0:00:01.436,0:00:03.079 Mpendwa Abuelita, 0:00:03.103,0:00:05.357 Najua sijakuwepo nyumbani kwa muda. 0:00:05.381,0:00:07.688 Uko nyumbani kwetu pazuri Mexico, 0:00:07.712,0:00:10.061 nami niko hapa Marekani, 0:00:10.085,0:00:11.458 nikipigania maisha [br]yetu ya baadaye. 0:00:11.927,0:00:14.299 Pengine unanyunyuzia ua waridi maji, 0:00:14.323,0:00:16.171 ukitunza fyulisi 0:00:16.195,0:00:18.995 na kuhakikisha kua kasa wako wameshiba. 0:00:19.474,0:00:22.259 Hiyo ni mojawapo ya vitu,[br]navikumbuka sana kuhusu nyumbani -- 0:00:22.283,0:00:24.267 kupoteza muda na maua 0:00:24.291,0:00:26.773 ukinihadithia kuhusu utoto wako 0:00:28.004,0:00:31.988 Unavyojua,[br]tumeishi New York City tangu 2015 0:00:32.385,0:00:35.734 Lakini maisha yamebadilika mno [br]kwa mwaka uliopita. 0:00:36.243,0:00:39.561 Hapo mwanzoni, New York [br]ilikua ni sehemu ya makumbusho 0:00:39.585,0:00:40.783 na hifadhi 0:00:40.807,0:00:42.487 na shule na marafiki. 0:00:42.830,0:00:45.393 Saaa hii ni kama mtandao 0:00:45.417,0:00:47.673 unaoniunganisha na watu wengine 0:00:47.697,0:00:49.896 wanaopanga kuokoa dunia. 0:00:50.790,0:00:52.957 Wajua nilianzaje ? 0:00:52.981,0:00:54.885 Ni baba na busara zake. 0:00:55.950,0:00:59.537 Kila kitu ulimfunza, [br]alienda akafunza ulimwengu. 0:00:59.561,0:01:04.450 Maneno yake yote [br]kuhusu uwajibikaji tulionao kama binadamu 0:01:04.474,0:01:06.514 kuishi kwa usawa na asili 0:01:06.538,0:01:08.106 yalipitishwa kwangu. 0:01:08.585,0:01:11.991 Nimeona kutokua sawa kwenye ulimwengu wetu 0:01:12.015,0:01:14.879 na kukumbuka ulichoniambia wakati mmoja: 0:01:14.903,0:01:17.769 "Acha kila kitu bora kuliko ulivyokikuta." 0:01:18.625,0:01:21.650 Najua ulikuwa unaongelea kuhusu vyombo, 0:01:21.674,0:01:24.447 lakini, hiyo inaleta maana kwa ulimwengu pia. 0:01:24.967,0:01:26.853 Sikujua cha kufanya mwanzoni. 0:01:27.198,0:01:28.514 Dunia ni kubwa mno, 0:01:28.538,0:01:30.744 na ina tabia nyingi mbaya. 0:01:30.768,0:01:35.085 Sikujua vile msichana mwenye miaka 15 [br]angebadilisha chochote. 0:01:35.109,0:01:36.402 lakini ilinibidi kujaribu. 0:01:37.181,0:01:39.317 Ili kuweka hii falsafa katika vitendo, 0:01:39.341,0:01:41.895 Nilijiunga na klabu ya mazingira shuleni. 0:01:41.919,0:01:46.588 Lakini niliona wanafunzi wenza [br]wakiongelea mchakato wa taka kuna matumizi tena 0:01:46.612,0:01:48.509 na kutazama filamu zinazohusu bahari. 0:01:48.947,0:01:51.362 Ulikua mwonekano wa kuzingatia mazingira 0:01:51.386,0:01:55.839 ulioegemea [br]harakati ya kutunza hali ya hewa isiyofaa, 0:01:55.863,0:01:59.279 na kutupa lawama kwa mtumiaji [br]katika janga la kubadiika kwa hali ya hewa 0:01:59.303,0:02:01.839 na kutangaza joto inaongezeka 0:02:01.863,0:02:05.293 kwa sababu tulisahau [br]kurudisaha mifuko inayoweza tumika tena dukani. 