HAVE YOU SEEN THIS ONE!!!
-
0:00 - 0:02Sawa, je, mmeona hili?
-
0:03 - 0:04Eh, mungu wangu,
inafurahisha sana. -
0:04 - 0:05Najua, sivyo?
-
0:05 - 0:07(kicheko)
-
0:11 - 0:13Aha, hiyo ni nzuri sana.
-
0:19 - 0:21Ni nini kinachoendelea hapa?!
-
0:28 - 0:29Eh, mungu wangu.
-
0:30 - 0:33Mna tatizo gani nyinyi?
-
0:34 - 0:35Eeh?
-
0:37 - 0:38Mnijibu!
-
0:39 - 0:42Je, nyinyi wote mna hali ya kufurahia
isiyo ya kawaida? -
0:45 - 0:46Na wewe!
-
0:46 - 0:50Ningetaraja kitendo kama hiki
kutoka kwa wao, lakini wewe?! -
0:50 - 0:52Umejidunisha sana.
-
0:52 - 0:54Ndiyo, sawa, kama Knoxville
angekuwa hapa... -
0:54 - 0:55Knoxville hata hayuko hapa!
-
0:55 - 0:59Iwapo Knoxville angekuwa hapa, mambo yangekuwa bora zaidi.
-
0:59 - 1:00Paka huyo.
-
1:02 - 1:02(mlio wa paka)
-
1:04 - 1:05(mlio wa paka)
-
1:06 - 1:07Unaangalia nini?
-
1:08 - 1:10(muziki)
- Title:
- HAVE YOU SEEN THIS ONE!!!
- Description:
-
- Video Language:
- English
- Team:
Captions Requested
- Duration:
- 01:26
![]() |
Eddie Simiyu Wafulah edited Swahili subtitles for HAVE YOU SEEN THIS ONE!!! | |
![]() |
Eddie Simiyu Wafulah edited Swahili subtitles for HAVE YOU SEEN THIS ONE!!! | |
![]() |
Eddie Simiyu Wafulah edited Swahili subtitles for HAVE YOU SEEN THIS ONE!!! |