0:00:00.000,0:00:03.120 Shikilia sana tumaini lako katika Neno la Mungu 0:00:03.120,0:00:06.560 hata imani yako inapojaribiwa. 0:00:06.560,0:00:10.680 Awe ananiponya au la, Yeye ndiye Mponyaji wangu. 0:00:10.680,0:00:13.120 Ikiwa ataondoa hali hii au la, 0:00:13.120,0:00:14.920 Yeye ndiye Mwokozi wangu. 0:00:14.920,0:00:18.280 Iwe ananiokoa au la, Yeye ni Mwokozi wangu. 0:00:18.280,0:00:21.400 Atanirejesha au la, Yeye ndiye Mrejeshaji wangu. 0:00:21.400,0:00:22.960 Huu ni ujasiri wangu. 0:00:22.960,0:00:24.560 Sina mbadala mwingine. 0:00:24.560,0:00:25.840 Sina njia nyingine. 0:00:25.840,0:00:28.360 Nimemjaribu Mungu na kumwona kuwa anategemeka. 0:00:28.360,0:00:30.760 Nimemjaribu Mungu na kumuona anategemewa. 0:00:30.760,0:00:35.800 Nimemjaribu Mungu na kumpata kuwa kweli, anastahili.