UKOMBOZI Kutokana kwenye Hofu, UPONYWAJI wa hali ya Mapigo ya Moyo!
-
0:00 - 0:03Kama vile nguvu za mungu zilivyopenya mwilini mwangu, nilihisi kuwa mwepesi,
-
0:03 - 0:07Tangu siku hiyo, nimeweza kulala bila kumeza dawa yoyote
-
0:07 - 0:09Mapigo ya moyo yameisha!
-
0:11 - 0:17Natangaza uponyaji sasa hivi!
-
0:17 - 0:24Ukarejeshwe katika jina la Yesu! Ukafufuliwe katika jina Yesu kristo!
-
0:24 - 0:30Chochote ambacho giza imeingiza mwilini mwako
-
0:30 - 0:39inayoleta machungu, mateso, upungufu wa nguvu - nasema ukatolewe nje sasa hivi!
-
0:39 - 0:42Anza kukemea hayo magonjwa mwilini mwako.
-
0:42 - 0:45Kemea hayo mateso ndani ya viungo vywa mwili wako.
-
0:45 - 0:49Kemea Ugonjwa huo mwilini mwako
-
0:49 - 0:55Kemea ugonjwa huo katika jina la Yesu Kristo!
-
0:57 - 0:59tafadhali, jitambulishe,
-
0:59 - 1:02Majina yako na Nchi unayotokea
-
1:02 - 1:05na pia wale wanaoketi pamoja nawe.
-
1:05 - 1:09majina yangu ni Emily; natoka Uingereza
-
1:09 - 1:13anayeketi kando yangu ni mume na mtoto wangu.
-
1:13 - 1:20nilikuwa na shida ya kupumua - hivi kwamba, kuwa na shida ya kulala.
-
1:20 - 1:27nilikuwa na shida ya mapigo ya moyo, machungu, roho ya uoga na wasiwasi.
-
1:27 - 1:35ilianza Mei 2023, baada tu ya kujifungua mtoto.
-
1:35 - 1:39kilichofanyika kwanza ni kuwa nilikuwa na wasiwasi na uoga,
-
1:39 - 1:43halafu ikafuatia mapigo uchungu ya moyo.
-
1:43 - 1:45Niliambiwa niende Hospitalini
-
1:45 - 1:49na Hospitalini hawakuweza kupata shida yoyote kwangu
-
1:49 - 1:52nilirudi nyumbani halafu tena niliredi tena
-
1:52 - 1:58niliporujdi, walipata kwamba moyo wangu ulipiga kwa haraka sana kuliko kawaida.
-
1:58 - 2:04nikawaeleza kuwa kwa mda wa siku tano sijaweza kupata lepe la usingizi
-
2:04 - 2:09Kila siku sikuweza kulala vizuri, ningeenda kitandani na kukosa kulala kabisa.
-
2:09 - 2:14walinipa madawa ya kuniwezesha kulala
-
2:14 - 2:19hayo ndio madawa niliyopewa
-
2:19 - 2:26nilianza kumeza madawa hayo ndipo niweze kulala lakini hayakufanya kazi
-
2:26 - 2:33niliendelea kumeza lakini shida ikaongezeka kuwa mbaya hata zaidi.
-
2:33 - 2:40halafu nikaambiwa kwamba dalili hizo zilikuwa zafanana na zile za kupata mshtuko wa moyo.
-
2:40 - 2:47na pia roho ya uoga , kwa sababu ya uchungu niliyohisi moyoni
-
2:47 - 2:50mapigo ya moyo kwamba ningeanguka nife wakati wowote
-
2:50 - 2:54ilikuwa mahali na wakati mbaya sana kuwa
-
2:54 - 2:58kupitia huo roho ya uoga, adui akaanza kuniongelesha
-
2:58 - 3:02kwamba hata nikifa, singeenda mbinguni
-
3:02 - 3:08shida hii ilinitatiza sana, hivi kwamba singeweza kuhudumia watoto wangu
-
3:08 - 3:17ningekaa karibu nao na wanapolia singeweza kuwasaidia vyema.
