Kuna baadhi ya watu unahitaji KUJITENGA NAO!
-
0:00 - 0:04Kuna baadhi ya watu ambao unahitaji kujitenga nao.
-
0:04 - 0:08Kuna baadhi ya watu unahitaji kujiweka mbali nao.
-
0:08 - 0:10Usiwe mwepesi sana wa kuamini.
-
0:10 - 0:14Usiwe na haraka sana kumpa mtu moyo wako ki urahisi.
-
0:14 - 0:19Usishiriane mambo na watu ambao hawako dhati kuhusu maisha yao ya baadaye.
-
0:19 - 0:23Usitafute watu ambao wana udhaifu sawa na wewe.
-
0:23 - 0:27Tafuta watu wenye nguvu ambapo wewe ni dhaifu.
-
0:27 - 0:32Nataka nikuhakikishie kwamba ukichukua hatua hiyo, hutajuta.
- Title:
- Kuna baadhi ya watu unahitaji KUJITENGA NAO!
- Description:
-
"Kuna baadhi ya watu unahitaji kujitenga nao. Kuna baadhi ya watu unahitaji kujiweka mbali nao. Usiwe mwepesi wa kuwaamini. Usiwe mwepesi sana kumpa mtu moyo wako kiurahisi. Usishiriane mambo na watu ambao hawako dhati kuhusu maisha yao ya baadaye. Usitafute watu ambao wana udhaifu sawa na wewe. Tafuta watu wenye nguvu pale ambapo wewe ni dhaifu. Nataka nikuhakikishie kwamba ukichukua hatua hiyo, hutajuta."
Unaweza kutazama ujumbe kamili kutoka kwa Ndugu Chris hapa - https://www.youtube.com/watch?v=cFQuuYVMhCg
- Video Language:
- English
- Team:
God's Heart TV
- Duration:
- 0:32
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for There are some people you need to DISCONNECT from! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for There are some people you need to DISCONNECT from! |