Mji unaobadilisha mabaki kuwa nguo.
-
0:00 - 0:04Baadhi ya nguo zetu nyingi hazita tumika tena.
-
0:04 - 0:0999% zitaishia hapa, kutupwa na kuchomwa kwenye jaa.
-
0:10 - 0:14Dunia yetu sasa hivi haiwezi kufyonza kiasi kikubwa cha nguo
-
0:14 - 0:16zinazo tengenezwa kila mwaka
-
0:16 - 0:18je, ingekuaje kama hizo nguo zilizoharibika
-
0:18 - 0:22zingetengezwa na kubadilishwa kuwa vitu vingine
-
0:23 - 0:26Nimekuja katika mji wa Italy unao itwa Prato
-
0:26 - 0:32Mji huu umetaalimu mtindo wa kugeuza mabaki ya zamani kuwa nguo mpya
-
0:32 - 0:34Hutupa ufahari
-
0:34 - 0:36Kinacho tendeka hapa ni cha kipekee
-
0:37 - 0:39Kuna kampuni zaidi ya mia katika mji huu mdogo
-
0:39 - 0:43Na kila moja ina utaalamu wake katika sehemu moja ya utengenezaji
-
0:44 - 0:47Iwe ni uzungushaji, ushoneshaji au kubuni.
-
0:48 - 0:49Na leo, ajabu
-
0:49 - 0:55Mji huu wasemekana kutengeza 15% ya vifaa vinavyo tumika tena duniani
-
0:57 - 0:58kama hii ni shati yako
-
0:58 - 1:02kama imezeeka sana kutumika katika duka la msaada, hutumwa kurekebishwa
-
1:02 - 1:06Hapa, hutenganishwa na rangi alafu kuraruliwa , kuoshwa
-
1:07 - 1:11alafu kifaa hicho kipya cha kutumika tena huchukuliwa na kubadilishwa
-
1:11 - 1:14kutengeza nguo mpya yenye mabaki kidogo
-
1:16 - 1:17Tumeharakisha sana
-
1:18 - 1:20Turudie mchakato huo tena
-
1:21 - 1:22unatoa nguo msaada
-
1:23 - 1:26zinafika hapa kutoka nchi nyingi tofauti
-
1:26 - 1:29Nguo zote zinazo weza kuuzwa mtumba
-
1:29 - 1:32zinapelekwa katika kampuni hii iliokuwa karibu
-
1:33 - 1:36Hapa, hazitenganishwi na rangi tu
-
1:36 - 1:38pia nyenzo
-
1:39 - 1:41Nadhani hizi zilikua suruali
-
1:41 - 1:44Nguo kama ngapi hapa mwazitengeza upya?
-
1:45 - 1:47Takriban tani 25 kila siku.
-
1:48 - 1:50Hizo nguo zaekwa hapa
-
1:50 - 1:52Inaitwa Carbonizing Machine
-
1:52 - 1:55Hutoa uchafu wote kutoka kwa pamba
-
1:56 - 1:57alafu hupitia hapa
-
1:58 - 2:00Ni kama mashini kubwa ya kufua
-
2:01 - 2:04Hukatwa katwa, kusafishwa na kukaushwa
-
2:05 - 2:06Hii ndio bidhaa ya mwisho.
-
2:07 - 2:13Nguo zako nzee zimebadilishwa kuwa pamba nyembamba nzuri.
-
2:13 - 2:15Katika mchakato wa mwisho
-
2:15 - 2:19Hivi ndivyo bidhaa vya mwisho hua
-
2:19 - 2:23Hubadilishwa hapa mpaka chapa ya mitindo kuvinunua
-
2:23 - 2:25na kuvitumia kutengeza nguo
-
2:26 - 2:30Watu wengine husema kuwa mnatumia taka taka kutengeza nguo
-
2:30 - 2:33Hivi ndivo kulikua miaka ya zamani kidogo.
-
2:33 - 2:37Neno "taka taka" lilikua tusi.
-
2:37 - 2:40ila siku hizi, chapa ya mitindo mingi... hununua vifaa vyangu kwa sababu yake
-
2:40 - 2:45Kwa sababu wanajua kurejelea matumizi ya rasilimali itaokoa sayari.
-
2:47 - 2:50Matumizi ya pamba tena ni jambo zuri katika mazingira
-
2:50 - 2:53uzalishaji wa c02 ni zaidi ya nusu
-
2:53 - 2:56ukilinganishwa na utoleshaji wa nguo kutumia nyenzo mpya
-
2:57 - 3:00Tuna athari ya haraka kwa ustawi ya wanyama
-
3:00 - 3:03kwa sababu unapunguza mkazo
kwamba unapaswa kuekea wanyama -
3:03 - 3:04ili kupata pamba
-
3:05 - 3:07ukaribu sawa na kuondoa rangi kabisa
-
3:07 - 3:10Kwa sababu ya vile pamba hutengenezwa tena kutenganisha kwa rangi
-
3:11 - 3:15Njia hii imepitishwa kutoka kwa baba mpaka kwa mwanawe
-
3:16 - 3:18Mila za Prato
-
3:18 - 3:21Ni mila ambazo zinahatijika katika tasnia nzima ya mitindo
-
3:21 - 3:24kwa sababu yategemea na ushirikani wa undani
-
3:24 - 3:27lakini wana uwezo wa kuenyesha vipi
-
3:27 - 3:30hivi vitu vya chukuliwa katika kiwango cha taifa au kimataifa
-
3:30 - 3:32Sekta nzima inaeza kufaidika
-
3:33 - 3:36Watu wa mji huu walilazimika ku tengeneza nguo zao upya
-
3:37 - 3:39kwa sababu hawange weza kununua nguo mpya
-
3:39 - 3:44sasa mitindo yao, iliotumika zaidi ya miaka mia,
-
3:44 - 3:48inaweza kutoa njia mbele
kwa ulimwengu wa mitindo endelevu zaidi. -
3:48 - 3:51Subtitles by Hafidha Ahmed
- Title:
- Mji unaobadilisha mabaki kuwa nguo.
- Description:
-
Viwanda vya mitindo ni moja wapo wa baadhi ya kazi zinazo kua na uchafuzi mkubwa. Lakini mji mdogo Italy unao itwa Prato umejenga manufaa wake katika kubadilisha mabaki ya nguo kuwa vifaa vyengine.
Je Prato inawakilisha uwezo mkubwa wa maendeleo katika mitindo.
- Video Language:
- English
- Team:
- Amplifying Voices
- Project:
- Environment and Climate Change
- Duration:
- 03:53
Hafidha edited Swahili subtitles for Recycling fashion: The town turning waste into clothes - BBC News | ||
Hafidha edited Swahili subtitles for Recycling fashion: The town turning waste into clothes - BBC News | ||
Hafidha edited Swahili subtitles for Recycling fashion: The town turning waste into clothes - BBC News | ||
Hafidha edited Swahili subtitles for Recycling fashion: The town turning waste into clothes - BBC News |