-
3:17 - 3:24Hivyo nilitafuta suluhisho kwa sababu sikuwa najua cha kufanya
-
3:24 - 3:29singeweza kusoma neno la mungu ama kuomba nilikuwa mahali pabaya.
-
3:29 - 3:35kwamba siku moja niliona video ya ndugu Chris
-
3:35 - 3:41alikuwa anaongea juu ya kulisha moto usioweza kuuzima
-
3:41 - 3:49kwa hiyo video, Ndugu Chris alisema kwamba shetani anatumia mambo kama uoga, wasiwasi na huzuni
-
3:49 - 3:53na kina aina ya mambo mabaya kuingi maishani mwetu.
-
3:53 - 3:59kwa hivyo jinsi alivyoeleza katika video hiyo, ni vile shida zangu zilivyoanza na kuendelea.
-
3:59 - 4:03Baada ya kuutafuta mtandaoni
-
4:03 - 4:06niliweza kutuma ujumbe ya kutaka maombi .
-
4:06 - 4:14hivyo, nilialikwa katika maombi ya pamoja na Ndugu Chris Desemba 2023.
-
4:14 - 4:19siku hiyo ya maombi ya pamoja, Ndugu Chris akatoka
-
4:19 - 4:23Akasema, sijui shida unayopitia, unachopitia
-
4:23 - 4:27au uzito wa shida yako
-
4:27 - 4:31
-
4:31 - 4:35
-
4:35 - 4:37
-
4:37 - 4:45
-
4:45 - 4:54
-
4:54 - 4:58
-
4:58 - 5:01
-
5:01 - 5:05
-
5:05 - 5:09
-
5:09 - 5:13
-
5:13 - 5:18
-
5:18 - 5:23
-
5:23 - 5:27
-
5:27 - 5:30
-
5:30 - 5:35
-
5:35 - 5:41
-
5:41 - 5:44
-
5:44 - 5:47
-
5:47 - 5:52
-
5:52 - 5:54
-
5:54 - 5:59
-
5:59 - 6:02
-
6:02 - 6:07
-
6:07 - 6:11
-
6:11 - 6:17
-
6:17 - 6:25
-
6:25 - 6:28
-
6:28 - 6:31
-
6:31 - 6:35
-
6:35 - 6:39
-
6:39 - 6:44
-
6:44 - 6:52
-
6:52 - 6:58
-
6:58 - 7:03
-
7:03 - 7:08
-
7:08 - 7:14
-
7:14 - 7:19
-
7:19 - 7:24
-
7:24 - 7:29
-
7:29 - 7:36
-
7:36 - 7:40
-
7:40 - 7:43
-
7:43 - 7:50
-
7:50 - 7:52
-
7:52 - 7:57
-
7:57 - 8:01
-
8:01 - 8:06
-
8:06 - 8:11
- Title:
- UKOMBOZI Kutokana kwenye Hofu, UPONYWAJI wa hali ya Mapigo ya Moyo!
- Description:
-
Emily aliumizwa sana na roho ya uoga na wasiwasi, pamoja na mapigo ya moyo na shida ya kutoweza kulala, iliyomfanya aelekezwe kwa giza aliyohisi kufa dakika yeyote.
- Video Language:
- English
- Team:
- God's Heart TV
- Duration:
- 08:41
georgejbudeba edited Swahili subtitles for DELIVERANCE From Fear, HEALING From Heart Palpitations! | ||
georgejbudeba edited Swahili subtitles for DELIVERANCE From Fear, HEALING From Heart Palpitations! | ||
georgejbudeba edited Swahili subtitles for DELIVERANCE From Fear, HEALING From Heart Palpitations! | ||
georgejbudeba edited Swahili subtitles for DELIVERANCE From Fear, HEALING From Heart Palpitations! | ||
georgejbudeba edited Swahili subtitles for DELIVERANCE From Fear, HEALING From Heart Palpitations! | ||
georgejbudeba edited Swahili subtitles for DELIVERANCE From Fear, HEALING From Heart Palpitations! | ||
georgejbudeba edited Swahili subtitles for DELIVERANCE From Fear, HEALING From Heart Palpitations! | ||
georgejbudeba edited Swahili subtitles for DELIVERANCE From Fear, HEALING From Heart Palpitations! |