< Return to Video

UKOMBOZI Kutokana kwenye Hofu, UPONYWAJI wa hali ya Mapigo ya Moyo!

  • 0:00 - 0:03
    Kama vile nguvu za mungu zilivyopenya mwilini mwangu, nilihisi kuwa mwepesi,
  • 0:03 - 0:07
    Tangu siku hiyo, nimeweza kulala bila kumeza dawa yoyote
  • 0:07 - 0:09
    Mapigo ya moyo yameisha!
  • 0:11 - 0:17
    Natangaza uponyaji sasa hivi!
  • 0:17 - 0:24
    Ukarejeshwe katika jina la Yesu! Ukafufuliwe katika jina Yesu kristo!
  • 0:24 - 0:30
    Chochote ambacho giza imeingiza mwilini mwako
  • 0:30 - 0:39
    inayoleta machungu, mateso, upungufu wa nguvu - nasema ukatolewe nje sasa hivi!
  • 0:39 - 0:42
    Anza kukemea hayo magonjwa mwilini mwako.
  • 0:42 - 0:45
    Kemea hayo mateso ndani ya viungo vya mwili wako.
  • 0:45 - 0:49
    Kemea Ugonjwa huo mwilini mwako!
  • 0:49 - 0:55
    Kemea ugonjwa huo katika jina la Yesu Kristo!
  • 0:57 - 0:59
    tafadhali, jitambulishe,
  • 0:59 - 1:02
    Majina yako na Nchi unayotokea
  • 1:02 - 1:05
    na pia wale wanaoketi pamoja nawe.
  • 1:05 - 1:09
    Majina yangu ni Emily; natoka Uingereza
  • 1:09 - 1:13
    Walio kando yangu ni mume na mtoto wangu.
  • 1:13 - 1:20
    nilikuwa na shida ya kupumua nikilala - yaani, kuwa na ugumu wa kulala.
  • 1:20 - 1:27
    nilikuwa na shida ya mapigo ya moyo, machungu, roho ya uoga na wasiwasi.
  • 1:27 - 1:35
    ilianza Mei 2023, baada tu ya kujifungua mtoto.
  • 1:35 - 1:39
    kilichofanyika kwanza ni kuwa nilikuwa na wasiwasi na uoga,
  • 1:39 - 1:43
    halafu ikafuatia uchungu mapigo ya moyo.
  • 1:43 - 1:45
    Niliambiwa niende Hospitalini.
  • 1:45 - 1:49
    Hospitalini hawakuweza kupata shida yoyote kwangu
  • 1:49 - 1:52
    nilirudi nyumbani halafu tena nilirudi tena
  • 1:52 - 1:58
    niliporudi, walipata kwamba moyo wangu ulipiga kwa haraka sana kuliko kawaida.
  • 1:58 - 2:04
    nikawaeleza kuwa kwa muda wa siku tano sijaweza kupata lepe la usingizi
  • 2:04 - 2:09
    Kila siku sikuweza kulala vizuri, ningeenda kitandani na kukosa kulala kabisa.
  • 2:09 - 2:14
    walinipa madawa ya kuniwezesha kulala
  • 2:14 - 2:19
    hayo ndio madawa niliyopewa
  • 2:19 - 2:26
    nilianza kumeza madawa hayo ndipo niweze kulala lakini hayakufanya kazi
  • 2:26 - 2:33
    niliendelea kumeza, lakini shida ikaongezeka kuwa mbaya hata zaidi.
  • 2:33 - 2:40
    halafu nikaambiwa kwamba dalili hizo zilikuwa zafanana na zile za kupata mshtuko wa moyo.
  • 2:40 - 2:47
    na pia roho ya uoga , kwa sababu ya uchungu niliyohisi moyoni
  • 2:47 - 2:50
    mapigo ya moyo kwamba ningeanguka nife wakati wowote
  • 2:50 - 2:54
    ilikuwa mahali na nyakati mbaya sana kuwa
  • 2:54 - 2:58
    kupitia hiyo roho ya uoga, adui akaanza kuniongelesha
  • 2:58 - 3:02
    kwamba hata nikifa, singeenda mbinguni
