[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.86,0:00:03.100,Default,,0000,0000,0000,,Asilimia maana yake ni kwa 100. Dialogue: 0,0:00:03.100,0:00:05.37,Default,,0000,0000,0000,,Hiyo ndiyo asili ya hili neno. Dialogue: 0,0:00:05.37,0:00:10.54,Default,,0000,0000,0000,,Senti au karne au maneno yote hayo yanamaanisha 100. Dialogue: 0,0:00:10.54,0:00:13.86,Default,,0000,0000,0000,,kwa hiyo kama mtu akikuambia 7 ya mia moja Dialogue: 0,0:00:13.86,0:00:16.40,Default,,0000,0000,0000,,na nimetenganisha maneno ili ilete maana-- Dialogue: 0,0:00:16.40,0:00:18.68,Default,,0000,0000,0000,,anamaanisha 7 ya 100. Dialogue: 0,0:00:18.68,0:00:22.26,Default,,0000,0000,0000,,ni sawa na 7 ya 100, Dialogue: 0,0:00:22.26,0:00:27.64,Default,,0000,0000,0000,,ambacho ni kitu kilekile kama 7 ya sehemu ya 100. Dialogue: 0,0:00:27.64,0:00:29.17,Default,,0000,0000,0000,,Hebu tuone kama Dialogue: 0,0:00:29.17,0:00:36.81,Default,,0000,0000,0000,,tunaweza kuibadili 0.601 kuwa asilimia. Dialogue: 0,0:00:36.81,0:00:40.93,Default,,0000,0000,0000,,Tunataka kuiandika kama namba yoyote juu ya 100 Dialogue: 0,0:00:40.93,0:00:42.73,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo unaweza kuiandika-- Dialogue: 0,0:00:42.73,0:00:44.80,Default,,0000,0000,0000,,Hii namba hapa Dialogue: 0,0:00:44.80,0:00:48.60,Default,,0000,0000,0000,,kama 0.601 juu ya 1. Dialogue: 0,0:00:48.60,0:00:50.15,Default,,0000,0000,0000,,Ni kitu kilekile. Dialogue: 0,0:00:50.15,0:00:51.61,Default,,0000,0000,0000,,Kama ukigawanya kitu chochote kwa 1, Dialogue: 0,0:00:51.61,0:00:53.37,Default,,0000,0000,0000,,utabakiwa na kitu kile kile. Dialogue: 0,0:00:53.37,0:01:00.10,Default,,0000,0000,0000,,Kisha nitazidisha kwa 100 juu ya 100. Dialogue: 0,0:01:00.10,0:01:01.73,Default,,0000,0000,0000,,Haitabadilisha thamani. Dialogue: 0,0:01:01.73,0:01:03.31,Default,,0000,0000,0000,,Itabaki kuwa 1 hapa Dialogue: 0,0:01:03.31,0:01:06.00,Default,,0000,0000,0000,,Lakini hii hapa itatupa jibu katika sehemu Dialogue: 0,0:01:06.00,0:01:07.80,Default,,0000,0000,0000,,Ambayo asili itakuwa ni 100. Dialogue: 0,0:01:07.80,0:01:11.79,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo asili, kama ukizizidisha hizi namba mbili Dialogue: 0,0:01:11.79,0:01:13.53,Default,,0000,0000,0000,,hapa kwenye asili, Dialogue: 0,0:01:13.53,0:01:16.48,Default,,0000,0000,0000,,asili ya zao letu itakuwa 100. Dialogue: 0,0:01:16.48,0:01:21.37,Default,,0000,0000,0000,,Kama nikizidisha 0.0601 mara 100, jibu litakuwa ngapi? Dialogue: 0,0:01:21.37,0:01:24.57,Default,,0000,0000,0000,,Kila ninapozidisha kwa kigawe cha 10 Dialogue: 0,0:01:24.57,0:01:26.13,Default,,0000,0000,0000,,au kila wakati ninapoizidisha kwa 10, Dialogue: 0,0:01:26.13,0:01:28.85,Default,,0000,0000,0000,,Ninahamisha nafasi moja ya desimali kwenda upande wa kulia Dialogue: 0,0:01:28.85,0:01:32.56,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo kama nikiizidisha kwa 10, nitapata 6.01. Dialogue: 0,0:01:32.56,0:01:34.07,Default,,0000,0000,0000,,Na kama nikiizidisha kwa 10 tena Dialogue: 0,0:01:34.07,0:01:37.83,Default,,0000,0000,0000,,au kama nikiizidisha kwa 100, nitapata 60.1. Dialogue: 0,0:01:37.83,0:01:44.70,Default,,0000,0000,0000,,kwa hiyo 0.601 mara 100 ni 60.1. Dialogue: 0,0:01:44.70,0:01:46.24,Default,,0000,0000,0000,,Ngoja niiandike tena. Dialogue: 0,0:01:46.24,0:01:52.93,Default,,0000,0000,0000,,Kama tulitakiwa kuiandika 0.601, na ninataka kuizidisha kwa 100, Dialogue: 0,0:01:52.93,0:01:55.25,Default,,0000,0000,0000,,ninaizidisha kwa 10 na kuhamisha nafasi moja ya desimali. Dialogue: 0,0:01:55.25,0:01:59.02,Default,,0000,0000,0000,,Kama nikiizidisha kwa 10 tena, au nikiizidisha kwa 100, Dialogue: 0,0:01:59.02,0:02:01.13,Default,,0000,0000,0000,,Nitapata 60.1. Dialogue: 0,0:02:01.13,0:02:02.60,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo tunazidisha mara 10 Dialogue: 0,0:02:02.60,0:02:03.88,Default,,0000,0000,0000,,mara 10 tena. Dialogue: 0,0:02:03.88,0:02:05.97,Default,,0000,0000,0000,,Nimezidisha kwa 100. Dialogue: 0,0:02:05.97,0:02:07.88,Default,,0000,0000,0000,,Lakini sasa hivi iko katika mfumo tunaotaka Dialogue: 0,0:02:07.88,0:02:09.92,Default,,0000,0000,0000,,Tuna 60.1 juu ya 100. Dialogue: 0,0:02:09.92,0:02:11.55,Default,,0000,0000,0000,,Au tunaweza kuiandika hii. Dialogue: 0,0:02:11.55,0:02:18.50,Default,,0000,0000,0000,,Hii ni sawa na 60.1 kwa 100, Dialogue: 0,0:02:18.50,0:02:24.86,Default,,0000,0000,0000,,ambayo ni sawa na asilimia 60.1. Dialogue: 0,0:02:24.86,0:02:28.46,Default,,0000,0000,0000,,Na tunataka kuiandika kama asilimia 60.1, kama neno moja Dialogue: 0,0:02:28.46,0:02:33.93,Default,,0000,0000,0000,,au 60.1, na tutatumia alama 60.1 % Dialogue: 0,0:02:33.93,0:02:35.94,Default,,0000,0000,0000,,Tumemaliza.