WEBVTT 00:00:00.000 --> 00:00:02.231 Sawa, je, mmeona hili? 00:00:02.966 --> 00:00:04.345 Eh, mungu wangu, inafurahisha sana. 00:00:04.345 --> 00:00:05.498 Najua, sivyo? 00:00:05.498 --> 00:00:07.259 (kicheko) 00:00:11.457 --> 00:00:12.752 Aha, hiyo ni nzuri sana. 00:00:18.742 --> 00:00:20.742 Ni nini kinachoendelea hapa?! 00:00:27.752 --> 00:00:29.499 Eh, mungu wangu. 00:00:30.482 --> 00:00:32.766 Mna tatizo gani nyinyi? 00:00:33.966 --> 00:00:34.750 Eeh? 00:00:37.220 --> 00:00:38.467 Mnijibu! 00:00:39.487 --> 00:00:42.253 Je, nyinyi wote mna hali ya kufurahia isiyo ya kawaida? 00:00:44.733 --> 00:00:45.751 Na wewe! 00:00:46.491 --> 00:00:49.512 Ningetaraja kitendo kama hiki kutoka kwa wao, lakini wewe?! 00:00:50.482 --> 00:00:51.744 Umejidunisha sana. 00:00:51.744 --> 00:00:53.507 Ndiyo, sawa, kama Knoxville angekuwa hapa... 00:00:53.507 --> 00:00:55.085 Knoxville hata hayuko hapa! 00:00:55.085 --> 00:00:58.524 Iwapo Knoxville angekuwa hapa, mambo yangekuwa bora zaidi. 00:00:58.524 --> 00:01:00.260 Paka huyo. 00:01:01.740 --> 00:01:02.474 (mlio wa paka) 00:01:04.224 --> 00:01:05.201 (mlio wa paka) 00:01:05.511 --> 00:01:06.818 Unaangalia nini? 00:01:08.208 --> 00:01:09.502 (muziki)