[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:02.78,0:00:06.82,Default,,0000,0000,0000,,Sisi ni zaidi ya watu mbalimbali\Nwa kiasili 5000 duniani kote, Dialogue: 0,0:00:06.82,0:00:11.100,Default,,0000,0000,0000,,ikijumuisha watu milioni 476\Nkatika nchi 90. Dialogue: 0,0:00:12.69,0:00:15.86,Default,,0000,0000,0000,,Jamii zote za kiasili ziko\Nna utamaduni tofauti, Dialogue: 0,0:00:15.86,0:00:19.17,Default,,0000,0000,0000,,lakini, tunakumbana na changamoto nyingi\Nza haki za binadamu. Dialogue: 0,0:00:19.78,0:00:20.85,Default,,0000,0000,0000,,Duniani kote, Dialogue: 0,0:00:20.85,0:00:24.25,Default,,0000,0000,0000,,tunakumbana na ubaguzi,\Nkutengwa, Dialogue: 0,0:00:24.25,0:00:29.61,Default,,0000,0000,0000,,kutengwa na michakato ya kisiasa \Nna maamuzi yanayoathiri maisha yetu. Dialogue: 0,0:00:30.31,0:00:33.84,Default,,0000,0000,0000,,Haki zetu za ardhi, maeneo, na maliasili Dialogue: 0,0:00:33.84,0:00:35.55,Default,,0000,0000,0000,,mara nyingi haziheshimiwi. Dialogue: 0,0:00:36.00,0:00:40.89,Default,,0000,0000,0000,,Hii inaathiri sana maisha yetu,\Nusalama wa chakula, na ustawi. Dialogue: 0,0:00:41.47,0:00:44.47,Default,,0000,0000,0000,,Pia tuna uwezekano mara tatu zaidi\Nkuliko watu wengine, Dialogue: 0,0:00:44.47,0:00:46.19,Default,,0000,0000,0000,,wa kuishi na umaskini uliokithiri, Dialogue: 0,0:00:46.49,0:00:49.79,Default,,0000,0000,0000,,kutufanya tuwe hatarini zaidi kwa athari\Nza mabadiliko ya tabianchi, Dialogue: 0,0:00:49.79,0:00:52.71,Default,,0000,0000,0000,,na kwa athari mbaya za Uviko-19. Dialogue: 0,0:00:53.08,0:00:55.93,Default,,0000,0000,0000,,Ni muhimu kwa hati na kuongeza ufahamu Dialogue: 0,0:00:55.93,0:00:57.100,Default,,0000,0000,0000,,kuhusu hali zetu za haki za kibinadamu. Dialogue: 0,0:00:58.40,0:01:01.43,Default,,0000,0000,0000,,Ndo maana urambazaji wa kiasili\Nikatengenezwa, Dialogue: 0,0:01:01.43,0:01:04.40,Default,,0000,0000,0000,,kutoa seti ya zana ya kufuatilia utambuzi, Dialogue: 0,0:01:04.40,0:01:07.12,Default,,0000,0000,0000,,na utekelezaji wa haki zetu duniani kote. Dialogue: 0,0:01:07.89,0:01:10.31,Default,,0000,0000,0000,,Urambazaji wa kiasili umeundwa Dialogue: 0,0:01:10.31,0:01:14.11,Default,,0000,0000,0000,,na kiasi cha watu wa kiasili pamoja \Nna mashirika ya haki za binadamu. Dialogue: 0,0:01:14.53,0:01:18.07,Default,,0000,0000,0000,,Zana na rasilimali za mtandaoni zinasaidia\Njamii za kiasili. Dialogue: 0,0:01:18.07,0:01:21.64,Default,,0000,0000,0000,,kukusanya data za jamii\Nna hali ya kitaifa. Dialogue: 0,0:01:22.40,0:01:24.98,Default,,0000,0000,0000,,Zana zinashughulikia maeneo muhimu\Nya mada. Dialogue: 0,0:01:25.69,0:01:28.30,Default,,0000,0000,0000,,hizi ni pamoja na haki za kujiamulia, Dialogue: 0,0:01:28.30,0:01:30.88,Default,,0000,0000,0000,,ardhi, maeneo na rasilimali, Dialogue: 0,0:01:30.88,0:01:32.79,Default,,0000,0000,0000,,pamoja na afya na elimu. Dialogue: 0,0:01:33.47,0:01:37.48,Default,,0000,0000,0000,,Ufuatiliaji wa Azimio la Umoja wa Mataifa\Njuu ya haki za watu wa kiasili, Dialogue: 0,0:01:37.48,0:01:39.98,Default,,0000,0000,0000,,na vyombo vingine vya haki za binadamu\Nna kazi Dialogue: 0,0:01:39.98,0:01:41.59,Default,,0000,0000,0000,,zimejengwa ndani ya zana, Dialogue: 0,0:01:42.25,0:01:44.98,Default,,0000,0000,0000,,na hivyo ndivyo malengo yote\Nya maendeleo endelevu Dialogue: 0,0:01:44.98,0:01:47.44,Default,,0000,0000,0000,,kuhusiana na haki za watu wa kiasili. Dialogue: 0,0:01:48.22,0:01:51.84,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hivo, urambazaji wa kiasili unaweza\Ntumika kufuatilia Dialogue: 0,0:01:51.84,0:01:54.54,Default,,0000,0000,0000,,vyombo vyote mhimu vya haki za binadamu, Dialogue: 0,0:01:54.54,0:01:56.74,Default,,0000,0000,0000,,na malengo ya maendeleo endelevu. Dialogue: 0,0:01:57.38,0:01:59.13,Default,,0000,0000,0000,,Takwimu iliyokusanywa inawasilishwa Dialogue: 0,0:01:59.13,0:02:02.43,Default,,0000,0000,0000,,kwa njia inayoeleweka ya ripoti\Nza kitaifa na jamii, Dialogue: 0,0:02:02.43,0:02:04.44,Default,,0000,0000,0000,,na inaweza kuonekana, kuchunguzwa, Dialogue: 0,0:02:04.44,0:02:06.74,Default,,0000,0000,0000,,na kulinganishwa kwa tovuti yetu\Nya mtandaoni. Dialogue: 0,0:02:07.09,0:02:10.10,Default,,0000,0000,0000,,Kwa kuweka kumbukumbu\Nna kuripoti hali zetu wenyewe, Dialogue: 0,0:02:10.10,0:02:13.70,Default,,0000,0000,0000,,tunaweza kuboresha ufikiaji wetu\Nkwa haki na maendeleo, Dialogue: 0,0:02:13.70,0:02:17.70,Default,,0000,0000,0000,,na kusaidia kuandika hali hiyo\Nya watu wa kiasili duniani kote. Dialogue: 0,0:02:18.46,0:02:22.61,Default,,0000,0000,0000,,Jumuiya za kiasili zinaweza kutumia data\Nkutetea haki zao Dialogue: 0,0:02:22.61,0:02:25.43,Default,,0000,0000,0000,,mitaani, kitaifa, na kwa kiwango\Ncha kimataifa. Dialogue: 0,0:02:26.06,0:02:28.78,Default,,0000,0000,0000,,Inaweza pia saidia kuyawajibisha majimbo Dialogue: 0,0:02:28.78,0:02:32.62,Default,,0000,0000,0000,,kwa kufuatilia uzingatiaji wao\Nau kushindwa kutimiza Dialogue: 0,0:02:32.62,0:02:36.26,Default,,0000,0000,0000,,wajibu wa haki za binadamu\Nkuhusu watu wa kiasili. Dialogue: 0,0:02:36.72,0:02:38.31,Default,,0000,0000,0000,,Jamii nyingi za kiasili, Dialogue: 0,0:02:38.31,0:02:41.89,Default,,0000,0000,0000,,tayari zimefaidika kutoka kwa zana\Nza urambazaji wa kiasili. Dialogue: 0,0:02:42.37,0:02:45.73,Default,,0000,0000,0000,,Mojawapo ya haya ni Okani,\Nshirika la kijamii Dialogue: 0,0:02:45.73,0:02:49.01,Default,,0000,0000,0000,,na la kiasili, lililoko nchini Kameruni. Dialogue: 0,0:02:49.60,0:02:53.10,Default,,0000,0000,0000,,Kutumia zana kukusanya data\Nkatika ngazi ya jamii, Dialogue: 0,0:02:53.10,0:02:56.71,Default,,0000,0000,0000,,Okani liliweza kurekodi\Nidadi ya wanajamii Dialogue: 0,0:02:56.71,0:03:00.46,Default,,0000,0000,0000,,ambao hawana vyeti vya kuzaliwa\Nna vitambulisho vya kitaifa. Dialogue: 0,0:03:00.46,0:03:03.30,Default,,0000,0000,0000,,Bila hati hizi, hawawezi kupiga kura, Dialogue: 0,0:03:03.30,0:03:06.52,Default,,0000,0000,0000,,kuomba kazi au kuzunguka nchi nzima\Nkwa uhuru. Dialogue: 0,0:03:06.82,0:03:11.05,Default,,0000,0000,0000,,Data hii ilitolea Okani nyenzo muhimu\Nza utetezi, Dialogue: 0,0:03:11.05,0:03:12.98,Default,,0000,0000,0000,,ambazo ziliwasaidia kuchukua hatua. Dialogue: 0,0:03:13.38,0:03:15.63,Default,,0000,0000,0000,,Kwa njia hii, urambazaji wa kiasili Dialogue: 0,0:03:15.63,0:03:19.10,Default,,0000,0000,0000,,inaweza kusaidia na kuimarisha\Nserikali zilizojizatiti, Dialogue: 0,0:03:19.10,0:03:21.74,Default,,0000,0000,0000,,na kutuwezesha kudai haki zetu. Dialogue: 0,0:03:22.63,0:03:25.01,Default,,0000,0000,0000,,Kwa mengi zaidi, tembelea,\Nindigenousnavigator.org Dialogue: 0,0:03:25.01,0:03:27.39,Default,,0000,0000,0000,,Manukuu ya Gerard Ndayi.\Ngerardn190@gmail.com