Kama enyi watu wazima hamtaokoa dunia, tutaiokoa sisi.
-
0:01 - 0:03Mpendwa Abuelita,
-
0:03 - 0:05Najua sijakuwepo nyumbani kwa muda.
-
0:05 - 0:08Uko nyumbani kwetu pazuri Mexico,
-
0:08 - 0:10nami niko hapa Marekani,
-
0:10 - 0:11nikipigania maisha
yetu ya baadaye. -
0:12 - 0:14Pengine unanyunyuzia ua waridi maji,
-
0:14 - 0:16ukitunza fyulisi
-
0:16 - 0:19na kuhakikisha kua kasa wako wameshiba.
-
0:19 - 0:22Hiyo ni mojawapo ya vitu,
navikumbuka sana kuhusu nyumbani -- -
0:22 - 0:24kupoteza muda na maua
-
0:24 - 0:27ukinihadithia kuhusu utoto wako
-
0:28 - 0:32Unavyojua,
tumeishi New York City tangu 2015 -
0:32 - 0:36Lakini maisha yamebadilika mno
kwa mwaka uliopita. -
0:36 - 0:40Hapo mwanzoni, New York
ilikua ni sehemu ya makumbusho -
0:40 - 0:41na hifadhi
-
0:41 - 0:42na shule na marafiki.
-
0:43 - 0:45Saaa hii ni kama mtandao
-
0:45 - 0:48unaoniunganisha na watu wengine
-
0:48 - 0:50wanaopanga kuokoa dunia.
-
0:51 - 0:53Wajua nilianzaje ?
-
0:53 - 0:55Ni baba na busara zake.
-
0:56 - 1:00Kila kitu ulimfunza,
alienda akafunza ulimwengu. -
1:00 - 1:04Maneno yake yote
kuhusu uwajibikaji tulionao kama binadamu -
1:04 - 1:07kuishi kwa usawa na asili
-
1:07 - 1:08yalipitishwa kwangu.
-
1:09 - 1:12Nimeona kutokua sawa kwenye ulimwengu wetu
-
1:12 - 1:15na kukumbuka ulichoniambia wakati mmoja:
-
1:15 - 1:18"Acha kila kitu bora kuliko ulivyokikuta."
-
1:19 - 1:22Najua ulikuwa unaongelea kuhusu vyombo,
-
1:22 - 1:24lakini, hiyo inaleta maana kwa ulimwengu pia.
-
1:25 - 1:27Sikujua cha kufanya mwanzoni.
-
1:27 - 1:29Dunia ni kubwa mno,
-
1:29 - 1:31na ina tabia nyingi mbaya.
-
1:31 - 1:35Sikujua vile msichana mwenye miaka 15
angebadilisha chochote. -
1:35 - 1:36lakini ilinibidi kujaribu.
-
1:37 - 1:39Ili kuweka hii falsafa katika vitendo,
-
1:39 - 1:42Nilijiunga na klabu ya mazingira shuleni.
-
1:42 - 1:47Lakini niliona wanafunzi wenza
wakiongelea mchakato wa taka kuna matumizi tena -
1:47 - 1:49na kutazama filamu zinazohusu bahari.
-
1:49 - 1:51Ulikua mwonekano wa kuzingatia mazingira
-
1:51 - 1:56ulioegemea
harakati ya kutunza hali ya hewa isiyofaa, -
1:56 - 1:59na kutupa lawama kwa mtumiaji
katika janga la kubadiika kwa hali ya hewa -
1:59 - 2:02na kutangaza joto inaongezeka
-
2:02 - 2:05kwa sababu tulisahau
kurudisaha mifuko inayoweza tumika tena dukani. -
2:06 - 2:09Ulinifunza kwamba kutunza ulimwengu
-
2:09 - 2:12inahusu uamuzi tunaochukua kwa pamoja.
-
2:13 - 2:15Nafurahia kukuambia, Abuelita,
-
2:15 - 2:18kwamba nimebadili
wazo la kila mtu klabuni. -
2:18 - 2:21Badala ya kuongelea mchakato wa kufanya taka kutumika tena,
-
2:21 - 2:24tumeanza kuandikia wanasiasa wetu barua,
-
2:24 - 2:26kupiga marufuku kabisa plastiki laini.
-
2:26 - 2:29Na kisha, lisilojarajiwa likatokea:
-
2:30 - 2:32tulianza kugoma shuleni.
-
2:34 - 2:36Nafahamu ushatazama kwa habari,
-
2:36 - 2:38au pengine hio si mahususi kwa saa hii.
-
2:38 - 2:42Lakini wakati huo, ilikuwa ni jambo kubwa.
-
2:42 - 2:46Hebu fikiria watoto kutoenda shule
kisa wanataka watu waokoe dunia. -
2:46 - 2:49(Video) Umati: Ulimwengu mwingine
unawezekana ! Hatuzuiliki ! -
2:49 - 2:51XiyeBastide: Kwa mgomo wa
kwanza kimataifa wa hali ya hewa, -
2:51 - 2:53ilioandaliwa na Greta Thunberg,
-
2:53 - 2:57Nilishawishi wanafunzi 600 wenzangu
kutembea nami. -
2:58 - 3:00Greta Thunberg ni kijana mwanzilishi
wa migomo -
3:00 - 3:01Uimara wake ulinihamasisha,
-
3:01 - 3:02na kushtuka na utambuzi huu
-
3:02 - 3:05kua kijana angebadilisha maono ya umaa kwa masuala ya kijamii
-
3:05 - 3:08Harakati zikaanza.
-
3:08 - 3:12(Video) Umati: Nyamazisha !
-
3:12 - 3:13XB: Na nikawa mmoja wa waandalizi wakuu
-
3:13 - 3:15kwa New York, Amerika na ulimwengu
-
3:15 - 3:17(Video) XB: Tunahitaji nini?
Crowd: Haki ya hali ya hewa! -
3:17 - 3:19XB: Tunalihitaji lini ?
Crowd: Sasa ! -
3:19 - 3:22XB: Nilianza kuongelea haki ya hali ya hewa na haki asilia
-
3:22 - 3:24na ushirika miongoni mwa vizazi tofauti.
-
3:24 - 3:27Huu ulikuwa mwazo tu, hata hivyo.
-
3:27 - 3:29Wiki iliyokuwa na shughuli nyingi katika maisha yangu
-
3:29 - 3:31nyakati zote itakuwa ni wiki ya Septemba 20,2019.
-
3:31 - 3:33Mimi na marafiki wangu tulipata watu 300,00 kugoma kwa ajiliya hali ya hewa katika jiji la New York
-
3:33 - 3:37Natamani ungekuwepo.
-
3:37 - 3:44Tuliandamana mitaani ya Wall Street kudai haki ya hali ya hewa.
-
3:44 - 3:46(Video) Umati: Hakuna tena kamwe makaa ya mawe, kamwe tena kwa mafuta, acha kaboni kwenye ardhi !
-
3:46 - 3:49XB: Mwezi huo, nilihudhuria Mkutano wa Hali ya Hewa wa Umoja wa Mataifa.
-
3:49 - 3:52Niliongea katika jopo alipokuwepo Al Gore
-
3:52 - 3:55Nikakutana na Jay Inslee na Naomi Klein
na Bill McKibben -
3:55 - 3:57na rais wa Umoja wa Mataifa
-
3:58 - 4:02Ilikuwa wiki la kustaajabisha kabisa maishani mwangu,
-
4:02 - 4:04kwa sababu kila mtu ninayemjua walikuja pamoja-
-
4:05 - 4:07walimu wangu, wanafunzi wenzangu wote...
-
4:07 - 4:10Hata maduka niyapendayo yalifungwa kwa ajili ya mgomo wa hali ya hewa.
-
4:10 - 4:13Kama ungeniuiza kwa nini nilifanya haya yote,
-
4:13 - 4:17jibu langu lingekuwa,
-
4:19 - 4:21"Kwanini nishindwe?"
