[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:01.44,0:00:03.08,Default,,0000,0000,0000,,Mpendwa Abuelita, Dialogue: 0,0:00:03.10,0:00:05.36,Default,,0000,0000,0000,,Najua sijakuwepo nyumbani kwa muda. Dialogue: 0,0:00:05.38,0:00:07.69,Default,,0000,0000,0000,,Uko nyumbani kwetu pazuri Mexico, Dialogue: 0,0:00:07.71,0:00:10.06,Default,,0000,0000,0000,,nami niko hapa Marekani, Dialogue: 0,0:00:10.08,0:00:11.46,Default,,0000,0000,0000,,nikipigania maisha \Nyetu ya baadaye. Dialogue: 0,0:00:11.93,0:00:14.30,Default,,0000,0000,0000,,Pengine unanyunyuzia ua waridi maji, Dialogue: 0,0:00:14.32,0:00:16.17,Default,,0000,0000,0000,,ukitunza fyulisi Dialogue: 0,0:00:16.20,0:00:18.100,Default,,0000,0000,0000,,na kuhakikisha kua kasa wako wameshiba. Dialogue: 0,0:00:19.47,0:00:22.26,Default,,0000,0000,0000,,Hiyo ni mojawapo ya vitu,\Nnavikumbuka sana kuhusu nyumbani -- Dialogue: 0,0:00:22.28,0:00:24.27,Default,,0000,0000,0000,,kupoteza muda na maua Dialogue: 0,0:00:24.29,0:00:26.77,Default,,0000,0000,0000,,ukinihadithia kuhusu utoto wako Dialogue: 0,0:00:28.00,0:00:31.99,Default,,0000,0000,0000,,Unavyojua,\Ntumeishi New York City tangu 2015 Dialogue: 0,0:00:32.38,0:00:35.73,Default,,0000,0000,0000,,Lakini maisha yamebadilika mno \Nkwa mwaka uliopita. Dialogue: 0,0:00:36.24,0:00:39.56,Default,,0000,0000,0000,,Hapo mwanzoni, New York \Nilikua ni sehemu ya makumbusho Dialogue: 0,0:00:39.58,0:00:40.78,Default,,0000,0000,0000,,na hifadhi Dialogue: 0,0:00:40.81,0:00:42.49,Default,,0000,0000,0000,,na shule na marafiki. Dialogue: 0,0:00:42.83,0:00:45.39,Default,,0000,0000,0000,,Saaa hii ni kama mtandao Dialogue: 0,0:00:45.42,0:00:47.67,Default,,0000,0000,0000,,unaoniunganisha na watu wengine Dialogue: 0,0:00:47.70,0:00:49.90,Default,,0000,0000,0000,,wanaopanga kuokoa dunia. Dialogue: 0,0:00:50.79,0:00:52.96,Default,,0000,0000,0000,,Wajua nilianzaje ? Dialogue: 0,0:00:52.98,0:00:54.88,Default,,0000,0000,0000,,Ni baba na busara zake. Dialogue: 0,0:00:55.95,0:00:59.54,Default,,0000,0000,0000,,Kila kitu ulimfunza, \Nalienda akafunza ulimwengu. Dialogue: 0,0:00:59.56,0:01:04.45,Default,,0000,0000,0000,,Maneno yake yote \Nkuhusu uwajibikaji tulionao kama binadamu Dialogue: 0,0:01:04.47,0:01:06.51,Default,,0000,0000,0000,,kuishi kwa usawa na asili Dialogue: 0,0:01:06.54,0:01:08.11,Default,,0000,0000,0000,,yalipitishwa kwangu. Dialogue: 0,0:01:08.58,0:01:11.99,Default,,0000,0000,0000,,Nimeona kutokua sawa kwenye ulimwengu wetu Dialogue: 0,0:01:12.02,0:01:14.88,Default,,0000,0000,0000,,na kukumbuka ulichoniambia wakati mmoja: Dialogue: 0,0:01:14.90,0:01:17.77,Default,,0000,0000,0000,,"Acha kila kitu bora kuliko ulivyokikuta." Dialogue: 0,0:01:18.62,0:01:21.65,Default,,0000,0000,0000,,Najua ulikuwa unaongelea kuhusu vyombo, Dialogue: 0,0:01:21.67,0:01:24.45,Default,,0000,0000,0000,,lakini, hiyo