Baadhi ya nguo zetu nyingi hazita tumika tena.
Taslimia tisini na tisa zitaishia hapa, kutupwa na kuchomwa kwenye jaa.
Dunia yetu sasa hivi haiwezi kufyonza kiasi kikubwa cha nguo
zinazo tengenezwa kila mwaka
je, ingekuaje kama hizo nguo zilizoharibika
zingetengezwa na kubadilishwa kuwa vitu vingine
Nimekuja katika mji wa Italy unao itwa Prato
Mji huu umetaalimu mtindo wa kugeuza mabaki ya zamani kuwa nguo mpya
Hutupa ufahari
Kinacho tendeka hapa ni cha kipekee
Kuna kampuni zaidi ya mia katika mji huu mdogo
Na kila moja ina utaalamu wake katika sehemu moja ya utengenezaje
Iwe ni uzungushaji, ushoneshaji au kubuni.
Na leo, ajabu
Mji huu wasemekana kutengeza 15% ya vifaa vinavyo tumika tena duniani
hii ni shati yako
kama imezeeka sana kutumika katika duka la msaada, hutumwa kurekebishwa
Hapa, hutenganishwa na rangi alafu kuraruliwa , kuoshwa
alafu kifaa hicho kipya cha kutumika tena huchukuliwa na kubadilishwa
kutengeza nguo mpya na mabaki kidogo
Tumeharakisha sana
Turudie mchakato huo tena
unatoa nguo msaada
zinafika hapa kutoka nchi nyingi tofauti
Nguo zote zinazo weza kuuzwa mtumba
zinapelekwa katika kampuni hii iliokuwa karibu
Hapa, hazitenganishwi na rangi tu
pia nyenzo
Wadhani hizi zilikua suruali
Nguo ngapi hapa mwazitengeza upya?
Takriban tani 25 kila siku.
Hizo nguo zaekwa hapa
Inaitwa Carbonizing Machine
Hutoa uchafu wote kutoka kwa pamba
alafu hupitia hapa
Ni kama mashini kubwa ya kuosha