1 00:00:00,000 --> 00:00:03,080 Kama vile nguvu za mungu zilivyopenya mwilini mwangu, nilihisi kuwa mwepesi, 2 00:00:03,080 --> 00:00:06,960 Tangu siku hiyo, nimeweza kulala bila kumeza dawa yoyote 3 00:00:06,960 --> 00:00:09,360 Mapigo ya moyo yameisha! 4 00:00:10,720 --> 00:00:16,880 Natangaza uponyaji sasa hivi! 5 00:00:16,880 --> 00:00:24,120 Ukarejeshwe katika jina la Yesu! Ukafufuliwe katika jina Yesu kristo! 6 00:00:24,120 --> 00:00:29,720 Chochote ambacho giza imeingiza mwilini mwako 7 00:00:29,720 --> 00:00:38,600 inayoleta machungu, mateso, upungufu wa nguvu - nasema ukatolewe nje sasa hivi! 8 00:00:38,600 --> 00:00:42,280 Anza kukemea hayo magonjwa mwilini mwako. 9 00:00:42,280 --> 00:00:45,480 Kemea hayo mateso ndani ya viungo vya mwili wako. 10 00:00:45,480 --> 00:00:48,920 Kemea Ugonjwa huo mwilini mwako! 11 00:00:48,920 --> 00:00:55,280 Kemea ugonjwa huo katika jina la Yesu Kristo! 12 00:00:57,000 --> 00:00:58,800 tafadhali, jitambulishe, 13 00:00:58,800 --> 00:01:01,920 Majina yako na Nchi unayotokea 14 00:01:01,920 --> 00:01:05,360 na pia wale wanaoketi pamoja nawe. 15 00:01:05,360 --> 00:01:09,440 Majina yangu ni Emily; natoka Uingereza 16 00:01:09,440 --> 00:01:13,080 Walio kando yangu ni mume na mtoto wangu. 17 00:01:13,080 --> 00:01:20,000 nilikuwa na shida ya kupumua nikilala - yaani, kuwa na ugumu wa kulala. 18 00:01:20,000 --> 00:01:26,800 nilikuwa na shida ya mapigo ya moyo, machungu, roho ya uoga na wasiwasi. 19 00:01:26,800 --> 00:01:34,600 ilianza Mei 2023, baada tu ya kujifungua mtoto. 20 00:01:34,600 --> 00:01:39,120 kilichofanyika kwanza ni kuwa nilikuwa na wasiwasi na uoga, 21 00:01:39,120 --> 00:01:42,960 halafu ikafuatia uchungu mapigo ya moyo. 22 00:01:42,960 --> 00:01:45,320 Niliambiwa niende Hospitalini. 23 00:01:45,320 --> 00:01:48,680 Hospitalini hawakuweza kupata shida yoyote kwangu 24 00:01:48,680 --> 00:01:52,120 nilirudi nyumbani halafu tena nilirudi tena 25 00:01:52,120 --> 00:01:58,480 niliporudi, walipata kwamba moyo wangu ulipiga kwa haraka sana kuliko kawaida. 26 00:01:58,480 --> 00:02:04,440 nikawaeleza kuwa kwa muda wa siku tano sijaweza kupata lepe la usingizi 27 00:02:04,440 --> 00:02:08,520 Kila siku sikuweza kulala vizuri, ningeenda kitandani na kukosa kulala kabisa. 28 00:02:08,520 --> 00:02:13,720 walinipa madawa ya kuniwezesha kulala 29 00:02:13,720 --> 00:02:19,440 hayo ndio madawa niliyopewa 30 00:02:19,440 --> 00:02:25,520 nilianza kumeza madawa hayo ndipo niweze kulala lakini hayakufanya kazi 31 00:02:25,520 --> 00:02:33,480 niliendelea kumeza, lakini shida ikaongezeka kuwa mbaya hata zaidi. 32 00:02:33,480 --> 00:02:39,720 halafu nikaambiwa kwamba dalili hizo zilikuwa zafanana na zile za kupata mshtuko wa moyo. 33 00:02:39,720 --> 00:02:47,040 na pia roho ya uoga , kwa sababu ya uchungu niliyohisi moyoni 34 00:02:47,040 --> 00:02:50,160 mapigo ya moyo kwamba ningeanguka nife wakati wowote 35 00:02:50,160 --> 00:02:54,120 ilikuwa mahali na nyakati mbaya sana kuwa 36 00:02:54,120 --> 00:02:57,920 kupitia hiyo roho ya uoga, adui akaanza kuniongelesha 37 00:02:57,920 --> 00:03:02,240 kwamba hata nikifa, singeenda mbinguni 38 00:03:02,240 --> 00:03:07,880 shida hii ilinitatiza sana, hivi kwamba singeweza kuhudumia watoto wangu 39 00:03:07,880 --> 00:03:17,120 ningekaa karibu nao na wanapolia singeweza kuwasaidia vyema. 