inaleta maana kwa ulimwengu pia. Dialogue: 0,0:01:24.97,0:01:26.85,Default,,0000,0000,0000,,Sikujua cha kufanya mwanzoni. Dialogue: 0,0:01:27.20,0:01:28.51,Default,,0000,0000,0000,,Dunia ni kubwa mno, Dialogue: 0,0:01:28.54,0:01:30.74,Default,,0000,0000,0000,,na ina tabia nyingi mbaya. Dialogue: 0,0:01:30.77,0:01:35.08,Default,,0000,0000,0000,,Sikujua vile msichana mwenye miaka 15 \Nangebadilisha chochote. Dialogue: 0,0:01:35.11,0:01:36.40,Default,,0000,0000,0000,,lakini ilinibidi kujaribu. Dialogue: 0,0:01:37.18,0:01:39.32,Default,,0000,0000,0000,,Ili kuweka hii falsafa katika vitendo, Dialogue: 0,0:01:39.34,0:01:41.90,Default,,0000,0000,0000,,Nilijiunga na klabu ya mazingira shuleni. Dialogue: 0,0:01:41.92,0:01:46.59,Default,,0000,0000,0000,,Lakini niliona wanafunzi wenza \Nwakiongelea mchakato wa taka kuna matumizi tena Dialogue: 0,0:01:46.61,0:01:48.51,Default,,0000,0000,0000,,na kutazama filamu zinazohusu bahari. Dialogue: 0,0:01:48.95,0:01:51.36,Default,,0000,0000,0000,,Ulikua mwonekano wa kuzingatia mazingira Dialogue: 0,0:01:51.39,0:01:55.84,Default,,0000,0000,0000,,ulioegemea \Nharakati ya kutunza hali ya hewa isiyofaa, Dialogue: 0,0:01:55.86,0:01:59.28,Default,,0000,0000,0000,,na kutupa lawama kwa mtumiaji \Nkatika janga la kubadiika kwa hali ya hewa Dialogue: 0,0:01:59.30,0:02:01.84,Default,,0000,0000,0000,,na kutangaza joto inaongezeka Dialogue: 0,0:02:01.86,0:02:05.29,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu tulisahau \Nkurudisaha mifuko inayoweza tumika tena dukani. Dialogue: 0,0:02:05.66,0:02:08.74,Default,,0000,0000,0000,,Ulinifunza kwamba kutunza ulimwengu Dialogue: 0,0:02:08.77,0:02:11.89,Default,,0000,0000,0000,,inahusu uamuzi tunaochukua kwa pamoja. Dialogue: 0,0:02:13.11,0:02:15.37,Default,,0000,0000,0000,,Nafurahia kukuambia, Abuelita, Dialogue: 0,0:02:15.39,0:02:18.36,Default,,0000,0000,0000,,kwamba nimebadili \Nwazo la kila mtu klabuni. Dialogue: 0,0:02:18.39,0:02:20.94,Default,,0000,0000,0000,,Badala ya kuongelea mchakato wa kufanya taka kutumika tena, Dialogue: 0,0:02:20.96,0:02:23.73,Default,,0000,0000,0000,,tumeanza kuandikia wanasiasa wetu barua, Dialogue: 0,0:02:23.75,0:02:26.08,Default,,0000,0000,0000,,kupiga marufuku kabisa plastiki laini. Dialogue: 0,0:02:26.50,0:02:29.27,Default,,0000,0000,0000,,Na kisha, lisilojarajiwa likatokea: Dialogue: 0,0:02:29.87,0:02:32.21,Default,,0000,0000,0000,,tulianza kugoma shuleni. Dialogue: 0,0:02:33.58,0:02:35.85,Default,,0000,0000,0000,,Nafahamu ushatazama kwa habari, Dialogue: 0,0:02:35.87,0:02:37.92,Default,,0000,0000,0000,,au pengine hio si mahususi kwa saa hii. Dialogue: 0,0:02:38.42,0:02:41.62,Default,,0000,0000,0000,,Lakini wakati huo, ilikuwa ni jambo kubwa. Dialogue: 0,0:02:41.65,0:02:45.100,Default,,0000,0000,0000,,Hebu fikiria watoto