< Return to Video

The importance of indigenous rights and knowledge in conservation

  • 0:00 - 0:05
    (Kuimba)
  • 0:05 - 0:09
    ♪ (muziki) ♪
  • 0:09 - 0:12
    (Kuimba)
  • 0:12 - 0:14
    Ni hatari ya kusahau
    ndiyo njia
  • 0:14 - 0:16
    ya kutoweka kabisa.
  • 0:16 - 0:18
    (Kuimba)
  • 0:19 - 0:20
    Samaki wetu wa salmoni sasa
  • 0:20 - 0:22
    ni spishi zinazohatarishwa.
  • 0:22 - 0:26
    Winnemem Wintu pia
    wangekuwa kwenye orodha
  • 0:26 - 0:27
    ya spishi zinazohatarishwa.
  • 0:27 - 0:30
    Samaki salmoni
    wanapopungua,
  • 0:30 - 0:31
    Winnemem Wintu
    pia wanapungua.
  • 0:31 - 0:37
    ♪ (muziki) ♪
  • 0:37 - 0:39
    Nimeenda Bungeni
    kuomba haki
  • 0:39 - 0:40
    ya Kabila la Kalash,
  • 0:40 - 0:43
    linalohatarishwa na
    mabadiliko ya tabia nchi.
  • 0:43 - 0:45
    Jamii hii
    ina miaka 6,000
  • 0:45 - 0:48
    na ina watu
    takriban 4,000 tu.
  • 0:48 - 0:52
    Jamii mzima iko katika
    hatari ya kuangamia.
  • 0:53 - 0:56
    Kuheshimu ujuzi wa asili
    kuhusu mazingira,
  • 0:56 - 0:59
    kufungua fursa za kujifunza
  • 0:59 - 1:01
    kutoka kwa watu
    wanaoendelea kuishi
  • 1:01 - 1:02
    karibu na mazingira haya
  • 1:02 - 1:05
    ni fursa yetu sote
    kukuza ujuzi wetu
  • 1:05 - 1:07
    kuhusu yanayotokea
    kwa hii dunia.
  • 1:08 - 1:11
    Ujuzi sio wa kitaaluma tu.
  • 1:11 - 1:15
    Ujuzi unaokuja
    kupitia kukaa
  • 1:15 - 1:17
    mahali pamoja
    kwa muda mrefu,
  • 1:17 - 1:21
    ni tofauti na mtu
    anayekuja kujifunza
  • 1:21 - 1:22
    kwa miaka 5 au hata 20.
  • 1:22 - 1:28
    Ninawakilisha
    mamia ya miaka
  • 1:28 - 1:29
    ya ujuzi wa asili
    wa kienyeji.
  • 1:29 - 1:31
    Kwetu ni muhimu sana
  • 1:31 - 1:32
    kuona vile vizazi vichanga
    vinaweza kulinda
  • 1:32 - 1:34
    mazingira zaidi.
  • 1:34 - 1:36
    Lakini pia jinsi
    ujuzi huu wote
  • 1:36 - 1:37
    unaweza kulindwa
  • 1:37 - 1:40
    kutulinda na kulinda
    mustakabali wetu.
  • 1:40 - 1:43
    (Kihispania)
    Sisi, watu wa kiasili,
  • 1:43 - 1:46
    tunajua jinsi ya kuishi
    kwa maelewano
  • 1:46 - 1:47
    na Mama Dunia yetu.
  • 1:47 - 1:49
    Kwa sababu tunaiheshimu.
  • 1:49 - 1:53
    Kwa sababu tunaelewa
    kuwa ni muhimu
  • 1:53 - 1:54
    kudumisha usawa.
  • 1:54 - 1:55
    Usawa na uwiano.
  • 1:55 - 2:00
    ♪ (muziki) ♪
  • 2:00 - 2:04
    Tukumbuke kwamba
    kile ambacho
  • 2:04 - 2:06
    hapo awali kilikuwa
    sauti ya waliodhulumiwa
  • 2:06 - 2:10
    sasa ni hotuba
    ya hekima ya mandhari.
  • 2:11 - 2:13
    Ninaamini kwa ajili ya kesho,
  • 2:14 - 2:15
    kwa wajukuu wetu
  • 2:16 - 2:18
    na vitukuu vyenu,
  • 2:19 - 2:20
    itakua ya kusisimua
  • 2:22 - 2:25
    kwa sababu tumejitoa
    kuhakikisha hilo linatimia.
  • 2:26 - 2:29
    (akizungumza kwa Kihispania)
    Ni muhimu kuleta mabadiliko sasa,
  • 2:29 - 2:30
    kwa sababu hatuna muda mwingi.
  • 2:30 - 2:33
    Tunapigania mabadiliko hayo.
  • 2:33 - 2:37
    Na dunia, IUCN,
    na wanachama wake,
  • 2:37 - 2:40
    wanahitaji kutambua
    kwamba mabadiliko ni ya dharura.
Title:
The importance of indigenous rights and knowledge in conservation
Description:

more » « less
Video Language:
English
Team:
Amplifying Voices
Project:
Indigenous Peoples' Rights
Duration:
02:46

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions