[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.00,0:00:02.23,Default,,0000,0000,0000,,Sawa, je, mmeona hili? Dialogue: 0,0:00:02.97,0:00:04.34,Default,,0000,0000,0000,,Eh, mungu wangu, \Ninafurahisha sana. Dialogue: 0,0:00:04.34,0:00:05.50,Default,,0000,0000,0000,,Najua, sivyo? Dialogue: 0,0:00:05.50,0:00:07.26,Default,,0000,0000,0000,,(kicheko) Dialogue: 0,0:00:11.46,0:00:12.75,Default,,0000,0000,0000,,Aha, hiyo ni nzuri sana. Dialogue: 0,0:00:18.74,0:00:20.74,Default,,0000,0000,0000,,Ni nini kinachoendelea hapa?! Dialogue: 0,0:00:27.75,0:00:29.50,Default,,0000,0000,0000,,Eh, mungu wangu. Dialogue: 0,0:00:30.48,0:00:32.77,Default,,0000,0000,0000,,Mna tatizo gani nyinyi? Dialogue: 0,0:00:33.97,0:00:34.75,Default,,0000,0000,0000,,Eeh? Dialogue: 0,0:00:37.22,0:00:38.47,Default,,0000,0000,0000,,Mnijibu! Dialogue: 0,0:00:39.49,0:00:42.25,Default,,0000,0000,0000,,Je, nyinyi wote mna hali ya kufurahia \Nisiyo ya kawaida? Dialogue: 0,0:00:44.73,0:00:45.75,Default,,0000,0000,0000,,Na wewe! Dialogue: 0,0:00:46.49,0:00:49.51,Default,,0000,0000,0000,,Ningetaraja kitendo kama hiki \Nkutoka kwa wao, lakini wewe?! Dialogue: 0,0:00:50.48,0:00:51.74,Default,,0000,0000,0000,,Umejidunisha sana. Dialogue: 0,0:00:51.74,0:00:53.51,Default,,0000,0000,0000,,Ndiyo, sawa, kama Knoxville \Nangekuwa hapa... Dialogue: 0,0:00:53.51,0:00:55.08,Default,,0000,0000,0000,,Knoxville hata hayuko hapa! Dialogue: 0,0:00:55.08,0:00:58.52,Default,,0000,0000,0000,,Iwapo Knoxville angekuwa hapa, mambo yangekuwa bora zaidi. Dialogue: 0,0:00:58.52,0:01:00.26,Default,,0000,0000,0000,,Paka huyo. Dialogue: 0,0:01:01.74,0:01:02.47,Default,,0000,0000,0000,,(mlio wa paka) Dialogue: 0,0:01:04.22,0:01:05.20,Default,,0000,0000,0000,,(mlio wa paka) Dialogue: 0,0:01:05.51,0:01:06.82,Default,,0000,0000,0000,,Unaangalia nini? Dialogue: 0,0:01:08.21,0:01:09.50,Default,,0000,0000,0000,,(muziki)