  • 3:02 - 3:08
    shida hii ilinitatiza sana, hivi kwamba singeweza kuhudumia watoto wangu
  • 3:08 - 3:17
    ningekaa karibu nao na wanapolia singeweza kuwasaidia vyema.
  • 3:17 - 3:24
    Hivyo nilitafuta suluhisho kwa sababu sikuwa najua cha kufanya
  • 3:24 - 3:29
    singeweza kusoma neno la mungu ama kuomba nilikuwa mahali pabaya.
  • 3:29 - 3:35
    kwamba siku moja niliona video ya ndugu Chris
  • 3:35 - 3:41
    alikuwa anaongea juu ya kulisha moto usioweza kuuzima
  • 3:41 - 3:49
    kwa hiyo video, Ndugu Chris alisema kwamba shetani anatumia mambo kama uoga, wasiwasi na huzuni
  • 3:49 - 3:53
    na kila aina ya mambo mabaya kuingia maishani mwetu.
  • 3:53 - 3:59
    kwa hivyo jinsi alivyoeleza katika video hiyo, ni vile shida zangu zilivyoanza na kuendelea.
  • 3:59 - 4:03
    Baada ya kuitafuta mtandaoni
  • 4:03 - 4:06
    niliweza kutuma ujumbe ya kutaka maombi .
  • 4:06 - 4:14
    hivyo, nilialikwa katika maombi ya pamoja na Ndugu Chris Desemba 2023.
  • 4:14 - 4:19
    siku hiyo ya maombi ya pamoja, Ndugu Chris akatoka
  • 4:19 - 4:23
    Akasema, sijui shida unayopitia, unachopitia
  • 4:23 - 4:27
    au uzito wa shida yako inayokusumbua
  • 4:27 - 4:31
    lakini jambo moja ni kuwa Yesu Kristo anaweza kuguza roho yako
  • 4:31 - 4:35
    Anaweza kutatua shida yako
  • 4:35 - 4:37
    na ndivyo nilivyohisi wakati huo
  • 4:37 - 4:45
    wakati Ndugu Chris alianza kuomba, nilihisi nguvu za mungu ikiniingia ndani yangu
  • 4:45 - 4:54
    nilihisi nguvu za Mungu ikitoa shida zote - kwa kuwa nilihisi uzito moyoni na mwilini
  • 4:54 - 4:58
    Wakati nguvu za mungu zilitembea mwilini, nilihis kuwa mwepesi
  • 4:58 - 5:01
    hivyo ndivyo nilivyohisi wakati huo kupitia kwa nguvu za mungu
  • 5:01 - 5:05
    na tangia siku hgiyo, naweza kulala vizuri bila kumeza dawa yoyote,
  • 5:05 - 5:09
    sina tena mapigo ya moyo, - siyasikii tena
  • 5:09 - 5:13
    sihisi uchungu tena moyoni, nafurahi tu!
  • 5:13 - 5:18
    Hiyo ndiyo ilinitoka - nyakati hizo sikuwa na amani, furaha
  • 5:18 - 5:23
    lakini tangu siku hiyo, ninafurahi na nina amani
  • 5:23 - 5:27
    namshukuru mungu kwa neema yake maishani mwangu, katika jina la Yesu.
  • 5:27 - 5:30
    twaweza kusikia kwa haraka neno moja kutoka kwa mume wako,
  • 5:30 - 5:35
    ili tujue zaidi jinsi shida hii ilivyomtatiza pia?
  • 5:35 - 5:41
    Kabla, nilipombeba mtoto na aanze kulia,
  • 5:41 - 5:44
    angesema mbona haumsaidii mtoto - mbona wafanya hivyo?
  • 5:44 - 5:47
    hivyo nigesema, ''Ni nini? Usijali, nitamhudumia tu'
  • 5:47 - 5:52
    Kwa kuwa hangetaka mtoto wake alie hakutaka hivyo.
  • 5:52 - 5:54
    alisema kuwa ilimfanya moyo wake kuruka.
  • 5:54 - 5:59