kutoenda shule \Nkisa wanataka watu waokoe dunia. Dialogue: 0,0:02:46.02,0:02:48.96,Default,,0000,0000,0000,,(Video) Umati: Ulimwengu mwingine \Nunawezekana ! Hatuzuiliki ! Dialogue: 0,0:02:48.99,0:02:51.38,Default,,0000,0000,0000,,XiyeBastide: Kwa mgomo wa \Nkwanza kimataifa wa hali ya hewa, Dialogue: 0,0:02:51.40,0:02:53.28,Default,,0000,0000,0000,,ilioandaliwa na Greta Thunberg, Dialogue: 0,0:02:53.31,0:02:56.96,Default,,0000,0000,0000,,Nilishawishi wanafunzi 600 wenzangu\Nkutembea nami. Dialogue: 0,0:02:58.47,0:03:00.25,Default,,0000,0000,0000,,Greta Thunberg ni kijana mwanzilishi\Nwa migomo Dialogue: 0,0:03:00.25,0:03:01.25,Default,,0000,0000,0000,,Uimara wake ulinihamasisha, Dialogue: 0,0:03:01.25,0:03:02.25,Default,,0000,0000,0000,,na kushtuka na utambuzi huu Dialogue: 0,0:03:02.25,0:03:04.64,Default,,0000,0000,0000,,kua kijana angebadilisha maono ya umaa kwa masuala ya kijamii Dialogue: 0,0:03:04.67,0:03:07.56,Default,,0000,0000,0000,,Harakati zikaanza. Dialogue: 0,0:03:07.58,0:03:11.60,Default,,0000,0000,0000,,(Video) Umati: Nyamazisha ! Dialogue: 0,0:03:12.20,0:03:13.35,Default,,0000,0000,0000,,XB: Na nikawa mmoja wa waandalizi wakuu Dialogue: 0,0:03:13.37,0:03:14.71,Default,,0000,0000,0000,,kwa New York, Amerika na ulimwengu Dialogue: 0,0:03:14.74,0:03:16.78,Default,,0000,0000,0000,,(Video) XB: Tunahitaji nini?\NCrowd: Haki ya hali ya hewa! Dialogue: 0,0:03:16.81,0:03:19.43,Default,,0000,0000,0000,,XB: Tunalihitaji lini ?\NCrowd: Sasa ! Dialogue: 0,0:03:19.46,0:03:21.91,Default,,0000,0000,0000,,XB: Nilianza kuongelea haki ya hali ya hewa na haki asilia Dialogue: 0,0:03:21.93,0:03:23.56,Default,,0000,0000,0000,,na ushirika miongoni mwa vizazi tofauti. Dialogue: 0,0:03:23.58,0:03:26.88,Default,,0000,0000,0000,,Huu ulikuwa mwazo tu, hata hivyo. Dialogue: 0,0:03:26.88,0:03:28.98,Default,,0000,0000,0000,,Wiki iliyokuwa na shughuli nyingi katika maisha yangu Dialogue: 0,0:03:28.98,0:03:31.12,Default,,0000,0000,0000,,nyakati zote itakuwa ni wiki ya Septemba 20,2019. Dialogue: 0,0:03:31.14,0:03:32.76,Default,,0000,0000,0000,,Mimi na marafiki wangu tulipata watu 300,00 kugoma kwa ajiliya hali ya hewa katika jiji la New York Dialogue: 0,0:03:32.78,0:03:36.76,Default,,0000,0000,0000,,Natamani ungekuwepo. Dialogue: 0,0:03:37.47,0:03:43.60,Default,,0000,0000,0000,,Tuliandamana mitaani ya Wall Street kudai haki ya hali ya hewa. Dialogue: 0,0:03:44.02,0:03:45.66,Default,,0000,0000,0000,,(Video) Umati: Hakuna tena kamwe makaa ya mawe, kamwe tena kwa mafuta, acha kaboni kwenye ardhi ! Dialogue: 0,0:03:45.68,0:03:48.61,Default,,0000,0000,0000,,XB: Mwezi huo, nilihudhuria Mkutano wa Hali ya Hewa wa Umoja wa Mataifa. Dialogue: 0,0:03:48.64,0:03:51.92,Default,,0000,0000,0000,,Niliongea katika jopo alipokuwepo Al Gore Dialogue: 0,0:03:51.95,0:03:55.04,Default,,0000,0000,0000,,Nikakutana