0:02:05.665,0:02:08.744 Ulinifunza kwamba kutunza ulimwengu 0:02:08.768,0:02:11.888 inahusu uamuzi tunaochukua kwa pamoja. 0:02:13.109,0:02:15.369 Nafurahia kukuambia, Abuelita, 0:02:15.393,0:02:18.364 kwamba nimebadili [br]wazo la kila mtu klabuni. 0:02:18.388,0:02:20.936 Badala ya kuongelea mchakato wa kufanya taka kutumika tena, 0:02:20.960,0:02:23.730 tumeanza kuandikia wanasiasa wetu barua, 0:02:23.754,0:02:26.079 kupiga marufuku kabisa plastiki laini. 0:02:26.498,0:02:29.266 Na kisha, lisilojarajiwa likatokea: 0:02:29.871,0:02:32.213 tulianza kugoma shuleni. 0:02:33.578,0:02:35.848 Nafahamu ushatazama kwa habari, 0:02:35.872,0:02:37.917 au pengine hio si mahususi kwa saa hii. 0:02:38.420,0:02:41.622 Lakini wakati huo, ilikuwa ni jambo kubwa. 0:02:41.646,0:02:45.999 Hebu fikiria watoto kutoenda shule [br]kisa wanataka watu waokoe dunia. 0:02:46.023,0:02:48.964 (Video) Umati: Ulimwengu mwingine [br]unawezekana ! Hatuzuiliki ! 0:02:48.988,0:02:51.380 XiyeBastide: Kwa mgomo wa [br]kwanza kimataifa wa hali ya hewa, 0:02:51.404,0:02:53.282 ilioandaliwa na Greta Thunberg, 0:02:53.306,0:02:56.958 Nilishawishi wanafunzi 600 wenzangu[br]kutembea nami. 0:02:58.474,0:03:00.252 Greta Thunberg ni kijana mwanzilishi[br]wa migomo 0:03:00.252,0:03:01.252 Uimara wake ulinihamasisha, 0:03:01.252,0:03:02.252 na kushtuka na utambuzi huu 0:03:02.252,0:03:04.642 kua kijana angebadilisha maono ya umaa kwa masuala ya kijamii 0:03:04.666,0:03:07.555 Harakati zikaanza. 0:03:07.579,0:03:11.598 (Video) Umati: Nyamazisha ! 0:03:12.196,0:03:13.347 XB: Na nikawa mmoja wa waandalizi wakuu 0:03:13.371,0:03:14.713 kwa New York, Amerika na ulimwengu 0:03:14.737,0:03:16.785 (Video) XB: Tunahitaji nini?[br]Crowd: Haki ya hali ya hewa! 0:03:16.809,0:03:19.431 XB: Tunalihitaji lini ?[br]Crowd: Sasa ! 0:03:19.455,0:03:21.907 XB: Nilianza kuongelea haki ya hali ya hewa na haki asilia 0:03:21.931,0:03:23.556 na ushirika miongoni mwa vizazi tofauti. 0:03:23.580,0:03:26.880 Huu ulikuwa mwazo tu, hata hivyo. 0:03:26.880,0:03:28.980 Wiki iliyokuwa na shughuli nyingi katika maisha yangu 0:03:28.980,0:03:31.117 nyakati zote itakuwa ni wiki ya Septemba 20,2019. 0:03:31.141,0:03:32.760 Mimi na marafiki wangu tulipata watu 300,00 kugoma kwa ajiliya hali ya hewa katika jiji la New York 0:03:32.784,0:03:36.764 Natamani ungekuwepo. 0:03:37.470,0:03:43.595 Tuliandamana mitaani ya Wall Street kudai haki ya hali ya hewa. 0:03:44.023,0:03:45.656 (Video) Umati: Hakuna tena kamwe makaa ya mawe, kamwe tena kwa mafuta, acha kaboni kwenye ardhi ! 0:03:45.680,0:03:48.613 XB: Mwezi huo, nilihudhuria Mkutano wa Hali ya Hewa wa Umoja wa Mataifa. 