WEBVTT 00:00:02.782 --> 00:00:06.822 Sisi ni zaidi ya watu mbalimbali wa kiasili 5000 duniani kote, 00:00:06.822 --> 00:00:11.999 ikijumuisha watu milioni 476 katika nchi 90. 00:00:12.690 --> 00:00:15.859 Jamii zote za kiasili ziko na utamaduni tofauti, 00:00:15.859 --> 00:00:19.172 lakini, tunakumbana na changamoto nyingi za haki za binadamu. 00:00:19.780 --> 00:00:20.850 Duniani kote, 00:00:20.850 --> 00:00:24.250 tunakumbana na ubaguzi, kutengwa, 00:00:24.250 --> 00:00:29.607 kutengwa na michakato ya kisiasa na maamuzi yanayoathiri maisha yetu. 00:00:30.310 --> 00:00:33.835 Haki zetu za ardhi, maeneo, na maliasili 00:00:33.835 --> 00:00:35.548 mara nyingi haziheshimiwi. 00:00:36.000 --> 00:00:40.891 Hii inaathiri sana maisha yetu, usalama wa chakula, na ustawi. 00:00:41.470 --> 00:00:44.470 Pia tuna uwezekano mara tatu zaidi kuliko watu wengine, 00:00:44.470 --> 00:00:46.190 wa kuishi na umaskini uliokithiri, 00:00:46.490 --> 00:00:49.790 kutufanya tuwe hatarini zaidi kwa athari za mabadiliko ya tabianchi, 00:00:49.790 --> 00:00:52.710 na kwa athari mbaya za Uviko-19. 00:00:53.080 --> 00:00:55.930 Ni muhimu kwa hati na kuongeza ufahamu 00:00:55.930 --> 00:00:57.999 kuhusu hali zetu za haki za kibinadamu. 00:00:58.400 --> 00:01:01.430 Ndo maana urambazaji wa kiasili ikatengenezwa, 00:01:01.430 --> 00:01:04.400 kutoa seti ya zana ya kufuatilia utambuzi, 00:01:04.400 --> 00:01:07.122 na utekelezaji wa haki zetu duniani kote. 00:01:07.890 --> 00:01:10.314 Urambazaji wa kiasili umeundwa 00:01:10.314 --> 00:01:14.110 na kiasi cha watu wa kiasili pamoja na mashirika ya haki za binadamu. 00:01:14.530 --> 00:01:18.070 Zana na rasilimali za mtandaoni zinasaidia jamii za kiasili. 00:01:18.070 --> 00:01:21.637 kukusanya data za jamii na hali ya kitaifa. 00:01:22.400 --> 00:01:24.981 Zana zinashughulikia maeneo muhimu ya mada. 00:01:25.690 --> 00:01:28.300 hizi ni pamoja na haki za kujiamulia, 00:01:28.300 --> 00:01:30.880 ardhi, maeneo na rasilimali, 00:01:30.880 --> 00:01:32.792 pamoja na afya na elimu. 00:01:33.470 --> 00:01:37.480 Ufuatiliaji wa Azimio la Umoja wa Mataifa juu ya haki za watu wa kiasili, 00:01:37.480 --> 00:01:39.980 na vyombo vingine vya haki za binadamu na kazi 00:01:39.980 --> 00:01:41.590 zimejengwa ndani ya zana, 00:01:42.250 --> 00:01:44.980 na hivyo ndivyo malengo yote ya maendeleo endelevu 00:01:44.980 --> 00:01:47.440 kuhusiana na haki za watu wa kiasili. 00:01:48.220 --> 00:01:51.840 Kwa hivo, urambazaji wa kiasili unaweza tumika kufuatilia 00:01:51.840 --> 00:01:54.540 vyombo vyote mhimu vya haki za binadamu, 00:01:54.540 --> 00:01:56.740 na malengo ya maendeleo endelevu. 00:01:57.380 --> 00:01:59.130 Takwimu iliyokusanywa inawasilishwa 00:01:59.130 --> 00:02:02.430 kwa njia inayoeleweka ya ripoti za kitaifa na jamii, 00:02:02.430 --> 00:02:04.440 na inaweza kuonekana, kuchunguzwa, 00:02:04.440 --> 00:02:06.740 na kulinganishwa kwa tovuti yetu ya mtandaoni. 00:02:07.090 --> 00:02:10.100 Kwa kuweka kumbukumbu na kuripoti hali zetu wenyewe, 00:02:10.100 --> 00:02:13.700 tunaweza kuboresha ufikiaji wetu kwa haki na maendeleo, 00:02:13.700 --> 00:02:17.700 na kusaidia kuandika hali hiyo ya watu wa kiasili duniani kote. 00:02:18.460 --> 00:02:22.610 Jumuiya za kiasili zinaweza kutumia data kutetea haki zao 00:02:22.610 --> 00:02:25.430 mitaani, kitaifa, na kwa kiwango cha kimataifa. 00:02:26.060 --> 00:02:28.780 Inaweza pia saidia kuyawajibisha majimbo 00:02:28.780 --> 00:02:32.620 kwa kufuatilia uzingatiaji wao au kushindwa kutimiza 00:02:32.620 --> 00:02:36.260 wajibu wa haki za binadamu kuhusu watu wa kiasili. 00:02:36.720 --> 00:02:38.310 Jamii nyingi za kiasili, 00:02:38.310 --> 00:02:41.893 tayari zimefaidika kutoka kwa zana za urambazaji wa kiasili. 00:02:42.370 --> 00:02:45.730 Mojawapo ya haya ni Okani, shirika la kijamii 00:02:45.730 --> 00:02:49.010 na la kiasili, lililoko nchini Kameruni. 00:02:49.600 --> 00:02:53.100 Kutumia zana kukusanya data katika ngazi ya jamii, 00:02:53.100 --> 00:02:56.710 Okani liliweza kurekodi idadi ya wanajamii 00:02:56.710 --> 00:03:00.460 ambao hawana vyeti vya kuzaliwa na vitambulisho vya kitaifa. 00:03:00.460 --> 00:03:03.300 Bila hati hizi, hawawezi kupiga kura, 00:03:03.300 --> 00:03:06.520 kuomba kazi au kuzunguka nchi nzima kwa uhuru. 00:03:06.820 --> 00:03:11.050 Data hii ilitolea Okani nyenzo muhimu za utetezi, 00:03:11.050 --> 00:03:12.984 ambazo ziliwasaidia kuchukua hatua. 00:03:13.380 --> 00:03:15.630 Kwa njia hii, urambazaji wa kiasili 00:03:15.630 --> 00:03:19.100 inaweza kusaidia na kuimarisha serikali zilizojizatiti, 00:03:19.100 --> 00:03:21.740 na kutuwezesha kudai haki zetu. 00:03:22.630 --> 00:03:25.010 Kwa mengi zaidi, tembelea, indigenousnavigator.org 00:03:25.010 --> 00:03:27.390 Manukuu ya Gerard Ndayi. gerardn190@gmail.com