40 00:03:17,120 --> 00:03:23,960 Hivyo nilitafuta suluhisho kwa sababu sikuwa najua cha kufanya 41 00:03:23,960 --> 00:03:28,680 singeweza kusoma neno la mungu ama kuomba nilikuwa mahali pabaya. 42 00:03:28,680 --> 00:03:34,520 kwamba siku moja niliona video ya ndugu Chris 43 00:03:34,520 --> 00:03:41,040 alikuwa anaongea juu ya kulisha moto usioweza kuuzima 44 00:03:41,040 --> 00:03:48,920 kwa hiyo video, Ndugu Chris alisema kwamba shetani anatumia mambo kama uoga, wasiwasi na huzuni 45 00:03:48,920 --> 00:03:52,520 na kila aina ya mambo mabaya kuingia maishani mwetu. 46 00:03:52,520 --> 00:03:59,440 kwa hivyo jinsi alivyoeleza katika video hiyo, ni vile shida zangu zilivyoanza na kuendelea. 47 00:03:59,440 --> 00:04:02,840 Baada ya kuitafuta mtandaoni 48 00:04:02,840 --> 00:04:06,320 niliweza kutuma ujumbe ya kutaka maombi . 49 00:04:06,320 --> 00:04:13,640 hivyo, nilialikwa katika maombi ya pamoja na Ndugu Chris Desemba 2023. 50 00:04:13,640 --> 00:04:18,840 siku hiyo ya maombi ya pamoja, Ndugu Chris akatoka 51 00:04:18,840 --> 00:04:22,640 Akasema, sijui shida unayopitia, unachopitia 52 00:04:22,640 --> 00:04:27,000 au uzito wa shida yako inayokusumbua 53 00:04:27,000 --> 00:04:31,360 lakini jambo moja ni kuwa Yesu Kristo anaweza kuguza roho yako 54 00:04:31,360 --> 00:04:34,520 Anaweza kutatua shida yako 55 00:04:34,520 --> 00:04:37,400 na ndivyo nilivyohisi wakati huo 56 00:04:37,400 --> 00:04:45,400 wakati Ndugu Chris alianza kuomba, nilihisi nguvu za mungu ikiniingia ndani yangu 57 00:04:45,400 --> 00:04:53,720 nilihisi nguvu za Mungu ikitoa shida zote - kwa kuwa nilihisi uzito moyoni na mwilini 58 00:04:53,720 --> 00:04:58,280 Wakati nguvu za mungu zilitembea mwilini, nilihis kuwa mwepesi 59 00:04:58,280 --> 00:05:01,160 hivyo ndivyo nilivyohisi wakati huo kupitia kwa nguvu za mungu 60 00:05:01,160 --> 00:05:05,240 na tangia siku hgiyo, naweza kulala vizuri bila kumeza dawa yoyote, 61 00:05:05,240 --> 00:05:08,680 sina tena mapigo ya moyo, - siyasikii tena 62 00:05:08,680 --> 00:05:13,440 sihisi uchungu tena moyoni, nafurahi tu! 63 00:05:13,440 --> 00:05:17,840 Hiyo ndiyo ilinitoka - nyakati hizo sikuwa na amani, furaha 64 00:05:17,840 --> 00:05:22,880 lakini tangu siku hiyo, ninafurahi na nina amani 65 00:05:22,880 --> 00:05:26,720 namshukuru mungu kwa neema yake maishani mwangu, katika jina la Yesu. 66 00:05:26,720 --> 00:05:29,800 twaweza kusikia kwa haraka neno moja kutoka kwa mume wako, 67 00:05:29,800 --> 00:05:34,840 ili tujue zaidi jinsi shida hii ilivyomtatiza pia? 68 00:05:34,840 --> 00:05:40,520 Kabla, nilipombeba mtoto na aanze kulia, 69 00:05:40,520 --> 00:05:43,920 angesema mbona haumsaidii mtoto - mbona wafanya hivyo? 