na Jay Inslee na Naomi Klein\Nna Bill McKibben Dialogue: 0,0:03:55.07,0:03:57.05,Default,,0000,0000,0000,,na rais wa Umoja wa Mataifa Dialogue: 0,0:03:57.66,0:04:01.54,Default,,0000,0000,0000,,Ilikuwa wiki la kustaajabisha kabisa maishani mwangu, Dialogue: 0,0:04:01.56,0:04:04.16,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu kila mtu ninayemjua walikuja pamoja- Dialogue: 0,0:04:04.74,0:04:07.04,Default,,0000,0000,0000,,walimu wangu, wanafunzi wenzangu wote... Dialogue: 0,0:04:07.06,0:04:10.15,Default,,0000,0000,0000,,Hata maduka niyapendayo yalifungwa kwa ajili ya mgomo wa hali ya hewa. Dialogue: 0,0:04:10.17,0:04:12.76,Default,,0000,0000,0000,,Kama ungeniuiza kwa nini nilifanya haya yote, Dialogue: 0,0:04:12.78,0:04:17.49,Default,,0000,0000,0000,,jibu langu lingekuwa, Dialogue: 0,0:04:18.64,0:04:21.18,Default,,0000,0000,0000,,"Kwanini nishindwe?" Dialogue: 0,0:04:21.20,0:04:23.14,Default,,0000,0000,0000,,Imekua mwaka tangu nianze, Dialogue: 0,0:04:23.17,0:04:24.61,Default,,0000,0000,0000,,na wakati mwingine huchosha. Dialogue: 0,0:04:25.85,0:04:29.17,Default,,0000,0000,0000,,Lakini kama kuna kitu mmoja ulinifunza, ni uthabiti. Dialogue: 0,0:04:29.20,0:04:31.20,Default,,0000,0000,0000,,Nakumbuka ulienda jiji la Mexico kila siku kwa miaka 30 Dialogue: 0,0:04:31.69,0:04:35.18,Default,,0000,0000,0000,,ili kupata pesa ya mahitaji ya familia. Dialogue: 0,0:04:35.92,0:04:40.21,Default,,0000,0000,0000,,Na najua Abuelito amekua akitembea nje kwa miaka 20 Dialogue: 0,0:04:40.23,0:04:42.15,Default,,0000,0000,0000,,kulinda ardhi takatifu dhidi ya makampuni makubwa yanayataka kuinyakua Dialogue: 0,0:04:42.18,0:04:46.13,Default,,0000,0000,0000,,mwaka moja si lolote Dialogue: 0,0:04:46.15,0:04:49.57,Default,,0000,0000,0000,,kulingana na mapambano familia yetu imepitia. Dialogue: 0,0:04:50.08,0:04:51.48,Default,,0000,0000,0000,,Na kama mapambano yetu yanaboresha dunia, Dialogue: 0,0:04:51.51,0:04:54.44,Default,,0000,0000,0000,,yatatufanya kuwa watu bora. Dialogue: 0,0:04:54.86,0:04:58.11,Default,,0000,0000,0000,,Kumekuwa na matatizo, Abuelita. Dialogue: 0,0:04:58.13,0:05:00.30,Default,,0000,0000,0000,,Ulimwenguni, Dialogue: 0,0:05:00.67,0:05:03.12,Default,,0000,0000,0000,,watu wanatarajia watoto kama sisi kufahamu kila kitu, Dialogue: 0,0:05:03.14,0:05:04.55,Default,,0000,0000,0000,,au angalau wanatarajia tujue, Dialogue: 0,0:05:04.57,0:05:07.81,Default,,0000,0000,0000,,Wanauliza na najibu, Dialogue: 0,0:05:07.83,0:05:09.54,Default,,0000,0000,0000,,na kama najua jinsi ulimwengu unavyofanya kazi. Dialogue: 0,0:05:09.57,0:05:12.39,Default,,0000,0000,0000,,Wanahitaji matumaini, nasi tunawapa. Dialogue: 0,0:05:12.42,0:05:14.95,Default,,0000,0000,0000,,Nimepanga, kuandika, kuongelea na kusoma kuhusu hali ya hewa na sera Dialogue: 