-
4:21 - 4:23Imekua mwaka tangu nianze,
-
4:23 - 4:25na wakati mwingine huchosha.
-
4:26 - 4:29Lakini kama kuna kitu mmoja ulinifunza, ni uthabiti.
-
4:29 - 4:31Nakumbuka ulienda jiji la Mexico kila siku kwa miaka 30
-
4:32 - 4:35ili kupata pesa ya mahitaji ya familia.
-
4:36 - 4:40Na najua Abuelito amekua akitembea nje kwa miaka 20
-
4:40 - 4:42kulinda ardhi takatifu dhidi ya makampuni makubwa yanayataka kuinyakua
-
4:42 - 4:46mwaka moja si lolote
-
4:46 - 4:50kulingana na mapambano familia yetu imepitia.
-
4:50 - 4:51Na kama mapambano yetu yanaboresha dunia,
-
4:52 - 4:54yatatufanya kuwa watu bora.
-
4:55 - 4:58Kumekuwa na matatizo, Abuelita.
-
4:58 - 5:00Ulimwenguni,
-
5:01 - 5:03watu wanatarajia watoto kama sisi kufahamu kila kitu,
-
5:03 - 5:05au angalau wanatarajia tujue,
-
5:05 - 5:08Wanauliza na najibu,
-
5:08 - 5:10na kama najua jinsi ulimwengu unavyofanya kazi.
-
5:10 - 5:12Wanahitaji matumaini, nasi tunawapa.
-
5:12 - 5:15Nimepanga, kuandika, kuongelea na kusoma kuhusu hali ya hewa na sera
-
5:15 - 5:17karibu kila siku kwa mwaka moja uliopita.
-
5:19 - 5:24Na nina wasiwasi kidogo
-
5:24 - 5:26kwamba sitoweza fanya vya kutosha, Abuelita.
-
5:27 - 5:29Kwangu, kuwa na miaka 18 and kujaribu kuokoa ulimwengu
-
5:29 - 5:31inamanisha kuwa mwanaharakati wa hali ya hewa.
-
5:32 - 5:36Awali, labda ilimanisha kusoma kuwa daktari
-
5:36 - 5:38au mwanasiasa au mtafiti.
-
5:39 - 5:41Lakini siwezi ngojea kuwa mkubwa ili niwe mojawapo ya hayo.
-
5:41 - 5:43Ulimwengu unaumia,
-
5:44 - 5:47na hatuna taanasa ya wakati kamwe.
-
5:48 - 5:49Kuokoa ulimwengu kama kijana unahitaji ueledi wa maneno,
-
5:49 - 5:52kuelewa sayansi inayohusu janga la hali ya hewa
-
5:53 - 5:57kuleta mtazamo wa kipekee kwa suala ibuka
-
5:57 - 6:00na kusahau mambo mengineyo
-
6:00 - 6:04Lakini wakati mwingine, nahisi kuzingatia mambo mengine tena.
-
6:04 - 6:07Nataka kuimba na kucheza na kufanya mazoezi ya viungo vya mwili
-
6:07 - 6:10Kiukweli nahisi ikiwa sisi sote tungelinda ulimwengu
-
6:10 - 6:14kama tabia,
-
6:14 - 6:18kama tamaduni,
-
6:18 - 6:19hakuna mtu angekua mwanaharakati wa hali ya hewa wakati wote
-
6:19 - 6:21Kama biashara zimekua endelevu,
-
6:21 - 6:25kama gridi ya umeme inaendesha kwa nishati mbadala,
-
6:25 - 6:27kama mtaala wa shule unatufundisha
-
6:27 - 6:31kuwa kuzingatia ulimwengu ni moja ya utu wetu
-
6:31 - 6:34labda naweza fanya mazoezi ya sarekasi tena.
-
6:34 - 6:37Au sivyo, Abuelita ?
-
6:38 - 6:41Tunaweza fanya hili.