0:03:48.637,0:03:51.925 Niliongea katika jopo alipokuwepo Al Gore 0:03:51.949,0:03:55.045 Nikakutana na Jay Inslee na Naomi Klein[br]na Bill McKibben 0:03:55.069,0:03:57.053 na rais wa Umoja wa Mataifa 0:03:57.664,0:04:01.535 Ilikuwa wiki la kustaajabisha kabisa maishani mwangu, 0:04:01.559,0:04:04.159 kwa sababu kila mtu ninayemjua walikuja pamoja- 0:04:04.742,0:04:07.035 walimu wangu, wanafunzi wenzangu wote... 0:04:07.059,0:04:10.147 Hata maduka niyapendayo yalifungwa kwa ajili ya mgomo wa hali ya hewa. 0:04:10.171,0:04:12.757 Kama ungeniuiza kwa nini nilifanya haya yote, 0:04:12.781,0:04:17.487 jibu langu lingekuwa, 0:04:18.643,0:04:21.180 "Kwanini nishindwe?" 0:04:21.204,0:04:23.142 Imekua mwaka tangu nianze, 0:04:23.166,0:04:24.606 na wakati mwingine huchosha. 0:04:25.847,0:04:29.172 Lakini kama kuna kitu mmoja ulinifunza, ni uthabiti. 0:04:29.196,0:04:31.195 Nakumbuka ulienda jiji la Mexico kila siku kwa miaka 30 0:04:31.688,0:04:35.182 ili kupata pesa ya mahitaji ya familia. 0:04:35.919,0:04:40.207 Na najua Abuelito amekua akitembea nje kwa miaka 20 0:04:40.231,0:04:42.152 kulinda ardhi takatifu dhidi ya makampuni makubwa yanayataka kuinyakua 0:04:42.176,0:04:46.128 mwaka moja si lolote 0:04:46.152,0:04:49.572 kulingana na mapambano familia yetu imepitia. 0:04:50.081,0:04:51.485 Na kama mapambano yetu yanaboresha dunia, 0:04:51.509,0:04:54.437 yatatufanya kuwa watu bora. 0:04:54.855,0:04:58.109 Kumekuwa na matatizo, Abuelita. 0:04:58.133,0:05:00.304 Ulimwenguni, 0:05:00.673,0:05:03.117 watu wanatarajia watoto kama sisi kufahamu kila kitu, 0:05:03.141,0:05:04.547 au angalau wanatarajia tujue, 0:05:04.571,0:05:07.807 Wanauliza na najibu, 0:05:07.831,0:05:09.544 na kama najua jinsi ulimwengu unavyofanya kazi. 0:05:09.568,0:05:12.391 Wanahitaji matumaini, nasi tunawapa. 0:05:12.415,0:05:14.950 Nimepanga, kuandika, kuongelea na kusoma kuhusu hali ya hewa na sera 0:05:14.974,0:05:17.111 karibu kila siku kwa mwaka moja uliopita. 0:05:18.620,0:05:23.903 Na nina wasiwasi kidogo 0:05:23.927,0:05:26.260 kwamba sitoweza fanya vya kutosha, Abuelita. 0:05:27.204,0:05:28.950 Kwangu, kuwa na miaka 18 and kujaribu kuokoa ulimwengu 0:05:28.974,0:05:31.365 inamanisha kuwa mwanaharakati wa hali ya hewa. 0:05:32.484,0:05:36.299 Awali, labda ilimanisha kusoma kuwa daktari 0:05:36.323,0:05:38.228 au mwanasiasa au mtafiti. 0:05:38.617,0:05:41.164 Lakini siwezi ngojea kuwa mkubwa ili niwe mojawapo ya hayo. 0:05:41.188,0:05:43.482 Ulimwengu unaumia, 0:05:43.800,0:05:46.997 na hatuna taanasa ya wakati kamwe. 0:05:47.514,0:05:49.345 Kuokoa ulimwengu kama kijana unahitaji ueledi wa maneno, 0:05:49.369,0:05:51.861 kuelewa sayansi inayohusu janga la hali ya hewa 0:05:53.469,0:05:57.204 kuleta mtazamo wa kipekee kwa suala ibuka 0:05:57.228,0:06:00.093 na kusahau mambo mengineyo 0:06:00.117,0:06:03.704 Lakini wakati mwingine, nahisi kuzingatia mambo mengine tena. 0:06:03.728,0:06:06.614 Nataka kuimba na kucheza na kufanya mazoezi ya viungo vya mwili 0:06:07.333,0:06:10.347 Kiukweli nahisi ikiwa sisi sote tungelinda ulimwengu 0:06:10.371,0:06:13.763 kama tabia, 0:06:14.214,0:06:18.084 kama tamaduni, 0:06:18.108,0:06:19.418 hakuna mtu angekua mwanaharakati wa hali ya hewa wakati wote 0:06:19.442,0:06:21.244 Kama biashara zimekua endelevu, 0:06:21.268,0:06:24.611 kama gridi ya umeme inaendesha kwa nishati mbadala, 0:06:25.360,0:06:27.363 kama mtaala wa shule unatufundisha 0:06:27.387,0:06:30.625 kuwa kuzingatia ulimwengu ni moja ya utu wetu 0:06:30.649,0:06:33.661 labda naweza fanya mazoezi ya sarekasi tena. 0:06:33.685,0:06:36.919 Au sivyo, Abuelita ? 0:06:38.008,0:06:40.619 Tunaweza fanya hili. 0:06:40.942,0:06:42.441 Yote najaribu kufanya na kazi yangu 0:06:42.966,0:06:44.116 ni kuwapa watu wengine mtazamo chanya wa matumaini. 0:06:44.569,0:06:46.157 Lakini ni ngumu kidogo. 0:06:46.181,0:06:49.189 Kuna tamaa, 0:06:49.879,0:06:51.425 kuna kiburi, 0:06:51.870,0:06:53.047 kuna pesa, 0:06:53.071,0:06:54.490 na pia uyakinifu. 0:06:54.514,0:06:55.766 Hulka ya watu hurahisisha kuongelea haya mambo, 0:06:55.790,0:06:57.291 lakini napata wakati mgumu kuwafunza. 0:06:57.315,0:07:00.478 Nataka wajiamini kwa kujitahidi kila wakati. 0:07:00.502,0:07:03.961 Nawatakia kua na moyo na ujasiri 0:07:04.502,0:07:07.834 wa kupenda ulimwengu, 0:07:08.236,0:07:10.800 kamaulivyonifunza. 0:07:10.824,0:07:11.974 Nimeandika barua hii kukushukuru. 0:07:12.768,0:07:14.530 Shukrani kwa kunikaribisha kupenda ulimwengu 0:07:14.554,0:07:16.455 tangu nizaliwe. 0:07:16.895,0:07:19.672 Shukran kwa kucheka kwa kila kitu. 0:07:19.696,0:07:21.439 Shukrani kwa kunifunza 0:07:21.947,0:07:23.836 kua matumaini na matarajio ndizo zana za nguvu tulizo nazo 0:07:23.860,0:07:25.348 kukumbana na shida yoyote. 0:07:25.372,0:07:29.727 Nafanya hili kwa kuwa ulinionyesha 0:07:29.751,0:07:31.431 kwamba uthabiti, upendo na ujuzi 0:07:31.767,0:07:34.855 vinatosha kuleta mabadiliko. 0:07:34.879,0:07:36.872 Nataka kurudi Mexico nikutembelee. 0:07:36.896,0:07:38.624 Nataka kukuonyesha picha ya vitu nilivyofanya. 0:07:39.260,0:07:41.847 Nataka kukuonyesha sheria ya hali ya hewa 0:07:41.871,0:07:45.137 tuliyoweza kupitisha. 0:07:45.161,0:07:47.482 Nataka kunusa maua 0:07:47.506,0:07:49.233 na kupigania haki ya hali ya hewa pamoja nawe 0:07:49.257,0:07:50.964 Te quiero mucho.(Nakupenda sana) 0:07:50.988,0:07:53.460 Nakupenda 0:07:54.179,0:07:55.361 Xiye. 0:07:55.385,0:07:56.551 [Te quiero mucho. Xiye.]