The importance of indigenous rights and knowledge in conservation
-
0:00 - 0:05(Kuimba)
-
0:05 - 0:09♪ (muziki) ♪
-
0:09 - 0:12(Kuimba)
-
0:12 - 0:16Hatari ya kusahau
ndiyo njia ya kutoweka kabisa. -
0:19 - 0:22Samaki wetu wa salmoni sasa ni spishi zinazohatarishwa.
-
0:22 - 0:26Winnemem Wintu pia wangekuwa
kwenye orodha ya spishi zinazohatarishwa. -
0:27 - 0:31Samaki salmoni wanapopungua,
Winnemem Wintu pia wanapungua. -
0:31 - 0:37♪ (muziki) ♪
-
0:37 - 0:40Nilikuja Bungeni
kuomba haki ya Kabila la Kalash, -
0:40 - 0:43linalohatarishwa na mabadiliko ya tabia nchi.
-
0:43 - 0:47Jamii hii ina miaka 6,000
na ina watu takriban 4,000 tu. -
0:48 - 0:52Jamii nzima iko katika hatari ya kufutika.
-
0:53 - 0:56Kuheshimu ujuzi wa asili kuhusu mazingira,
-
0:56 - 0:59kufungua fursa za kujifunza
-
0:59 - 1:02kutoka kwa watu wanaoendelea
kuishi karibu na mazingira haya -
1:02 - 1:05ni fursa yetu sote
kukuza ujuzi wetu -
1:05 - 1:07kuhusu yanayotokea kwa sayari hii.
-
1:08 - 1:11Ujuzi sio wa kitaaluma tu.
-
1:11 - 1:15Ujuzi unaokuja
kupitia kukaa mahali pamoja -
1:16 - 1:18kwa muda mrefu, ni tofauti
-
1:18 - 1:22na mtu anayejifunza
kwa miaka 5 au hata 20. -
1:22 - 1:28Ninawakilisha mamia ya miaka
ya ujuzi wa asili wa kienyeji. -
1:29 - 1:31Kwetu ni muhimu sana kuona
-
1:31 - 1:34jinsi vizazi vijana
wanaweza kulinda mazingira zaidi. -
1:34 - 1:37Lakini pia jinsi ujuzi huu wote
unaweza kulindwa -
1:37 - 1:40kutulinda na kulinda
mustakabali wetu. -
1:40 - 1:43(Kihispania)
Sisi, watu wa asili wa dunia, -
1:43 - 1:47tunajua jinsi ya kuishi kwa maelewano
na Mama Dunia yetu. -
1:47 - 1:49Kwa sababu tunaiheshimu.
-
1:49 - 1:53Kwa sababu tunaelewa kuwa ni muhimu
kudumisha usawa. -
1:54 - 1:55Usawa na uwiano.
-
1:55 - 2:00♪ (muziki) ♪
-
2:00 - 2:05Tukumbuke kwamba
kile ambacho hapo awali kilikuwa sauti ya waliodhulumiwa -
2:06 - 2:10sasa ni hotuba ya hekima ya mandhari.
-
2:11 - 2:13Ninaamini kwa ajili ya kesho,
-
2:14 - 2:15kwa wajukuu wetu
-
2:16 - 2:18na vitukuu vyenu,
-
2:19 - 2:20
-
2:22 - 2:25
-
2:26 - 2:29
-
2:29 - 2:30
-
2:30 - 2:33
-
2:33 - 2:37
-
2:37 - 2:40
- Title:
- The importance of indigenous rights and knowledge in conservation
- Description:
-
more » « less
- Video Language:
- English
- Team:
Amplifying Voices
- Project:
- Indigenous Peoples' Rights
- Duration:
- 02:46
| HappyKip edited Swahili subtitles for The importance of indigenous rights and knowledge in conservation | ||

| HappyKip edited Swahili subtitles for The importance of indigenous rights and knowledge in conservation |