< Return to Video

Usipoteze muda juu ya kutosamehe!

  • 0:00 - 0:04
    Usipoteze muda kwa kutosamehe.
  • 0:04 - 0:10
    Usipoteze muda kulisha, kulea kitu ambacho unajua
  • 0:10 - 0:13
    kina hatima ya uharibifu.
  • 0:13 - 0:18
    Njia ya uchungu ni njia ya utumwa
  • 0:18 - 0:22
    lakini njia ya msamaha ni njia ya uhuru.
  • 0:22 - 0:25
    Tembea kwenye njia hiyo leo.
  • 0:25 - 0:30
    Hatua ya msamaha ni hatua ya uhuru.
  • 0:30 - 0:32
    Chukua hatua hiyo leo.
  • 0:32 - 0:35
    Mlango wa msamaha ni mlango wa uhuru.
  • 0:35 - 0:41
    Fungua mlango huo leo na uachilie msamaha
  • 0:41 - 0:46
    kwa yeyote ambaye amekukosea, aliyekuumiza - wasamehe sasa hivi.
Title:
Usipoteze muda juu ya kutosamehe!
Description:

“Usipoteze muda kulisha, kulea kitu ambacho unajua kina hatima ya uharibifu. Njia ya uchungu ni njia ya utumwa lakini njia ya msamaha ni njia ya uhuru. Tembea kwenye njia hiyo leo. Hatua ya msamaha ni hatua ya uhuru. Chukua hatua hiyo leo. Mlango wa msamaha ni mlango wa uhuru. Fungua mlango huo leo na umuachilie msamaha yule ambaye amekukosea, akakuumiza - wasamehe sasa hivi." - Ndugu Chris

Unaweza kutazama muda wote wa maombi baada ya ujumbe huu kwenye TV ya Moyo wa Mungu hapa - https://www.youtube.com/watch?v=UVPouLd2eaI

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
0:47

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions