< Return to Video

Kuna baadhi ya watu unahitaji KUJITENGA NAO!

  • 0:00 - 0:04
    Kuna baadhi ya watu ambao unahitaji kujitenga nao.
  • 0:04 - 0:08
    Kuna baadhi ya watu unahitaji kujiweka mbali nao.
  • 0:08 - 0:10
    Usiwe mwepesi sana wa kuamini.
  • 0:10 - 0:14
    Usiwe na haraka sana kumpa mtu moyo wako kwa bei nafuu.
  • 0:14 - 0:19
    Usifanye biashara ya masuala na watu ambao hawako serious kuhusu maisha yao ya baadaye.
  • 0:19 - 0:23
    Usitafute watu ambao wana udhaifu sawa na wewe.
  • 0:23 - 0:27
    Tafuta watu wenye nguvu ambapo wewe ni dhaifu.
  • 0:27 - 0:32
    Nataka nikuhakikishie kwamba ukichukua hatua hiyo, hutajuta.
Title:
Kuna baadhi ya watu unahitaji KUJITENGA NAO!
Description:

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
0:32

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions