Mji unaobadilisha mabaki kuwa nguo.
-
0:00 - 0:04Baadhi ya nguo zetu nyingi hazita tumika tena.
-
0:04 - 0:09Taslimia tisini na tisa zitaishia hapa, kutupwa na kuchomwa kwenye jaa.
-
0:10 - 0:14Dunia yetu sasa hivi haiwezi kufyonza kiasi kikubwa cha nguo
-
0:14 - 0:16zinazo tengenezwa kila mwaka
-
0:16 - 0:18je, ingekuaje kama hizo nguo zilizoharibika
-
0:18 - 0:22zingetengezwa na kubadilishwa kuwa vitu vingine
-
0:23 - 0:26Nimekuja katika mji wa Italy unao itwa Prato
-
0:26 - 0:32Mji huu umetaalimu mtindo wa kugeuza mabaki ya zamani kuwa nguo mpya
-
0:32 - 0:34Hutupa ufahari
-
0:34 - 0:36Kinacho tendeka hapa ni cha kipekee
-
0:37 - 0:39Kuna kampuni zaidi ya mia katika mji huu mdogo
-
0:39 - 0:43Na kila moja ina utaalamu wake katika sehemu moja ya utengenezaje
-
0:44 - 0:47Iwe ni uzungushaji, ushoneshaji au kubuni.
-
0:48 - 0:49Na leo, ajabu
-
0:49 - 0:55Mji huu wasemekana kutengeza 15% ya vifaa vinavyo tumika tena duniani
-
0:57 - 0:58hii ni shati yako
-
0:58 - 1:02kama imezeeka sana kutumika katika duka la msaada, hutumwa kurekebishwa
-
1:02 - 1:06Hapa, hutenganishwa na rangi alafu kuraruliwa , kuoshwa
-
1:07 - 1:11alafu kifaa hicho kipya cha kutumika tena huchukuliwa na kubadilishwa
-
1:11 - 1:14kutengeza nguo mpya na mabaki kidogo
-
1:16 - 1:17Tumeharakisha sana
-
1:18 - 1:20Turudie mchakato huo tena
-
1:21 - 1:22unatoa nguo msaada
-
1:23 - 1:26zinafika hapa kutoka nchi nyingi tofauti
-
1:26 - 1:29Nguo zote zinazo weza kuuzwa mtumba
-
1:29 - 1:32zinapelekwa katika kampuni hii iliokuwa karibu
-
1:33 - 1:36Hapa, hazitenganishwi na rangi tu
-
1:36 - 1:38pia nyenzo
-
1:39 - 1:41Wadhani hizi zilikua suruali
-
1:41 - 1:44Nguo ngapi hapa mwazitengeza upya?
-
1:45 - 1:47Takriban tani 25 kila siku.
-
1:48 - 1:50Hizo nguo zaekwa hapa
-
1:50 - 1:52Inaitwa Carbonizing Machine
-
1:52 - 1:55Hutoa uchafu wote kutoka kwa pamba
-
1:56 - 1:57alafu hupitia hapa
-
1:58 - 2:00Ni kama mashini kubwa ya kuosha
-
2:01 - 2:04
-
2:05 - 2:06
-
2:07 - 2:13
-
2:13 - 2:15
-
2:15 - 2:19
-
2:19 - 2:23
-
2:23 - 2:25
-
2:26 - 2:30
-
2:30 - 2:33
-
2:33 - 2:37
-
2:37 - 2:40
-
2:40 - 2:45
-
2:47 - 2:50
-
2:50 - 2:53
-
2:53 - 2:56
-
2:57 - 3:00
-
3:00 - 3:03
-
3:03 - 3:04
-
3:05 - 3:07
-
3:07 - 3:10
-
3:11 - 3:15
-
3:16 - 3:18
-
3:18 - 3:21
-
3:21 - 3:24
-
3:24 - 3:27
-
3:27 - 3:30
-
3:30 - 3:32
-
3:33 - 3:36
-
3:37 - 3:39
-
3:39 - 3:44
-
3:44 - 3:48
-
3:48 - 3:51
- Title:
- Mji unaobadilisha mabaki kuwa nguo.
- Description:
-
- Video Language:
- English
- Team:
- Amplifying Voices
- Project:
- Environment and Climate Change
- Duration:
- 03:53
Hafidha edited Swahili subtitles for Recycling fashion: The town turning waste into clothes - BBC News | ||
Hafidha edited Swahili subtitles for Recycling fashion: The town turning waste into clothes - BBC News | ||
Hafidha edited Swahili subtitles for Recycling fashion: The town turning waste into clothes - BBC News | ||
Hafidha edited Swahili subtitles for Recycling fashion: The town turning waste into clothes - BBC News |