-
6:41 - 6:42Yote najaribu kufanya na kazi yangu
-
6:43 - 6:44ni kuwapa watu wengine mtazamo chanya wa matumaini.
-
6:45 - 6:46Lakini ni ngumu kidogo.
-
6:46 - 6:49Kuna tamaa,
-
6:50 - 6:51kuna kiburi,
-
6:52 - 6:53kuna pesa,
-
6:53 - 6:54na pia uyakinifu.
-
6:55 - 6:56Hulka ya watu hurahisisha kuongelea haya mambo,
-
6:56 - 6:57lakini napata wakati mgumu kuwafunza.
-
6:57 - 7:00Nataka wajiamini kwa kujitahidi kila wakati.
-
7:01 - 7:04Nawatakia kua na moyo na ujasiri
-
7:05 - 7:08wa kupenda ulimwengu,
-
7:08 - 7:11kamaulivyonifunza.
-
7:11 - 7:12Nimeandika barua hii kukushukuru.
-
7:13 - 7:15Shukrani kwa kunikaribisha kupenda ulimwengu
-
7:15 - 7:16tangu nizaliwe.
-
7:17 - 7:20Shukran kwa kucheka kwa kila kitu.
-
7:20 - 7:21Shukrani kwa kunifunza
-
7:22 - 7:24kua matumaini na matarajio ndizo zana za nguvu tulizo nazo
-
7:24 - 7:25kukumbana na shida yoyote.
-
7:25 - 7:30Nafanya hili kwa kuwa ulinionyesha
-
7:30 - 7:31kwamba uthabiti, upendo na ujuzi
-
7:32 - 7:35vinatosha kuleta mabadiliko.
-
7:35 - 7:37Nataka kurudi Mexico nikutembelee.
-
7:37 - 7:39Nataka kukuonyesha picha ya vitu nilivyofanya.
-
7:39 - 7:42Nataka kukuonyesha sheria ya hali ya hewa
-
7:42 - 7:45tuliyoweza kupitisha.
-
7:45 - 7:47Nataka kunusa maua
-
7:48 - 7:49na kupigania haki ya hali ya hewa pamoja nawe
-
7:49 - 7:51Te quiero mucho.(Nakupenda sana)
-
7:51 - 7:53Nakupenda
-
7:54 - 7:55Xiye.
-
7:55 - 7:57[Te quiero mucho. Xiye.]
- Title:
- Kama enyi watu wazima hamtaokoa dunia, tutaiokoa sisi.
- Speaker:
- Xiye Bastida
- Description:
-
Katika barua inalogusa sana kwa bibi yake, Xiye Bastida anawazia chanzo chake kua mwanaharakati wa kutajika kimataifa wa hali ya hewa - kuanzia kuhamasisha wanafunzi wagome mpaka kuzungumuza katika Mkutano wa Hali ya Hewa wa Umoja wa Mataifa pamoja na Greta Thunberg - anafuatilia azimio lake, uthabiti na penzi la dhati kwa ulimwengu aliorithi toka kwa nyanya yake.
"Shukran kwa kunikaribisha kupenda ulimwengu tangu nizaliwe," alisema. - Video Language:
- English
- Team:
closed TED
- Project:
- TEDTalks
- Duration:
- 08:37
![]() |
Nelson Simfukwe approved Swahili subtitles for If you adults won't save the world, we will | |
![]() |
Nelson Simfukwe accepted Swahili subtitles for If you adults won't save the world, we will | |
![]() |
Nelson Simfukwe edited Swahili subtitles for If you adults won't save the world, we will | |
![]() |
Nelson Simfukwe edited Swahili subtitles for If you adults won't save the world, we will | |
![]() |
Nelson Simfukwe edited Swahili subtitles for If you adults won't save the world, we will | |
![]() |
Nelson Simfukwe edited Swahili subtitles for If you adults won't save the world, we will | |
![]() |
Nelson Simfukwe edited Swahili subtitles for If you adults won't save the world, we will | |
![]() |
Nelson Simfukwe edited Swahili subtitles for If you adults won't save the world, we will |