70 00:05:43,920 --> 00:05:47,440 hivyo nigesema, ''Ni nini? Usijali, nitamhudumia tu' 71 00:05:47,440 --> 00:05:51,720 Kwa kuwa hangetaka mtoto wake alie hakutaka hivyo. 72 00:05:51,720 --> 00:05:53,880 alisema kuwa ilimfanya moyo wake kuruka. 73 00:05:53,880 --> 00:05:59,200 kwa mda wa miezi mitatu iliyopita, nilishangaa kwa nini hakushughulika wakati mtoto alilia, 74 00:05:59,200 --> 00:06:01,640 ningemuuliza, 'je hautatiziki mtoto anapolia?' 75 00:06:01,640 --> 00:06:07,160 ilikaa kama hana haja kwa mtoto, hivyo nilishangaa mbona. 76 00:06:07,160 --> 00:06:11,400 hata na hayo machungu, hakunieleza alichokuwa akipitia 77 00:06:11,400 --> 00:06:17,080 lakini aliniambia tu, kwamba alikuwa hana usingizi na moyo wake unapiga kwa kasi. 78 00:06:17,080 --> 00:06:25,400 alipoenda hospitalini nikasema, 'Mungu wamjua vizuri. ni wewe unayeweza kumweka huru.' 79 00:06:25,400 --> 00:06:28,280 Hakuna mtu mwingine, kwa kuwa wewe ndiye ulimuumba. 80 00:06:28,280 --> 00:06:31,320 Ni wewe tu ujuaye jinsi ya kutoa shida' 81 00:06:31,320 --> 00:06:35,480 kwa Neema yake mungu, akaniambia kuwa alikuwa amealikwa, 82 00:06:35,480 --> 00:06:39,280 kwa maombi ya pamoja na Ndugu Chris 83 00:06:39,280 --> 00:06:44,400 nikasema, 'sioni ikifika hio siku nione kwa kuwa nilijua hiyo siku itakuwa siku yake ya kuwekwa huru 84 00:06:44,400 --> 00:06:51,920 Kusema ukweli, alishinda mtandaoni sana, lakini siku hizi 85 00:06:51,920 --> 00:06:57,680 nimebarikiwa kuona kwamba ninaporudi nyumbani nampata akisoma neno la mungu. 86 00:06:57,680 --> 00:07:02,800 nimefurahia sana jinsi anavyompenda Mungu na kuwa amejitolea kwa mambo ya mungu. 87 00:07:02,800 --> 00:07:08,080 Nilikuwa nasema, Bibi yangu, twende kanisani lakini siku hizi ni yeye anayeniambia 88 00:07:08,080 --> 00:07:13,760 'Leo ni Jumapili, twende kanisani', nahisi vizuri sana. 89 00:07:13,760 --> 00:07:18,720 ambacho sasa tunafurahia kama familia. Nimebarikiwa! Na Mungu akubariki. 90 00:07:18,720 --> 00:07:24,120 kwa kazi unayofanya na Mungu azidi ndani yhake, katika jina la Yesu. 91 00:07:24,120 --> 00:07:29,120 Kama tunavyojua, Ndugu Chris mara nyingi anasema, 'jitie moyo'. 92 00:07:29,120 --> 00:07:35,520 Kwa kweli, wosia wangu waweza kwenda pamoja na hili neno-'jitie moyo' 93 00:07:35,520 --> 00:07:40,000 ni jambo muhimu katika maisha yako ya kikristo. 94 00:07:40,000 --> 00:07:42,760 Kwa kuwa ni njia ya kuunganishwa pamoja na Mungu 95 00:07:42,760 --> 00:07:49,960 Tunafaa kuichukua neno la Mungu ndani yha mioyo yetu. Tunafaa tuishi ndani yake na kupata kila jambo 96 00:07:49,960 --> 00:07:52,360 tunalotaka ndani ya neno la Mungu kila siku 97 00:07:52,360 --> 00:07:57,200 tunafaa kuwa ndani ya neno lake Mungu, ili kwa uwezo wa nafsi yake, 98 00:07:57,200 --> 00:08:00,760 itatubadilisha, ikatusafisha na kutufanya kuwa sawa na Mungu. 99 00:08:00,760 --> 00:08:05,520 Hivyo ndivyo tunafaa kufanya-chunga sana moyo wako, mpe Mungu kila siku, 100 00:08:05,520 --> 00:08:11,080 Jilaze ndani yaneno lake Mungu na ukafanye neno iwe jumla ya maisha yako, katika jina Yesu.