-
Uongo wa habari si jambo jipya.
-
Lakini hadithi za uongo zinaweza kufikia watu wengi zaidi kwa haraka kupitia mitandao ya kijamii
-
kuliko barua pepe za kawaida za virusi zilizoweza kufanikisha hapo awali kwa miaka mingi.
-
Wengi wa madai haya ya virusi sio "habari" kabisa,
-
bali ni hadithi za uongo, mzaha,
-
na jitihada za kuwadanganya wasomaji na kuwafanya wadhani ni kweli.
-
Hapa kuna mikakati kadhaa
ya kujilinda na habari za uongo.
-
Je, unafahamiana na chanzo?
-
Je, ni halali?
-
Je, kilikuwa na uaminifu hapo awali?
-
Ikiwa sivyo, huenda usitake kuamini hiyo.
-
Ikiwa kichwa cha habari kinavutia hisia zako,
-
soma kidogo zaidi kabla ya kuamua
kueneza habari hizo za kushangaza.
-
Hata katika hadithi halali za habari,
-
kichwa cha habari hakiambii kila kitu.
-
Lakini habari za uongo,
-
hasa jitihada za kuwa mzaha,
-
zinaweza kuwa na ishara kadhaa
katika maandishi.
-
Hadithi moja ya uongo ilihusisha
kumhusisha dubu-maji kwa kumnukuu.
-
Ikiwa ingekuwa halisi,
ungekuwa na hoja kuwa walificha habari muhimu.
-
Ishara nyingine inayoonyesha hadithi ya uongo
ni kawaida jina la mwandishi,
-
ikiwa lipo.
-
Na kwa baadhi ya visa,
waandishi hata sio halisi.
-
Hadithi moja iliongozwa na "daktari"
-
ambaye alishinda "tuzo kumi na nne za Peabody na Pulitzer Prizes kadhaa,"
-
ambayo ingekuwa ya kuvutia sana
ikiwa haikuwa kabisa ya uongo.
-
Maranyingi hadithi hizi za uongo zitatambulisha
vyanzo vya rasmi au vyanzo vyenye sauti ya kuaminika,
-
lakini ukiichunguza,
chanzo hakiungi mkono madai hayo.
-
Baadhi ya hadithi za uwongo sio kabisa za uongo,
-
bali ni upotoshaji wa matukio halisi.
-
Madai ya uongo yanaweza kuchukua habari halali
-
na kuzidharau,
-
au hata kudai kuwa jambo
-
lililotokea zamani linahusiana na tukio la sasa.
-
Tovuti moja ya udanganyifu ilichukua hadithi
iliyokuwa na zaidi ya mwaka mmoja kutoka CNN
-
na kuibandika kichwa kipya
na tarehe mpya ya chapisho,
-
ambayo inaongeza udanganyifu,
pia kuna uvunjaji wa haki miliki.
-
Kumbuka, kuna kitu kinachoitwa mzaha.
-
Kwa kawaida, kinaelezewa wazi kama hivyo,
na mara nyingine ni hata kuchekesha.
-
Lakini sio habari.
-
Na kuna
maelezo yanayopingana zaidi ya mzaha,
-
yaliyoundwa kumdanganya msomaji.
-
Machapisho haya pia yana lengo
la kuhamasisha bonyeza,
-
na kuzalisha mapato kwa mwandishi
kupitia matangazo.
-
Lakini sio habari.
-
Tunajua kuwa jambo hili ni gumu.
-
Upendeleo wa uthibitisho unawafanya watu
-
kuamini zaidi taarifa zinazothibitisha imani zao
-
na kupuuza taarifa ambazo hazifanyi hivyo.
-
Lakini wakati ujao
unaposhtuka kiotomatiki
-
na baadhi ya chapisho kwenye mitandao ya kijamii kwa mfano, kuhusu mwanasiasa unaempinga,
-
chukua muda kuchunguza.
-
Jaribu jaribio hili rahisi:
-
Ni hadithi nyingine zipi zimechapishwa
kwenye tovuti ya "habari"
-
ambayo ndio chanzo cha habari
-
iliyotokomea kwenye kikasha chako cha mitandao ya kijamii?
-
Huenda tayari unatayarishwa kuamini
hadithi kuhusu mwanasiasa usiyempenda,
-
lakini ikiwa tovuti ya "habari" iliyodaiwa
pia ina habari
-
kama "walinzi kutoka Antaktika
wakijibu dhidi ya Marekani
-
kwa kuiathiri New Zealand
na tetemeko la ardhi,"
-
labda unapaswa kufikiria mara mbili
kabla ya kushiriki.
-
Na ndiyo, hadithi ya tetemeko la ardhi hiyo
-
ni mfano halisi wa hadithi ya uongo iliyotokea.
-
Tunajua wewe ni mzito, na kuthibitisha haya kunachukua muda.
-
Lakini wachunguzi wa ukweli hulipwa
kufanya kazi kama hii.
-
Kati ya FactCheck.org,
-
Snopes.com,
-
Washington Post Fact Checker,
-
na PolitiFact.com,
-
labda angalau moja imekwishathibitisha
madai ya viral ya hivi karibuni
-
kwenye habari za mitandao ya kijamii yako.
-
Na kumbuka:
-
Wanasoma habari wenyewe
-
ndio mstari wa kwanza
wa ulinzidhidi ya habari za uongo.
-
Ili uone zaidi, tembelea FactCheck.org.
-
Maandishi ya chini
ya skrini yameandikwa na
-
Not Synced
Maurício Kakuei Tanaka Mapitio
ya Mirjam van Dijk