0,0:05:14.97,0:05:17.11,Default,,0000,0000,0000,,karibu kila siku kwa mwaka moja uliopita. Dialogue: 0,0:05:18.62,0:05:23.90,Default,,0000,0000,0000,,Na nina wasiwasi kidogo Dialogue: 0,0:05:23.93,0:05:26.26,Default,,0000,0000,0000,,kwamba sitoweza fanya vya kutosha, Abuelita. Dialogue: 0,0:05:27.20,0:05:28.95,Default,,0000,0000,0000,,Kwangu, kuwa na miaka 18 and kujaribu kuokoa ulimwengu Dialogue: 0,0:05:28.97,0:05:31.36,Default,,0000,0000,0000,,inamanisha kuwa mwanaharakati wa hali ya hewa. Dialogue: 0,0:05:32.48,0:05:36.30,Default,,0000,0000,0000,,Awali, labda ilimanisha kusoma kuwa daktari Dialogue: 0,0:05:36.32,0:05:38.23,Default,,0000,0000,0000,,au mwanasiasa au mtafiti. Dialogue: 0,0:05:38.62,0:05:41.16,Default,,0000,0000,0000,,Lakini siwezi ngojea kuwa mkubwa ili niwe mojawapo ya hayo. Dialogue: 0,0:05:41.19,0:05:43.48,Default,,0000,0000,0000,,Ulimwengu unaumia, Dialogue: 0,0:05:43.80,0:05:46.100,Default,,0000,0000,0000,,na hatuna taanasa ya wakati kamwe. Dialogue: 0,0:05:47.51,0:05:49.34,Default,,0000,0000,0000,,Kuokoa ulimwengu kama kijana unahitaji ueledi wa maneno, Dialogue: 0,0:05:49.37,0:05:51.86,Default,,0000,0000,0000,,kuelewa sayansi inayohusu janga la hali ya hewa Dialogue: 0,0:05:53.47,0:05:57.20,Default,,0000,0000,0000,,kuleta mtazamo wa kipekee kwa suala ibuka Dialogue: 0,0:05:57.23,0:06:00.09,Default,,0000,0000,0000,,na kusahau mambo mengineyo Dialogue: 0,0:06:00.12,0:06:03.70,Default,,0000,0000,0000,,Lakini wakati mwingine, nahisi kuzingatia mambo mengine tena. Dialogue: 0,0:06:03.73,0:06:06.61,Default,,0000,0000,0000,,Nataka kuimba na kucheza na kufanya mazoezi ya viungo vya mwili Dialogue: 0,0:06:07.33,0:06:10.35,Default,,0000,0000,0000,,Kiukweli nahisi ikiwa sisi sote tungelinda ulimwengu Dialogue: 0,0:06:10.37,0:06:13.76,Default,,0000,0000,0000,,kama tabia, Dialogue: 0,0:06:14.21,0:06:18.08,Default,,0000,0000,0000,,kama tamaduni, Dialogue: 0,0:06:18.11,0:06:19.42,Default,,0000,0000,0000,,hakuna mtu angekua mwanaharakati wa hali ya hewa wakati wote Dialogue: 0,0:06:19.44,0:06:21.24,Default,,0000,0000,0000,,Kama biashara zimekua endelevu, Dialogue: 0,0:06:21.27,0:06:24.61,Default,,0000,0000,0000,,kama gridi ya umeme inaendesha kwa nishati mbadala, Dialogue: 0,0:06:25.36,0:06:27.36,Default,,0000,0000,0000,,kama mtaala wa shule unatufundisha Dialogue: 0,0:06:27.39,0:06:30.62,Default,,0000,0000,0000,,kuwa kuzingatia ulimwengu ni moja ya utu wetu Dialogue: 0,0:06:30.65,0:06:33.66,Default,,0000,0000,0000,,labda naweza fanya mazoezi ya sarekasi tena. Dialogue: 0,0:06:33.68,0:06:36.92,Default,,0000,0000,0000,,Au sivyo, Abuelita ? Dialogue: 0,0:06:38.01,0:06:40.62,Default,,0000,0000,0000,,Tunaweza fanya hili. Dialogue: 0,0:06:40.94,0:06:42.44,Default,,0000,0000,0000,,Yote najaribu kufanya na kazi yangu Dialogue: 0,0:06:42.97,0:06:44.12,Default,,0000,0000,0000,,ni