< Return to Video

Usipoteze muda juu ya kutosamehe!

  • 0:00 - 0:04
    Usipoteze muda kwa kutosamehe.
  • 0:04 - 0:10
    Usipoteze muda kulisha, kulea kitu ambacho unajua
  • 0:10 - 0:13
    ina mwisho wa uharibifu.
  • 0:13 - 0:18
    Njia ya uchungu ni njia ya utumwa
  • 0:18 - 0:22
    lakini njia ya msamaha ni njia ya uhuru.
  • 0:22 - 0:25
    Tembea kwenye njia hiyo leo.
  • 0:25 - 0:30
    Hatua ya msamaha ni hatua ya uhuru.
  • 0:30 - 0:32
    Chukua hatua hiyo leo.
  • 0:32 - 0:35
    Mlango wa msamaha ni mlango wa uhuru.
  • 0:35 - 0:41
    Fungua mlango huo leo na uachilie msamaha
  • 0:41 - 0:46
    kwa yeyote ambaye amekukosea, alikuumiza - wasamehe sasa hivi.
Title:
Usipoteze muda juu ya kutosamehe!
Description:

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
0:47

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions