Asilimia maana yake ni kwa 100. Hiyo ndiyo asili ya hili neno. Senti au karne au maneno yote hayo yanamaanisha 100. kwa hiyo kama mtu akikuambia 7 ya mia moja na nimetenganisha maneno ili ilete maana-- anamaanisha 7 ya 100. ni sawa na 7 ya 100, ambacho ni kitu kilekile kama 7 ya sehemu ya 100. Hebu tuone kama tunaweza kuibadili 0.601 kuwa asilimia. Tunataka kuiandika kama namba yoyote juu ya 100 Kwa hiyo unaweza kuiandika-- Hii namba hapa kama 0.601 juu ya 1. Ni kitu kilekile. Kama ukigawanya kitu chochote kwa 1, utabakiwa na kitu kile kile. Kisha nitazidisha kwa 100 juu ya 100. Haitabadilisha thamani. Itabaki kuwa 1 hapa Lakini hii hapa itatupa jibu katika sehemu Ambayo asili itakuwa ni 100. Kwa hiyo asili, kama ukizizidisha hizi namba mbili hapa kwenye asili, asili ya zao letu itakuwa 100. Kama nikizidisha 0.0601 mara 100, jibu litakuwa ngapi? Kila ninapozidisha kwa kigawe cha 10 au kila wakati ninapoizidisha kwa 10, Ninahamisha nafasi moja ya desimali kwenda upande wa kulia Kwa hiyo kama nikiizidisha kwa 10, nitapata 6.01. Na kama nikiizidisha kwa 10 tena au kama nikiizidisha kwa 100, nitapata 60.1. kwa hiyo 0.601 mara 100 ni 60.1. Ngoja niiandike tena. Kama tulitakiwa kuiandika 0.601, na ninataka kuizidisha kwa 100, ninaizidisha kwa 10 na kuhamisha nafasi moja ya desimali. Kama nikiizidisha kwa 10 tena, au nikiizidisha kwa 100, Nitapata 60.1. Kwa hiyo tunazidisha mara 10 mara 10 tena. Nimezidisha kwa 100. Lakini sasa hivi iko katika mfumo tunaotaka Tuna 60.1 juu ya 100. Au tunaweza kuiandika hii. Hii ni sawa na 60.1 kwa 100, ambayo ni sawa na asilimia 60.1. Na tunataka kuiandika kama asilimia 60.1, kama neno moja au 60.1, na tutatumia alama 60.1 % Tumemaliza.