kuwapa watu wengine mtazamo chanya wa matumaini. Dialogue: 0,0:06:44.57,0:06:46.16,Default,,0000,0000,0000,,Lakini ni ngumu kidogo. Dialogue: 0,0:06:46.18,0:06:49.19,Default,,0000,0000,0000,,Kuna tamaa, Dialogue: 0,0:06:49.88,0:06:51.42,Default,,0000,0000,0000,,kuna kiburi, Dialogue: 0,0:06:51.87,0:06:53.05,Default,,0000,0000,0000,,kuna pesa, Dialogue: 0,0:06:53.07,0:06:54.49,Default,,0000,0000,0000,,na pia uyakinifu. Dialogue: 0,0:06:54.51,0:06:55.77,Default,,0000,0000,0000,,Hulka ya watu hurahisisha kuongelea haya mambo, Dialogue: 0,0:06:55.79,0:06:57.29,Default,,0000,0000,0000,,lakini napata wakati mgumu kuwafunza. Dialogue: 0,0:06:57.32,0:07:00.48,Default,,0000,0000,0000,,Nataka wajiamini kwa kujitahidi kila wakati. Dialogue: 0,0:07:00.50,0:07:03.96,Default,,0000,0000,0000,,Nawatakia kua na moyo na ujasiri Dialogue: 0,0:07:04.50,0:07:07.83,Default,,0000,0000,0000,,wa kupenda ulimwengu, Dialogue: 0,0:07:08.24,0:07:10.80,Default,,0000,0000,0000,,kamaulivyonifunza. Dialogue: 0,0:07:10.82,0:07:11.97,Default,,0000,0000,0000,,Nimeandika barua hii kukushukuru. Dialogue: 0,0:07:12.77,0:07:14.53,Default,,0000,0000,0000,,Shukrani kwa kunikaribisha kupenda ulimwengu Dialogue: 0,0:07:14.55,0:07:16.46,Default,,0000,0000,0000,,tangu nizaliwe. Dialogue: 0,0:07:16.90,0:07:19.67,Default,,0000,0000,0000,,Shukran kwa kucheka kwa kila kitu. Dialogue: 0,0:07:19.70,0:07:21.44,Default,,0000,0000,0000,,Shukrani kwa kunifunza Dialogue: 0,0:07:21.95,0:07:23.84,Default,,0000,0000,0000,,kua matumaini na matarajio ndizo zana za nguvu tulizo nazo Dialogue: 0,0:07:23.86,0:07:25.35,Default,,0000,0000,0000,,kukumbana na shida yoyote. Dialogue: 0,0:07:25.37,0:07:29.73,Default,,0000,0000,0000,,Nafanya hili kwa kuwa ulinionyesha Dialogue: 0,0:07:29.75,0:07:31.43,Default,,0000,0000,0000,,kwamba uthabiti, upendo na ujuzi Dialogue: 0,0:07:31.77,0:07:34.86,Default,,0000,0000,0000,,vinatosha kuleta mabadiliko. Dialogue: 0,0:07:34.88,0:07:36.87,Default,,0000,0000,0000,,Nataka kurudi Mexico nikutembelee. Dialogue: 0,0:07:36.90,0:07:38.62,Default,,0000,0000,0000,,Nataka kukuonyesha picha ya vitu nilivyofanya. Dialogue: 0,0:07:39.26,0:07:41.85,Default,,0000,0000,0000,,Nataka kukuonyesha sheria ya hali ya hewa Dialogue: 0,0:07:41.87,0:07:45.14,Default,,0000,0000,0000,,tuliyoweza kupitisha. Dialogue: 0,0:07:45.16,0:07:47.48,Default,,0000,0000,0000,,Nataka kunusa maua Dialogue: 0,0:07:47.51,0:07:49.23,Default,,0000,0000,0000,,na kupigania haki ya hali ya hewa pamoja nawe Dialogue: 0,0:07:49.26,0:07:50.96,Default,,0000,0000,0000,,Te quiero mucho.(Nakupenda sana) Dialogue: 0,0:07:50.99,0:07:53.46,Default,,0000,0000,0000,,Nakupenda Dialogue: 0,0:07:54.18,0:07:55.36,Default,,0000,0000,0000,,Xiye. Dialogue: 0,0:07:55.38,0:07:56.55,Default,,0000,0000,0000,,[Te quiero mucho. Xiye.]