Kuandika hali ya haki za binadamu za watu wa kiasili
-
0:03 - 0:07Sisi ni zaidi ya watu mbalimbali
wa kiasili 5000 duniani kote, -
0:07 - 0:12ikijumuisha watu milioni 476
katika nchi 90. -
0:13 - 0:16Jamii zote za kiasili ziko
na utamaduni tofauti, -
0:16 - 0:19lakini, tunakumbana na changamoto nyingi
za haki za binadamu. -
0:20 - 0:21Duniani kote,
-
0:21 - 0:24tunakumbana na ubaguzi,
kutengwa, -
0:24 - 0:30kutengwa na michakato ya kisiasa
na maamuzi yanayoathiri maisha yetu. -
0:30 - 0:34Haki zetu za ardhi, maeneo, na maliasili
-
0:34 - 0:36mara nyingi haziheshimiwi.
-
0:36 - 0:41Hii inaathiri sana maisha yetu,
usalama wa chakula, na ustawi. -
0:41 - 0:44Pia tuna uwezekano mara tatu zaidi
kuliko watu wengine, -
0:44 - 0:46wa kuishi na umaskini uliokithiri,
-
0:46 - 0:50kutufanya tuwe hatarini zaidi kwa athari
za mabadiliko ya tabianchi, -
0:50 - 0:53na kwa athari mbaya za Uviko-19.
-
0:53 - 0:56Ni muhimu kwa hati na kuongeza ufahamu
-
0:56 - 0:58kuhusu hali zetu za haki za kibinadamu.
-
0:58 - 1:01Ndo maana urambazaji wa kiasili
ikatengenezwa, -
1:01 - 1:04kutoa seti ya zana ya kufuatilia utambuzi,
-
1:04 - 1:07na utekelezaji wa haki zetu duniani kote.
-
1:08 - 1:10Urambazaji wa kiasili umeundwa
-
1:10 - 1:14na kiasi cha watu wa kiasili pamoja
na mashirika ya haki za binadamu. -
1:15 - 1:18Zana na rasilimali za mtandaoni zinasaidia
jamii za kiasili. -
1:18 - 1:22kukusanya data za jamii
na hali ya kitaifa. -
1:22 - 1:25Zana zinashughulikia maeneo muhimu
ya mada. -
1:26 - 1:28hizi ni pamoja na haki za kujiamulia,
-
1:28 - 1:31ardhi, maeneo na rasilimali,
-
1:31 - 1:33pamoja na afya na elimu.
-
1:33 - 1:37Ufuatiliaji wa Azimio la Umoja wa Mataifa
juu ya haki za watu wa kiasili, -
1:37 - 1:40na vyombo vingine vya haki za binadamu
na kazi -
1:40 - 1:42zimejengwa ndani ya zana,
-
1:42 - 1:45na hivyo ndivyo malengo yote
ya maendeleo endelevu -
1:45 - 1:47kuhusiana na haki za watu wa kiasili.
-
1:48 - 1:52Kwa hivo, urambazaji wa kiasili unaweza
tumika kufuatilia -
1:52 - 1:55vyombo vyote mhimu vya haki za binadamu,
-
1:55 - 1:57na malengo ya maendeleo endelevu.
-
1:57 - 1:59Takwimu iliyokusanywa inawasilishwa
-
1:59 - 2:02kwa njia inayoeleweka ya ripoti
za kitaifa na jamii, -
2:02 - 2:04na inaweza kuonekana, kuchunguzwa,
-
2:04 - 2:07na kulinganishwa kwa tovuti yetu
ya mtandaoni. -
2:07 - 2:10Kwa kuweka kumbukumbu
na kuripoti hali zetu wenyewe, -
2:10 - 2:14tunaweza kuboresha ufikiaji wetu
kwa haki na maendeleo, -
2:14 - 2:18na kusaidia kuandika hali hiyo
ya watu wa kiasili duniani kote. -
2:18 - 2:23Jumuiya za kiasili zinaweza kutumia data
kutetea haki zao -
2:23 - 2:25mitaani, kitaifa, na kwa kiwango
cha kimataifa. -
2:26 - 2:29Inaweza pia saidia kuyawajibisha majimbo
-
2:29 - 2:33kwa kufuatilia uzingatiaji wao
au kushindwa kutimiza -
2:33 - 2:36wajibu wa haki za binadamu
kuhusu watu wa kiasili. -
2:37 - 2:38Jamii nyingi za kiasili,
-
2:38 - 2:42tayari zimefaidika kutoka kwa zana
za urambazaji wa kiasili. -
2:42 - 2:46Mojawapo ya haya ni Okani,
shirika la kijamii -
2:46 - 2:49na la kiasili, lililoko nchini Kameruni.
-
2:50 - 2:53Kutumia zana kukusanya data
katika ngazi ya jamii, -
2:53 - 2:57Okani liliweza kurekodi
idadi ya wanajamii -
2:57 - 3:00ambao hawana vyeti vya kuzaliwa
na vitambulisho vya kitaifa. -
3:00 - 3:03Bila hati hizi, hawawezi kupiga kura,
-
3:03 - 3:07kuomba kazi au kuzunguka nchi nzima
kwa uhuru. -
3:07 - 3:11Data hii ilitolea Okani nyenzo muhimu
za utetezi, -
3:11 - 3:13ambazo ziliwasaidia kuchukua hatua.
-
3:13 - 3:16Kwa njia hii, urambazaji wa kiasili
-
3:16 - 3:19inaweza kusaidia na kuimarisha
serikali zilizojizatiti, -
3:19 - 3:22na kutuwezesha kudai haki zetu.
-
3:23 - 3:25Kwa mengi zaidi, tembelea,
indigenousnavigator.org -
3:25 - 3:27Manukuu ya Gerard Ndayi.
gerardn190@gmail.com
- Title:
- Kuandika hali ya haki za binadamu za watu wa kiasili
- Description:
-
Kote ulimwenguni, watu wa kiasili wanakumbana na ubaguzi, kutengwa na kuachwa nyuma ya michakato ya kisiasa na kufanya maamuzi. Ili kuweka kumbukumbu na kuongeza ufahamu kuhusu hali zao za haki za binadamu,
mashirika kadhaa yametengeneza Urambazaji wa kiasili -lango la mtandaoni lenye seti ya zana za kidijitali zinazowasaidia kukusanya data-. - Video Language:
- English
- Team:
Amplifying Voices
- Project:
- Indigenous Peoples' Rights
- Duration:
- 03:29
![]() |
Gerard N edited Swahili subtitles for Documenting the human rights situation of indigenous peoples | |
![]() |
Gerard N edited Swahili subtitles for Documenting the human rights situation of indigenous peoples |