< Return to Video

Nimemjaribu MUNGU na kumuona kuwa nimwaminifu!

  • 0:00 - 0:03
    Shikilia sana tumaini lako katika Neno la Mungu
  • 0:03 - 0:07
    hata imani yako inapojaribiwa.
  • 0:07 - 0:11
    Awe ananiponya au la, Yeye ndiye Mponyaji wangu.
  • 0:11 - 0:13
    Ikiwa ataondoa hali hii au la,
  • 0:13 - 0:15
    Yeye ndiye Mwokozi wangu.
  • 0:15 - 0:18
    Iwe ananiokoa au la, Yeye ni Mwokozi wangu.
  • 0:18 - 0:21
    Atanirejesha au la, Yeye ndiye Mrejeshaji wangu.
  • 0:21 - 0:23
    Huu ni ujasiri wangu.
  • 0:23 - 0:25
    Sina mbadala mwingine.
  • 0:25 - 0:26
    Sina njia nyingine.
  • 0:26 - 0:28
    Nimemjaribu Mungu na kumwona kuwa anategemeka.
  • 0:28 - 0:31
    Nimemjaribu Mungu na kumuona anategemewa.
  • 0:31 - 0:36
    Nimemjaribu Mungu na kumpata kuwa kweli, anastahili.
Title:
Nimemjaribu MUNGU na kumuona kuwa nimwaminifu!
Description:

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
0:36

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions