NatureNow: Greta Thunberg and George Monbiot make short film on the climate crisis
-
0:02 - 0:04Hii si kwata.
-
0:04 - 0:07Jina langu ni Greta Thunberg.
-
0:07 - 0:10Tunaishi mwanzoni mwa uangamivu
mkubwa -
0:11 - 0:14Tabianchi yetu inakongoroka.
-
0:14 - 0:18Watoto kama mimi wanaacha masomo yao ili waandamane.
-
0:19 - 0:21Lakini bado tunaweza kurekebisha hili.
-
0:21 - 0:23Bado unaweza kurekebisha hili.
-
0:23 - 0:27Ili kuendelea kuishi, tuache kuchoma nishati ya visukuku, japo hili tu halitoshi.
-
0:27 - 0:30Masuluhisho mengi yanatajwa, lakini vipi suluhisho lililo mbele
-
0:30 - 0:33yetu?
-
0:33 - 0:35Nimwachie rafiki yangu George aeleze.
-
0:36 - 0:38Ipo mashine ya ajabu inayofyonza gesi ya ukaa hewani, ina gharama ndogo na inajijenga
-
0:38 - 0:43yenyewe.
-
0:43 - 0:44Inaitwa ... mti.
-
0:44 - 0:46Mti ni mfano wa suluhisho la asili la tabianchi.
-
0:47 - 0:48Mikoko, maeneo ya maozeo, mapori, maeneo chepechepe, sakafu za bahari, mwani, vinamasi, matumbawe, vina
-
0:48 - 0:49chukua gesi ya ukaa hewani na kuifungia.
-
0:49 - 0:54Maumbile asili ni zana ambayo tunaweza kutumia kurekebisha tabianchi yetu iliyokongoroka
-
0:54 - 0:57Masuluhisho haya asili kwa tabianchi yanaweza kuleta tofauti kubwa.
-
0:57 - 0:59Poa sana, sio?
-
0:59 - 1:03Lakini kama tu tutaacha nishati za visukuku ardhini.
-
1:03 - 1:08Na hii ndio balaa ... hivi sasa tunazipuuzia.
-
1:09 - 1:12Tunatumia mara elfu zaidi kwa ruzuku kwenye nishati za visukuku duniani kuliko kwenye masuluhisho
-
1:12 - 1:14ya asili.
-
1:14 - 1:18Masuluhisho asili ya tabianchi hupata 2% tu
-
1:20 - 1:22ya pesa zote zitumikazo kushughulikia kukongoroka kwa tabianchi.
-
1:22 - 1:24Hii ni pesa yako, ni kodi zako na akiba zako.
-
1:26 - 1:31Hata balaa zaidi, hivi sasa ambapo tunaihitaji asili zaidi
-
1:31 - 1:33tunaiharibu haraka kuliko wakati wowote.
-
1:33 - 1:35Hadi spishi 200 zinatoweka kila siku.
-
1:35 - 1:39Sehemu kubwa ya barafu ya Aktiki imetoweka.
-
1:39 - 1:41Wanyamapori wetu wengi wametoweka.
-
1:41 - 1:43Udongo wetu mwingi umetoweka.
-
1:44 - 1:45Sasa tufanye nini?
-
1:45 - 1:47Utafanya nini?
-
1:47 - 1:50Ni rahisi ... tunahitaji kulinda, kurejeza na kugharamia.
-
1:50 - 1:54Linda.
-
1:54 - 1:57Misitu ya tropiki inafyekwa
-
1:57 - 1:59kwa kiwango cha viwanja 30 vya mpira kwa dakika.
-
1:59 - 2:01
-
2:01 - 2:03Pale asili inatekeleza jambo muhimu, lazima tuilinde.
-
2:03 - 2:04Rejeza.
-
2:04 - 2:05Sehemu kubwa ya sayari yetu imeharibiwa.
-
2:05 - 2:06Lakini asili inaweza kujirejeza
-
2:06 - 2:07na tunaweza kusaidia mifumo ya ikolojia kurudi tena.
-
2:07 - 2:09
-
2:09 - 2:10Gharamia.
-
2:10 - 2:11Tunatakiwa kuacha kugharamia vitu vinavyoharibu asili
-
2:11 - 2:13na kulipia vitu vinavyoisaidia.
-
2:13 - 2:16Ni rahisi tu hivyo.
-
2:16 - 2:19Linda, rejeza, gharamia.
-
2:19 - 2:21Hili linaweza kufanyika kila mahali.
-
2:21 - 2:22Watu wengi tayari wameanza kutumia masuluhisho asili kwa tabianchi.
-
2:22 - 2:25Tunatakiwa kufanya hivyo kwa kiwango kikubwa.
-
2:25 - 2:27Unaweza kuwa sehemu ya hili.
-
2:27 - 2:30Pigia kura wale wanaolinda asili.
-
2:31 - 2:32Shirikisha video hii.
-
2:33 - 2:36Ongelea kuhusu hili.
-
2:36 - 2:38Dunia kote kuna vikundi vya kushangaza vinavyopigania asili.
-
2:39 - 2:41Ungana navyo!
-
2:41 - 2:42
-
2:42 - 2:43Kila kitu ni muhimu.
-
2:43 - 2:44Ufanyacho ni muhimu.
- Title:
- NatureNow: Greta Thunberg and George Monbiot make short film on the climate crisis
- Description:
-
Environmental activists Greta Thunberg and George Monbiot have helped produce a short film highlighting the need to protect, restore and use nature to tackle the climate crisis.
Living ecosystems like forests, mangroves, swamps and seabeds can pull enormous quantities of carbon from the air and store them safely, but natural climate solutions currently receive only 2% of the funding spent on cutting emissions.
The film’s director, Tom Mustill of Gripping Films, said: 'We tried to make the film have the tiniest environmental impact possible. We took trains to Sweden to interview Greta, charged our hybrid car at George’s house, used green energy to power the edit and recycled archive footage rather than shooting new.'
#naturenow #climatecrisis #gretathunberg
CREDITS
Narrators: Greta Thunberg & George Monbiot
Director: Tom Mustill
Producer: Triangle Monday
DoP & Editor: Fergus Dingle
Sound: Shaman Media
GFX: Paraic Mcgloughlin
Online: Bram De Jonghe
Picture Post: Special Treats Productions
Mix: Mcasso Music
Audio Post: Tom Martin
NCS Guidance: Charlie Lat
Music: Rone / InFiné MusicThe Independent film by Gripping Films(Tom Mustill) was supported by:
Conservation International
Food and Land Use Coalition
Gower StWith guidance from
Nature4ClimateNatural Climate Solutions
www.grippingfilms.com
FIND OUT MORE:
#naturenow
www.naturalclimate.solutions - Video Language:
- English
- Team:
- Amplifying Voices
- Project:
- Environment and Climate Change
- Duration:
- 03:41
Fran Ontanaya edited Swahili subtitles for NatureNow: Greta Thunberg and George Monbiot make short film on the climate crisis | ||
Julian Picotto edited Swahili subtitles for NatureNow: Greta Thunberg and George Monbiot make short film on the climate crisis |