01:37.830 au kama nikiizidisha kwa 100, nitapata 60.1. 0:01:37.830,0:01:44.700 kwa hiyo 0.601 mara 100 ni 60.1. 0:01:44.700,0:01:46.240 Ngoja niiandike tena. 0:01:46.240,0:01:52.930 Kama tulitakiwa kuiandika 0.601, na ninataka kuizidisha kwa 100, 0:01:52.930,0:01:55.250 ninaizidisha kwa 10 na kuhamisha nafasi moja ya desimali. 0:01:55.250,0:01:59.020 Kama nikiizidisha kwa 10 tena, au nikiizidisha kwa 100, 0:01:59.020,0:02:01.130 Nitapata 60.1. 0:02:01.130,0:02:02.600 Kwa hiyo tunazidisha mara 10 0:02:02.600,0:02:03.880 mara 10 tena. 0:02:03.880,0:02:05.970 Nimezidisha kwa 100. 0:02:05.970,0:02:07.880 Lakini sasa hivi iko katika mfumo tunaotaka 0:02:07.880,0:02:09.919 Tuna 60.1 juu ya 100. 0:02:09.919,0:02:11.550 Au tunaweza kuiandika hii. 0:02:11.550,0:02:18.500 Hii ni sawa na 60.1 kwa 100, 0:02:18.500,0:02:24.860 ambayo ni sawa na asilimia 60.1. 0:02:24.860,0:02:28.460 Na tunataka kuiandika kama asilimia 60.1, kama neno moja 0:02:28.460,0:02:33.930 au 60.1, na tutatumia alama 60.1 % 0:02:33.930,0:02:35.940 Tumemaliza.