    kwa mda wa miezi mitatu iliyopita, nilishangaa kwa nini hakushughulika wakati mtoto alilia,
  • 5:59 - 6:02
    ningemuuliza, 'je hautatiziki mtoto anapolia?'
  • 6:02 - 6:07
    ilikaa kama hana haja kwa mtoto, hivyo nilishangaa mbona.
  • 6:07 - 6:11
    hata na hayo machungu, hakunieleza alichokuwa akipitia
  • 6:11 - 6:17
    lakini aliniambia tu, kwamba alikuwa hana usingizi na moyo wake unapiga kwa kasi.
  • 6:17 - 6:25
    alipoenda hospitalini nikasema, 'Mungu wamjua vizuri. ni wewe unayeweza kumweka huru.'
  • 6:25 - 6:28
    Hakuna mtu mwingine, kwa kuwa wewe ndiye ulimuumba.
  • 6:28 - 6:31
    Ni wewe tu ujuaye jinsi ya kutoa shida'
  • 6:31 - 6:35
    kwa Neema yake mungu, akaniambia kuwa alikuwa amealikwa,
  • 6:35 - 6:39
    kwa maombi ya pamoja na Ndugu Chris
  • 6:39 - 6:44
    nikasema, 'sioni ikifika hio siku nione kwa kuwa nilijua hiyo siku itakuwa siku yake ya kuwekwa huru
  • 6:44 - 6:52
    Kusema ukweli, alishinda mtandaoni sana, lakini siku hizi
  • 6:52 - 6:58
    nimebarikiwa kuona kwamba ninaporudi nyumbani nampata akisoma neno la mungu.
  • 6:58 - 7:03
    nimefurahia sana jinsi anavyompenda Mungu na kuwa amejitolea kwa mambo ya mungu.
  • 7:03 - 7:08
    Nilikuwa nasema, Bibi yangu, twende kanisani lakini siku hizi ni yeye anayeniambia
  • 7:08 - 7:14
    'Leo ni Jumapili, twende kanisani', nahisi vizuri sana.
  • 7:14 - 7:19
    ambacho sasa tunafurahia kama familia. Nimebarikiwa! Na Mungu akubariki.
  • 7:19 - 7:24
    kwa kazi unayofanya na Mungu azidi ndani yhake, katika jina la Yesu.
  • 7:24 - 7:29
    Kama tunavyojua, Ndugu Chris mara nyingi anasema, 'jitie moyo'.
  • 7:29 - 7:36
    Kwa kweli, wosia wangu waweza kwenda pamoja na hili neno-'jitie moyo'
  • 7:36 - 7:40
    ni jambo muhimu katika maisha yako ya kikristo.
  • 7:40 - 7:43
    Kwa kuwa ni njia ya kuunganishwa pamoja na Mungu
  • 7:43 - 7:50
    Tunafaa kuichukua neno la Mungu ndani yha mioyo yetu. Tunafaa tuishi ndani yake na kupata kila jambo
  • 7:50 - 7:52
    tunalotaka ndani ya neno la Mungu kila siku
  • 7:52 - 7:57
    tunafaa kuwa ndani ya neno lake Mungu, ili kwa uwezo wa nafsi yake,
  • 7:57 - 8:01
    itatubadilisha, ikatusafisha na kutufanya kuwa sawa na Mungu.
  • 8:01 - 8:06
    Hivyo ndivyo tunafaa kufanya-chunga sana moyo wako, mpe Mungu kila siku,
  • 8:06 - 8:11
    Jilaze ndani yaneno lake Mungu na ukafanye neno iwe jumla ya maisha yako, katika jina Yesu.
Title:
UKOMBOZI Kutokana kwenye Hofu, UPONYWAJI wa hali ya Mapigo ya Moyo!
Description:

Emily aliumizwa sana na roho ya uoga na wasiwasi, pamoja na mapigo ya moyo na shida ya kutoweza kulala, iliyomfanya aelekezwe kwa giza aliyohisi kufa dakika yeyote.

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
08:41

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions