Baadhi ya nguo zetu nyingi hazita tumika tena. Taslimia tisini na tisa zitaishia hapa, kutupwa na kuchomwa kwenye jaa. Dunia yetu sasa hivi haiwezi kufyonza kiasi kikubwa cha nguo zinazo tengenezwa kila mwaka je, ingekuaje kama hizo nguo zilizoharibika zingetengezwa na kubadilishwa kuwa vitu vingine Nimekuja katika mji wa Italy unao itwa Prato Mji huu umetaalimu mtindo wa kugeuza mabaki ya zamani kuwa nguo mpya Hutupa ufahari Kinacho tendeka hapa ni cha kipekee Kuna kampuni zaidi ya mia katika mji huu mdogo Na kila moja ina utaalamu wake katika sehemu moja ya utengenezaje Iwe ni uzungushaji, ushoneshaji au kubuni. Na leo, ajabu Mji huu wasemekana kutengeza 15% ya vifaa vinavyo tumika tena duniani hii ni shati yako kama imezeeka sana kutumika katika duka la msaada, hutumwa kurekebishwa Hapa, hutenganishwa na rangi alafu kuraruliwa , kuoshwa alafu kifaa hicho kipya cha kutumika tena huchukuliwa na kubadilishwa kutengeza nguo mpya na mabaki kidogo Tumeharakisha sana Turudie mchakato huo tena unatoa nguo msaada zinafika hapa kutoka nchi nyingi tofauti Nguo zote zinazo weza kuuzwa mtumba zinapelekwa katika kampuni hii iliokuwa karibu Hapa, hazitenganishwi na rangi tu pia nyenzo Wadhani hizi zilikua suruali Nguo ngapi hapa mwazitengeza upya? Takriban tani 25 kila siku. Hizo nguo zaekwa hapa Inaitwa Carbonizing Machine Hutoa uchafu wote kutoka kwa pamba alafu hupitia hapa Ni kama mashini kubwa ya kuosha